Si hua wanapewa ulinzi na serikali mda wote kwanini wahofie usalama?Usalama
Wasitoboe siriKwa anaefahamu atujuze, hivi ni kwanini majaji wa mahakama hapa Tanzania hawaruhisiwi kujichanganya sana? Maana huwezi kuskia Majaji wanahudhuria sherehe, Misiba nk!?
Unataka jaji aje wapi kukusabahi?Kwa anaefahamu atujuze, hivi ni kwanini majaji wa mahakama hapa Tanzania hawaruhisiwi kujichanganya sana? Maana huwezi kuskia Majaji wanahudhuria sherehe, Misiba nk!?
Kivipi wakati wana kiapo tayari cha utii, kama ni siri mbona mawaziri hawabanwi ivo?Wasitoboe siri
Wasitoboe siri
😂😂😂 hapana mr nilitaka kufahamu tu.Unataka jaji aje wapi kukusabahi?
Shukran kwa mchango wako mkuu.Unaposema hawaruhusiwi maana yake ni kwamba wanakatazwa.
Nani anawakataza?
Kwa cheo na wadhifa wa jaji hapa Tanzania, hakuna wa kumkataza kutembea popote hapa nchini.
Ni watu wa kujisikia hawawezi kudhurula hovyo . Kila kitu hupatiwa bure
Misiba,sherehe na ishu zozote zile za kijamii wanashiriki..
Labda Mkuu hujawahi kukutana nao vilingeni,ila pia usitegemee kukutana nao sehemu kama Juliana Bar..
Hyatt Regency, sea cliffWao wanagongea vyombo wapi Sasa mkuu.....
Kazi lawama hivyo kudhuriwaKwa anaefahamu atujuze, hivi ni kwanini majaji wa mahakama hapa Tanzania hawaruhisiwi kujichanganya sana? Maana huwezi kuskia Majaji wanahudhuria sherehe, Misiba nk!?
Aisee noma sasaKazi lawama hivyo kudhuriwa
Niliskia mahala ndio maana nimeweka hii thread kuconfirmHawaruhusiwi na nani?