Kwanini majini wanajitesa kwa kuishi kama wanadamu?

Kwanini majini wanajitesa kwa kuishi kama wanadamu?

Unakuta jini nalo linahangaika na mwendokasi pale gerezani au kimara kama si ujinga ni nini
 
Mda mwingine unapokuwa kwenye level ya kula na kununua chochote na popote hapa duniani. Basi kuna mda unatamani kula mchicha usio na viungo. Kwa sababu mwanadamu nidhaifu kimwili basi anajumwuishwa na hivi viumbe kama nature. Mtu tajiri anaetumia gari mda mwingi hutamani kwenda kwa miguu.lkn huo ni ujinga hiwezi kuacha kuwa jini kisa haya maisha yasio na radha.
 
Majini yamesimuliwa zaidi na nadharia kutoka uarabuni.
Ni kwamba majini ni viumbe walioumbwa kwa Moto. Wanautashi kama binadamu tofauti na wanyama.

Wakristo hutahususha Majini na Malaika.
Wakati waarabu huona Majini na malaika ni jamii mbili tofauti.

Ndio maana wakristo husema Majini ni malaika walioasi Jambo ambalo waislam wanalipinga
Ndio tatizo la kufuata dini za kikoloni kila jambo reference Biblia au Quran , wakati sisi ni waafrika tuna reference zetu ila hatutaki kuzitumia , mtu anajiona msomi kweli akisema na kunukuu Biblia au Quran utafikiri yeye ni mwarabu au myahudi a.k.a mrumi wamiliki wa dini ya kikristo. When the mind is enslaved the body can not be free.
 
Lengo la Mungu ni kuwaokoa
Umepata nafasi ya kuokolewa
Injili imekufkia alf unasema ni ya dini kikoloni
 
Hakuna majini ni uongo tu.

Majini Gaza yalikuwa likizo? Vipi kule Iran?

Kazi na wajibu wao nini hasa humu duniani?

Yanaishi wapi humu duniani?

Huwa tunatishwa tu.
 
Hakuna majini ni uongo tu.

Majini Gaza yalikuwa likizo? Vipi kule Iran?

Kazi na wajibu wao nini hasa humu duniani?

Yanaishi wapi humu duniani?

Huwa tunatishwa tu.
Unafaa Ukutane nalo live face to face 😎 Utajua ni uongo au ukweli
 
Kwakifupi majini wapo na Kuna viumbe wengine pia wengi sana wasionekana , kuna elimu maalum ya kuwajua na kuwatambua , kuwatuma , kuwafanyisha kazi, wapo majini makabila 72000, kila kabila Wana kazi zao taalama zao hivi vitu vinahitaji kusomea ni elimu pana sana , hii elimu haihusu mbwembwe za mashehe na wachungaji, walokole ambao wanaombea majini ambao hawajawahi kuwaona toka wazaliwe ,hii ni elimu tofauti kabisa .
 
1835d049beee8c5395a34511f52323d7.jpg
34153e6817c3d8dac277f500d17b9860.jpg
ca8bfd3bfda52e6f0694391545426130.jpg
 
Kwakifupi majini wapo na Kuna viumbe wengine pia wengi sana wasio onekana , Kuna elimu maalum ya kuwajua na kuwatambua , kuwatuma , kuwafamyiaha kazi, wapo majini makabila 72000, kila kabila Wana kazi zao taalama zao hivi vitu vinahitaji kusomea ni elimu pana sana , hii elimu haihusu mbwembwe za msikitini au kanisani hii ni elimu tofauti kabisa .
Makazi yao ni wapi hasa?
 
Ukifatilia stori mbalimbali zikiwemo zile zinazoletwa humu jf kuhusu majini (viumbe wasioonekana) utaelewa majini wapo katika pilikapilika za maisha kama ilivyo kwa mwanadamu wa kawaida.

Kwa mujibu ya stori hizi majini wapo kwenye pilikapilika huko masokoni, wanatumia vyombo vya usafiri kama mabasi daladala malori.

Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kusema kati ya viumbe wengi unaopishana nao huko mitaani majini zaidi wengi kuliko hata binadam halisi.

Swali ni kwanini viumbe hawa ambao tunaelezwa wana uwezo mkubwa na wa ajabu kuweza kufanya chochote kwanini wanahangaika kama binadamu wa kawaida wakati wao wana supernatural powers za kupata chochote wanachokitaka au kufika kokote duniani bila kuhitaji boda daladala wala mabasi?
Hizo ma story ya kijinga temana nayo mura
 
All bodiless beings need a body, be it human or an animal, to do things only humans or animals can do. That's why we have the concept of being possessed and of spirits/demons being exorcised.
 
Wanajenga miji au wanaishi kama wanyama?
Wana miji, Tena nyumba nzuri sana huko baharini, ziwani, kwenye mito na milima mikubwa ,mfano ukienda kwenye milima utakuta mapango na Kuna vyumba vimechogwa kabisa na sebule zipo a k.a sitting room zipo.
 
Back
Top Bottom