Kama mapinduzi ya kiteknolojia yamechukua nafasi kuna haja tena ya kuajiri Mahakimu na Majaji?

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,147
7,721
Kufuatia mapinduzi makubwa ya kiteknolojia katika Idara ya Mahakama haswa matumizi ya akili bandia kwenye shughuli za kimahaka, je? Kunahaja tena ya kuajiri Mahakimu na Majaji ambao ni gharama kubwa kwa Serikali?

Kwa ushauri wangu nadhani utumikaji wa teknolojia haswa iliyo anzishwa ya kunakili mwenendo wa kesi na kutafasiri hapo kazi itakwenda kwa hara na kwa wakati, kwa maana nyingine Mashine moja ya akili bandia ni sawa na Mahakimu 10 au Majaji 10. Hivyo kazi ya Mahakimu 10 au Majaji 10 sasa inaenda kufanywa na Akili bandia moja.
Kwamaana hiyo sioni haja kwa Serikali kuajiri tena Mahakimu au Majaji.

Teknolojia inapugunza na kurahisisha kazi lakini pia inaenda kupunguza mzigo lwa Serikali wa kuajiri idadi kubwa ya Mahakimu au Majaji.

Pongezi kwa Kwa Jaji Mkuu na Makamq kwa ujumla kwa Kuanzisha teknojia ya AKILI BANDOA MAHAKAMANI.

Tulege kujiajiri zaidi kuliko kuajiriwa, kwani ajira zina zidi kupunguzwa na matumizi ya teknolojia.
 
Back
Top Bottom