Better iwe mwisho kuliko nafsi kuteseka ,miaka michache ijayo kutakuwa na maroboti tunaishi nao ... Binadamu atakosa hata kazi ,hizo biashara zitakuwa ngumu zaidi ... Ukifuatilia tu hasa Africa kila kukicha umaskini unaongezea; ile elimu iliyokuwa mkombozi haipo sasa, watu wanakufa hovyo kwenye ajali kila siku.Aisee !!! Nakubaliana na huo ukweli kwamba maisha ni ubatili but naomba kuuliza iwapo binaadamu wataacha kuzaliana sindio utakuwa mwisho wa uwepo wa binaadamu duniani na vipi kuhusu kuumbwa kwetu lengo haswaa lilikuwa ni nini !? Au ndio tuli kuwa cron na annunak ili tuje kukamilisha mission zao !?
Well Said , Nakuelewa sanaBetter iwe mwisho kuliko nafsi kuteseka ,miaka michache ijayo kutakuwa na maroboti tunaishi nao ... Binadamu atakosa hata kazi ,hizo biashara zitakuwa ngumu zaidi ... Ukifuatilia tu hasa Africa kila kukicha umaskini unaongezea; ile elimu iliyokuwa mkombozi haipo sasa, watu wanakufa hovyo kwenye ajali kila siku.
Assume wanaozaliwa na HIV, sickle na Asthma automatically wameanza na tatizo dunia, na wengine ni wale kutoka familia maskini.Ni Mambo ya hovyo sana kwa kweli na kwanini palikuwa na hii mechanism ya kuzaliwa pasipo kumshirikisha mzaliwa
Imagine mtu ana zaliwa halafu anakuja duniani mara anaanza kuumwa cancer mara Figo zimefeli mara kapata ajali kakatwa miguu na mikono mara sijui kafilisika mara kafukuzwa kazi , maisha ni us**nge mtupu kmmk 🚮🚮🚮🚮
Ni ubatili sana Kwa kweli assume maisha ya watu wa Palestine na Ukraine the yalivyo !!! Hapo ndio utaelewa kwamba kuishi ni ubatili
Hakika huu ni ubatili Mkuu, anashukuru kwa kutokufa wakati lazima tu atakufa. Anavyoshukuru ni kama hatokuja kufa tena.😆😆😆😆😆
Nimecheka sana hoja yako nzito mnooo
Sasa katika mambo ambayo huwaga siyaelewi unakuta inatokea Kuna mtu Amenusurika Kupata ajali Au amepata ajali halafu hajafa --- Halafu anasema anamshukuru mungu hajafa Wakati huo huo anashukuru kuwa hajafa Wakati ipo siku lazima atakufa tu , kuna haja gani sasa ya kushukuru wakati kifo huwezi kukiepuka na nilazima uje kufa !!!!
Kuishi ni ubatili Kwa kweli
Basi ubatili wenyewe ndio huu,kama una "Fight to stay alive",then unakufa. Kunakua na umuhimu gani wa kupambania kuishi wakati lazima ufe?
🤣😂, Unaweza ukakuta anayemshukuru mungu kwa kutotokwa na uhai kapoteza mikono, miguu au viungo vingine, jambo ambalo linafanya maisha yazidi kuwa magumu zaidi.😆😆😆😆😆
Nimecheka sana hoja yako nzito mnooo
Sasa katika mambo ambayo huwaga siyaelewi unakuta inatokea Kuna mtu Amenusurika Kupata ajali Au amepata ajali halafu hajafa --- Halafu anasema anamshukuru mungu hajafa Wakati huo huo anashukuru kuwa hajafa Wakati ipo siku lazima atakufa tu , kuna haja gani sasa ya kushukuru wakati kifo huwezi kukiepuka na nilazima uje kufa !!!!
Kuishi ni ubatili Kwa kweli
Kweli ndugu yangu.Ni kweli lkn nani asiyependa kula vzr, kuvaa vzr, kulala sehemu nzuri yaani upate zile basic needs katika kiwango unachoona inafaa ??? Hakuna hakuna na hatatokea
Ni kweli maisha ni ubatili lakini maisha ni mazuri Sana haya ukifanikiwa kuelewa namna ya kuyaishi, cc secretarybird
😁mkuu Mbona makasilikoo unajua Tanzania ni under populated.Halafu kuna mipumbavu ambaye hata kula yake ni shida bado anatombatomba hovyo na uendelea kuleta viumbe wengine waje kuteseka kwenye huu ubatili mtupu
View attachment 3368786
Kawa kawaida mida yetu hii 😂 chemistry gan hii 😂Kweli ndugu yangu.
Kwanini upo macho muda hii binafsi KONYAGI NDOGO MOJA Ishaisha kichwani 😁😁Kawa kawaida mida yetu hii 😂 chemistry gan hii 😂
Nadhani tuu mwili umeruhusu niamke cuz siwezi kukesha 😂Kwanini upo macho muda hii binafsi KONYAGI NDOGO MOJA Ishaisha kichwani 😁😁
Huwezi kukeshaa tusha kua JF MONGER'SNadhani tuu mwili umeruhusu niamke cuz siwezi kukesha 😂
Yaan ile nakuwa nakaa from saa tatu till now kw simu not hat kukaa Tena club naona siwezi 😂Huwezi kukeshaa tusha kua JF MONGER'S
Kwa kweli melo alitazame hili 😔😔
Mimi pia sio mtu wa ma clubYaan ile nakuwa nakaa from saa tatu till now kw simu not hat kukaa Tena club naona siwezi 😂
Me hata home nakunywa vzr au lounge ndg ndg fresh naenjoy afu inakuwa no usumbufuMimi pia sio mtu wa ma club