Kwanini majini wanajitesa kwa kuishi kama wanadamu?

Kwanini majini wanajitesa kwa kuishi kama wanadamu?

inategemeana hapo utakuta kuna kitu anacho ambayo huyo pepo anaendelea kukaa ndani yake
Labda kuna kitu cha kichawi anacho pasipo yeye kujua au kuna kitu kina nguvu za giza amekivaa
Mfano kuna huyo mtoto alikuwa anamapepo walikemea sana na bado hayatoki ila kuna mtu aliona kuna chain amevaa ilikuwa ina nguvu za giza baada ya kutoa mapepo yakatoka
Bado sijakuelewa chief wajua kwanini nasema hivi cause Kuna namna nimewahi kushuhudia matukio kama hayo unakuta mtoto kachanga hajavishwa chochote and hana dhambi lakini ana sumbuliwa na hayo mambo , so nashindwa kuelewa how it does it work
 
Hao wanachanganya Data.

Majini na demons ni dhana mbili tofauti.
Majini ni viumbe kama binadamu.
Wakiasi huitwa Demons.
Hata binadamu akiasi huitwa Demons.

Kumaanisha sio kila Jini ni Demon.
Na sio kila binadamu ni Demon
Kumbe !!! Hebu nipe hints zaidi mkuu , Je Kuna majini wasio asi ambayo huwa Wana wavaa binaadamu!?
 
Nielezee akiwa anasumbuliwa shida gani zilikuwa zinatokea
Bado sijakuelewa chief wajua kwanini nasema hivi cause Kuna namna nimewahi kushuhudia matukio kama hayo unakuta mtoto kachanga hajavishwa chochote and hana dhambi lakini ana sumbuliwa na hayo mambo , so nashindwa kuelewa how it does it work
 
Ukishaelewa kuwa hao majini wanaish kama binadamu bs tambua kuna matajiri, na maskin km ilivyo kwa binadamu..

Eti Jini anakula jalalani vyakula tunavyotupa [emoji23]
Kwahyo kuna majini yanateseka hayana pesa yanaenda iba?
 
'Nami sikuumba Majini na Watu ila waniabudu mimi'

Hiyo ni Quran 51:56 Surat Adh dhaaliyat.

Majini ni viumbe miongoni mwa viumbe vya Allah hana tofauti na mleta mada miongoni mwao wapo wema na wapo wabaya.

same same na Mwanadamu kwani malengo ya uwepo wetu hapa Duniani ni mamoja kwa hiyo hata tabia zinafanana na kwenye ulimwengu wao wanaishi kama tunavyoishi.
 
Kumbe !!! Hebu nipe hints zaidi mkuu , Je Kuna majini wasio asi ambayo huwa Wana wavaa binaadamu!?

Majini yamesimuliwa zaidi na nadharia kutoka uarabuni.
Ni kwamba majini ni viumbe walioumbwa kwa Moto. Wanautashi kama binadamu tofauti na wanyama.

Wakristo hutahususha Majini na Malaika.
Wakati waarabu huona Majini na malaika ni jamii mbili tofauti.

Ndio maana wakristo husema Majini ni malaika walioasi Jambo ambalo waislam wanalipinga
 
Aisee !!! So which is which sasa !?
 
Waarabu wapo sahihi kwa sababu hiyo dhana inatoka kwao.
Wayahudi hawana kitu kinaitwa Majini
Okay Wana malaika waasi , Basi sawa

Kwa Imani ya waarabu Wana Amini kwamba Kuna majini wabaya na wazuri wewe Kwa upande wako unalizungumziaje Hilo !?
 
Ukifatilia stori mbalimbali zikiwemo zile zinazoletwa humu jf kuhusu majini (viumbe wasioonekana) utaelewa majini wapo katika pilikapilika za maisha kama ilivyo kwa mwanadamu wa kawaida.

Kwa mujibu ya stori hizi majini wapo kwenye pilikapilika huko masokoni, wanatumia vyombo vya usafiri kama mabasi daladala malori.

Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kusema kati ya viumbe wengi unaopishana nao huko mitaani majini zaidi wengi kuliko hata binadam halisi.

Swali ni kwanini viumbe hawa ambao tunaelezwa wana uwezo mkubwa na wa ajabu kuweza kufanya chochote kwanini wanahangaika kama binadamu wa kawaida wakati wao wana supernatural powers za kupata chochote wanachokitaka au kufika kokote duniani bila kuhitaji boda daladala wala mabasi?
Majini hupenda kuishi karibu na Waislamu kwakuwa wao wanapenda kuwa majini.
 
