Kwanini Majaji hawaruhusiwi kujichanganya sana?

Taeyong

Senior Member
Sep 29, 2019
157
201
Kwa anaefahamu atujuze, hivi ni kwanini majaji wa mahakama hapa Tanzania hawaruhisiwi kujichanganya sana? Maana huwezi kuskia Majaji wanahudhuria sherehe, Misiba nk!?
 
Unaposema hawaruhusiwi maana yake ni kwamba wanakatazwa.
Nani anawakataza?
Kwa cheo na wadhifa wa jaji hapa Tanzania, hakuna wa kumkataza kutembea popote hapa nchini.
Ni watu wa kujisikia hawawezi kudhurula hovyo . Kila kitu hupatiwa bure
 
Shukran kwa mchango wako mkuu.
 
Back
Top Bottom