Hiyo ni njia nzuri ya kunifanya niamini.Unafaa Ukutane nalo live face to face 😎 Utajua ni uongo au ukweli
Kina Tomaso tuko wengi.
Hiyo ni njia nzuri ya kunifanya niamini.Unafaa Ukutane nalo live face to face 😎 Utajua ni uongo au ukweli
😄😄😄Unafaa Ukutane nalo live face to face 😎 Utajua ni uongo au ukweli
Hihi 😈Hiyo ni njia nzuri ya kunifanya niamini.
Kina Tomaso tuko wengi.
😄😄😄
ndio mkuuHuu uzi upelekwe jukwaa la vichekesho tu maana unachekesha mno!.. jini linapanda bodaboda ama kweli...🤣
😆😆😆daah we jamaa hewa kwa hewa 🙌🙌
Kuna mtoto unakuta anazaliwa akiwa kwenye mnyororo wa vifungo either alishatolewa kama Sadaka kwenye mizimu mfano ya mabibi na mababu zake au labda amezaliwa na dhambi ya asili ya ukoo, unakuta ukoo flani una ka mnyororo ka kutembea katika laana au vifungo kama asipopatikana mtu wa kuvunja hiyo laana itaendelea hata kwa watoto waliozaliwa wanakutana nayo ndiyo maana kwenye Kitabu cha kutoka 20 Mungu anasema nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanachukiao.Bado sijakuelewa chief wajua kwanini nasema hivi cause Kuna namna nimewahi kushuhudia matukio kama hayo unakuta mtoto kachanga hajavishwa chochote and hana dhambi lakini ana sumbuliwa na hayo mambo , so nashindwa kuelewa how it does it work
Unalijua mizimu!?Kuna mtoto unakuta anazaliwa akiwa kwenye mnyororo wa vifungo either alishatolewa kama Sadaka kwenye mizimu mfano ya mabibi na mababu zake au labda amezaliwa na dhambi ya asili ya ukoo, unakuta ukoo flani una ka mnyororo ka kutembea katika laana au vifungo kama asipopatikana mtu wa kuvunja hiyo laana itaendelea hata kwa watoto waliozaliwa wanakutana nayo ndiyo maana kwenye Kitabu cha kutoka 20 Mungu anasema nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanachukiao.
So mtoto anaweza akawa mchanga ila kabla hata hajazaliwa au akiwa tumboni au hata mimba yake ikiwa haijatungwa kwenye ulimwengu wa Roho akawa ameshawekwa kwenye maagano ambapo sasa hayo majini(maroho machafu yanapata uhalali kumuingia huyo mtoto hata akiwa bado hajaanza kufanya dhambi)
Lakini pia jifunze hapa kwa Esau na Yakobo(Esau alikuwa hana dhambi yoyote ila kabla hata hajazaliwa Mungu alishamchukia😀)
Warumi 9:10-13
[10]Wala si hivyo tu, lakini Rebeka naye, akiisha kuchukua mimba kwa mume mmoja, naye ni Isaka, baba yetu,
[11](kwa maana kabla hawajazaliwa wale watoto, wala hawajatenda neno jema wala baya, ili lisimame kusudi la Mungu la kuchagua, si kwa sababu ya matendo, bali kwa sababu ya nia yake aitaye),
[12]aliambiwa hivi, Mkubwa atamtumikia mdogo.
[13]Kama ilivyoandikwa, Nimempenda Yakobo, bali Esau nimemchukia.
Nimewahi kushuhudia kwa uchache sana ...lakini huwa ninaona hiyo mizimu inamsumbua mtu kama hajamjua Yesu vizuri na akaamua kumtafuta kwa bidii ila ukiijua nguvu iliyopo kwenye damu ya Yesu hiyo mizimu ni Upuuzi tu kama Upuuzi mwingineUnalijua mizimu!?
Ulishawahi kumshuhudia mtu aliyezaliwa ktk ukoo wenye hayo mambo halafu yakamtaka akakataa na mbilinge zake jinsi zilivyo baada ya yeye kukatas !?
I agreedSio jini sio pepo
Wote ni wabaya
Wanaosema kuna wazuri hapana
Kuna madhara yanatokea
Basi Bado hauja ijua vizuri Dunia,Nimewahi kushuhudia kwa uchache sana ...lakini huwa ninaona hiyo mizimu inamsumbua mtu kama hajamjua Yesu vizuri na akaamua kumtafuta kwa bidii ila ukiijua nguvu iliyopo kwenye damu ya Yesu hiyo mizimu ni Upuuzi tu kama Upuuzi mwingine
Dunia ina mengi ila tumepewa mamlaka ya kushinda lolote linalokuja kupitia Damu ya Yesu kwa njia ya ImaniBasi Bado hauja ijua vizuri Dunia,
Usiombe ya kukute