Kwanini majini wanajitesa kwa kuishi kama wanadamu?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,978
Ukifatilia stori mbalimbali zikiwemo zile zinazoletwa humu jf kuhusu majini (viumbe wasioonekana) utaelewa majini wapo katika pilikapilika za maisha kama ilivyo kwa mwanadamu wa kawaida.

Kwa mujibu ya stori hizi majini wapo kwenye pilikapilika huko masokoni, wanatumia vyombo vya usafiri kama mabasi daladala malori.

Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kusema kati ya viumbe wengi unaopishana nao huko mitaani majini zaidi wengi kuliko hata binadam halisi.

Swali ni kwanini viumbe hawa ambao tunaelezwa wana uwezo mkubwa na wa ajabu kuweza kufanya chochote kwanini wanahangaika kama binadamu wa kawaida wakati wao wana supernatural powers za kupata chochote wanachokitaka au kufika kokote duniani bila kuhitaji boda daladala wala mabasi?
 
Mkuu iko hivi katika jinsi ulivyosimuliwa kuna kitu hukuelewa vizuri.
Sawa upo uwezekano wa jini kupanda daladala au kwenda sokoni au kufanya chochote mwanadamu anachofanya ila huwa wanfanya kwa lengo fulani ila haimaanishi kwamba wamekosa nauli au wakienda sokoni haimaanishi kuwa wana njaa ya kuiba mchele bali huenda kwa malengo maalumu either wametumwa wamfuatilie binadamu fulani kwa lengo la either kumlinda,kumdhuru au kumfanyia michezo na mizaha.
Majini hawaonekani ila kuna wakati huwa wanaamua wajitokeze kwa umbile la binadamu,nyoka au wanyama wengine.
Kwa hiyo hufanya hivyo kwa hobby wala hawateseki,ni sawasawa na binadamu wanavyokwenda kuogelea baharini lakini makazi yetu ni nchi kavu.
 
Ukishaelewa kuwa hao majini wanaish kama binadamu bs tambua kuna matajiri, na maskin km ilivyo kwa binadamu..

Eti Jini anakula jalalani vyakula tunavyotupa [emoji23]
 
Mkuu iko hivi katika jinsi ulivyosimuliwa kuna kitu hukuelewa vizuri.
Sawa upo uwezekano wa jini kupanda daladala au kwenda sokoni au kufanya chochote mwanadamu anachofanya ila huwa wanfanya kwa lengo fulani ila haimaanishi kwamba wamekosa nauli au wakienda sokoni haimaanishi kuwa wana njaa ya kuiba mchele bali huenda kwa malengo maalumu either wametumwa wamfuatilie binadamu fulani kwa lengo la either kumlinda,kumdhuru au kumfanyia michezo na mizaha.
Majini hawaonekani ila kuna wakati huwa wanaamua wajitokeze kwa umbile la binadamu,nyoka au wanyama wengine.
Kwa hiyo hufanya hivyo kwa hobby wala hawateseki,ni sawasawa na binadamu wanavyokwenda kuogelea baharini lakini makazi yetu ni nchi kavu.
Uko sahihi.
 
Majini ni nini !? Je wapo kweli !? Je wanawezaje kuingia ktk mwili wa binaadamu!?
 
Demons are angels who rebelled against God . That’s why they have higher ability than us. But we have given order to cast them out
Demons they are in other dimensions
They find host to survive. They find a person to live inside him with certain habits. They can’t survive physically, i mean in our physical world. They are in spiritual realm. When they find a person to live inside they manipulate a person without realizing easily. Your habits make them to stay inside you.
Through prayers they will be casted out.
What happen when their time to live inside a person is end?

Mathew
They leave but they will leave damage
So you realize that they don’t survive only inside a person but they leave damage , you will see a person is sick ,
faced with problems and no peace.

When the unclean spirit is gone out of a man, He walketh through dry places, seeking rest, and findeth none.
[Matthew 12:43]

Then He saith, I will return into my house from whence I came out; and when He is come, He findeth it empty, swept, and garnished.
[Matthew 12:44]

Then goeth he, and taketh with himself seven other spirits more wicked than himself, and they enter in and dwell there: and the last state of that man is worse than the first. Even so shall it be also unto this wicked generation.
[Matthew 12:45]
 
Wapo Kweli
Na wanaingia kupitia dhambi
Na wanamtafuta mtu mwenye tabia zitakazo mfaa aingie ndani ya mtu
Bado sijakuelewa hapo ,, mfano mtoto mdogo aliye kumbwa na mademons ana dhambi gani tena !?

Tabia zitakazo mfaa kivipi !?
 
Hao wanachanganya Data.

Majini na demons ni dhana mbili tofauti.
Majini ni viumbe kama binadamu.
Wakiasi huitwa Demons.
Hata binadamu akiasi huitwa Demons.

Kumaanisha sio kila Jini ni Demon.
Na sio kila binadamu ni Demon
 
Bado sijakuelewa hapo ,, mfano mtoto mdogo aliye kumbwa na mademons ana dhambi gani tena !?

Tabia zitakazo mfaa kivipi !?
inategemeana hapo utakuta kuna kitu anacho ambayo huyo pepo anaendelea kukaa ndani yake
Labda kuna kitu cha kichawi anacho pasipo yeye kujua au kuna kitu kina nguvu za giza amekivaa
Mfano kuna huyo mtoto alikuwa anamapepo walikemea sana na bado hayatoki ila kuna mtu aliona kuna chain amevaa ilikuwa ina nguvu za giza baada ya kutoa mapepo yakatoka
 
Huu uzi upelekwe jukwaa la vichekesho tu maana unachekesha mno!.. jini linapanda bodaboda ama kweli...🤣
 
Back
Top Bottom