Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Haina maana yeyote kwa maendeleo Ya taifa
 
Msimpe sifa asiyo stahiki. FaizaFoxy na mapungufu yake yote huwa habishi ili mradi anabisha. Hutoa facts. Ila hiki ki CCM wanna be huwa kinatoaga majibu kama uharo, bila kufirkiri wala kuwaza. Yani kanabwatuka tu.
Sasa kweli kabisa mtu na akili zake timamu anaweza hoji kwanini muislamu hatoi salamu ya kikristo.
Huu uzi uwe ndio hitimisho kwa wote kuwa huyu binti (yaweza kuwa ni kivulana pia) huwa hajui asemalo siku zote.
Mind you, I hold a Masters degree
 
Ndo tabia za Waislam wengi. Ukikutana nae, anataka akusalimie Asalam Aleykum, Wakati wewe ukimsalimia Shalom au mwana kondoo ameshinda, haitikii.

Binafsi mtu akinisalimia kiislam, siitikii.
Though, kwa Sudan hata kanisani huwa tunasalimiana Asalam Aleykum na haina shida.
 
Mind you, I hold a Masters degree
Your reply has just summed up all my assumptions of you. You might be 'holding' a master's degree but be entirely shallow minded, as you are.
If at all the gauge of your qualifications is projected by what you write here always, then clearly you are of no difference to a Standard 7 drop out.
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?

Labda swali kidogo,
Bwana yupi huyo ambaye makamu wa rais hamsemi?

Lakini pia, hata hivyo Asalam Aleykum siyo ya kiislam, ni salam ya lugha ya kiarabu.
 
Ahahhahaha humu duniani kuna majitu yamepinda balaa, kama lile lililo mzaba kofi Mwinyi ahahahahah!
Hapo cha msingi siku akihudhuria hafla fulani, na wewe hudhuria huku ukiwa na dela lako la CCM na kapelo au kilemba chenye picha ya Rais wako Magufuli!

Halafu jitahidi kujipenyeza mpaka mbele kabisa aliko! Wakati akianza tu kusalimia, kimbia 💃 kwa spidi ya swala na kwenda kumnasa kibao usoni! Hakika baada ya hapo, hatokuja arudie tena kuto kutamka hizo salamu unazo zipenda wewe.
 
Kwa nini anatumia lugha ya kiarabu kwa watu wanaotumia lugha ya kiswahili na lugha zao nyingine za asili?
Labda swali kidogo,
Bwana yupi huyo ambaye makamu wa rais hamsemi?

Lakini pia, hata hivyo Asalam Aleykum siyo ya kiislam, ni salam ya lugha ya kiarabu.
 
Kwahiyo unawadhalau wakristo wanaotumia hizo salaam?? Inamaana wakristo wanao salimia kiislam kwenye halaiki ya uma unawaona hawana akili?? Ila unawatetea wanaotumia salamu moja ya kiima na huku halaiki ni ya wanadini zote? Kama nikweli anatumia salamu moja ni vyema na yeye atumie salamu zote au kama anaona hawezi basi asisalimie kwa imani ya dini yoyote.

Hata ulichouliza mimi sikielewi maana umejaza mihemko yako. Wapi nilipowadharau wakristo?
 
Msimpe sifa asiyo stahiki. FaizaFoxy na mapungufu yake yote huwa habishi ili mradi anabisha. Hutoa facts. Ila hiki ki CCM wanna be huwa kinatoaga majibu kama uharo, bila kufirkiri wala kuwaza. Yani kanabwatuka tu.
Sasa kweli kabisa mtu na akili zake timamu anaweza hoji kwanini muislamu hatoi salamu ya kikristo.
Huu uzi uwe ndio hitimisho kwa wote kuwa huyu binti (yaweza kuwa ni kivulana pia) huwa hajui asemalo siku zote.
Naona hukusoma na kuilewa comment yangu mkuu
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Siyo mnafiki kama MATAGA wengine!
 
Tuna dini za imani nyingi sana ikiwepo wapagani, ukiamua kutoa salam kwa kuzingatia dini au imani flani, fanya hivyo kwa imani zote kitu ambacho hakiwezekani.

Ingekya amri yangu salam za dini au zenye kuashiria imani zisingekuwepo kabisa hasa kama tukio halina maudhui ya kiimani.

Hata hivyo hakuapa kulinda salam za kiimani.
Maelezo yako yamejitosheleza[emoji120]
Haya mambo ya salaam za kiimani kwenye mkusanyiko wa watu wenye imani tofauti hayana maana.
 
Hizi Salaam za kidini hazitakiwi kwenye shughuli za serikali sababu katiba yetu haifungamani na dini yoyote.

Tunatakiwa tuwe na Salaam ya kizalendo ambayo itawafaa viongozi wote pamoja na wananchi.
 
Back
Top Bottom