Lifestyle ya binadamu inawavutia sana, unambiwa kuzaliwa binadamu ni dili kila kiumbe kinatamani hivyo binadamu kapendelewa sana hana budi kumshukuru muumba
Jini linakufa kama binadamu?
 
Ukifatilia stori mbalimbali zikiwemo zile zinazoletwa humu jf kuhusu majini (viumbe wasioonekana) utaelewa majini wapo katika pilikapilika za maisha kama ilivyo kwa mwanadamu wa kawaida.

Kwa mujibu ya stori hizi majini wapo kwenye pilikapilika huko masokoni, wanatumia vyombo vya usafiri kama mabasi daladala malori.

Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kusema kati ya viumbe wengi unaopishana nao huko mitaani majini zaidi wengi kuliko hata binadam halisi.

Swali ni kwanini viumbe hawa ambao tunaelezwa wana uwezo mkubwa na wa ajabu kuweza kufanya chochote kwanini wanahangaika kama binadamu wa kawaida wakati wao wana supernatural powers za kupata chochote wanachokitaka au kufika kokote duniani bila kuhitaji boda daladala wala mabasi?
Majini hawako huru kama wewe na mimi. Ni viumbe walioanguka kutoka katika utukufu wa awali walioumbiwa na sasa wako katika himaya ya shetani. Kwa hiyo hawako huru na hupewa majukumu shurutishi ya kuwahadaa wanadamu na huadhibiwa vikali pale wanaposhindwa kutimiza wajibu wao, na ndio maana kila wakati hurandaranda huku na huko kufanya kazi waliyotumwa na bwana wao-shetani.
 
Majini ni nini !? Je wapo kweli !? Je wanawezaje kuingia ktk mwili wa binaadamu!?
Majini ni aina ya viumbe ambao pia wameumbwa na Mwenyezi Mungu na wana maisha yao kama kwenye ulimwengu wao,sisi tuliumbwa kwa udongo na wao waliumbwa kwa moto,sifa nyingine waliyonayo wao hawana umbile maalum ila huwa wanajigeuzageuza jinsi watakavyo,na wao pia wana hulka kama tulivyo binadamu yaani kuna wastaarabu,wapole,washenzi,viburi,waselamavi.
Majini ni kweli wapo tena kwa asilimia 100.
Majini wanamuingia binadamu kwa njia ya miujiza kutokana na uwezo wa hali ya juu waliopewa na Mwenyezi Mungu.
Huwa wanamuingia binadamu na kukaa sehemu mbalimbali za mwili yaani inaweza ikawa tumboni au popote ila mara nyingi hukaa kichwani.
Wanamuingia binadamu kwa malengo mbalimbali either kwa kutumwa na wachawi ili akamdhuru huyo mtu au wengine huenda wenyewe kwa lengo la kumlinda binadamu au wengine huja kwa lengo la kiurafiki tu kama ni jini mzuri.
Sasa ndio maana asilimia kubwa ya watu wenye majini hufanya matendo ya kushangaza kwa sababu ya kushinikizwa na jini aliyekaa kichwani bila mwenyewe kujijua na hao watu huonekana kama vichaa au vituko mbele ya jamii lakini wenyewe hujiona wako sahihi kwenye matendo yao
 
Demons are angels who rebelled against God . That’s why they have higher ability than us. But we have given order to cast them out
Demons they are in other dimensions
They find host to survive. They find a person to live inside him with certain habits. They can’t survive physically, i mean in our physical world. They are in spiritual realm. When they find a person to live inside they manipulate a person without realizing easily. Your habits make them to stay inside you.
Through prayers they will be casted out.
What happen when their time to live inside a person is end?

Mathew
They leave but they will leave damage
So you realize that they don’t survive only inside a person but they leave damage , you will see a person is sick ,
faced with problems and no peace.

When the unclean spirit is gone out of a man, He walketh through dry places, seeking rest, and findeth none.
[Matthew 12:43]

Then He saith, I will return into my house from whence I came out; and when He is come, He findeth it empty, swept, and garnished.
[Matthew 12:44]

Then goeth he, and taketh with himself seven other spirits more wicked than himself, and they enter in and dwell there: and the last state of that man is worse than the first. Even so shall it be also unto this wicked generation.
[Matthew 12:45]
sasa kama demon ni malaika walioanguka (hawa wanaosema wanaoa majini) wanawaoaje oaje maana hakjnaga malaika wa kike toka milele na milele.
 
Back
Top Bottom