Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,458
- 3,011
Basi ubatili wenyewe ndio huu,kama una "Fight to stay alive",then unakufa. Kunakua na umuhimu gani wa kupambania kuishi wakati lazima ufe?LIFE is about
Be born
Fight to stay alive
Then die
Basi ubatili wenyewe ndio huu,kama una "Fight to stay alive",then unakufa. Kunakua na umuhimu gani wa kupambania kuishi wakati lazima ufe?LIFE is about
Be born
Fight to stay alive
Then die
Lakini hata wao mwisho wao ni mauti tu lakini binadamu wachache sana hasa wenye madaraka huwa wanaliona hilo..tamaa ni kubwa sana juu ya mali na vyeo.Maisha ni ubatili .
Mfano Mwanasiasa anaanzisha VITA anapeleka wanajeshi vitani na wanakufa wakifa wanaitwa mashujaa Ila yeye hakubali kuuliwa au kufa kifo kibaya .
So maisha yapo ili kuyaishi ila Watu wachache wameamua kwa makusudi kujipatia Faida kupitia watu wengine wenye ufahamu mdogo.
Indeed ni ubatili Kwa kweliNdio, ni ubatili mtupu.
Futuhii
Ukiwa mjinga utayafurahia ila ukiwa mwerevu na mwenye kuchunguza kwa mapana utajua ubatili wake kisha utateseka.
Ukitambua hili wakati hujapata watoto hatokubali kamwe kuleta watoto duniani. Kwa nini?
Kwasababu hamna maana yoyote umpate mtoto wako mpendwa kisha aje azunguke duara ulilozunguka alafu aishie
Uwe masikini au tajiri mkubwa mwenye hadi jeshi binafsi, utagundua maisha hayana maana kwa yeyote sababu utaishi kisha utaishia
Hakuna mwanadamu timamu atakaekubali kuzaa!
Ukiona mwenye hekima ambaye ana uzao wake katika dunia hii, basi elewa alipata uzao kabla hajaipata hekima au alitegeshewa.
Ubatili mtupu
Maisha ni ujinga mkubwaMaisha ni ujinga na watu wamekaririshwa kuogopa kifo
Still ni ubatili cuz hawato kiepuka kifo magonjwa na mateso mbali mbali ktk maisha yaoMaisha yanakuwa ubatili kama unajilisha upepo. Lakini kwa wengine, maisha yana maana.
Kuishi ni utapeli ni meaninglessBinadamu hawezi kuwa na akili timamu kwa sababu ni mtumwa wa maisha bila ya maamuzi yake ,utaona akaza kupambana ila hajui anapambania nn ? Kiuhalisia kuzaa na maisha kwa ujumla ni upatu na utapeli mkubwa kuwahi kutokea.
Baadhi ya wanafalsafa na great thinkers wa awali kabisa walichunguza wakaona kuishi ni utapeli ...
Aisee !!! Nakubaliana na huo ukweli kwamba maisha ni ubatili but naomba kuuliza iwapo binaadamu wataacha kuzaliana sindio utakuwa mwisho wa uwepo wa binaadamu duniani na vipi kuhusu kuumbwa kwetu lengo haswaa lilikuwa ni nini !? Au ndio tuli kuwa cron na annunak ili tuje kukamilisha mission zao !?Hii ni siri kubwa hasa kuzaliana kama ukitambua ,watu wa zamani hata waafrika walitaka kuzaliana ili wafalme waendelee kupanua himaya zao ..Hao wafalme walikuwa mstari wa mbele kuhamasisha ; walioa wake wengi na kuzaa sana ili kuongea ukubwa wa tawala zao.
Hii ni siri binadamu wamefumbwa bila ya kujijua ,siku zote binadamu anafurahi anapokuwa juu ya mwingine si kwa mali ,elimu ,madaraka ,wala idadi ya watoto..
Leo hii Musk anahamasisha watu wazaliane ili azidi kuongoza watu wengi ,anajihisi fahari kuwa tajiri mkubwa ...Hata leo utaona binadamu mafanikio yake hinafsi yanamtesa ;atataka kupost nyumba aliyojenga ,gari alilonunua ,mtoto aliyezaa mwenyewe ili kujionesha kwamba yuko juu ya wengine...
Maisha ni ubatili mtupu tena uthenge fulani.
Aisee !!!! I wishNdiomaana papa aliefariki juzi hajaacha uzao wake si ndio
Umeongea mengi yana maana but still umeshindwa kutetea hoja yako inayo Pinga kuwa maisha ni ubatiliExistence ya viumbe wote hai Dunia inategemea KUZALIANA...... Binadamu wakikoma kuzaliana watapotea kwenye uso wa Dunia......
Ndio maana Kuna sababu kwanini Sex(reproduction) is so pleasurable ili kuchochea kuzaliana
Viumbe wote ni GREED na SELFISH, kila mmoja anataka kuwa na HUHAKIKA wa kupata mahitaji ya kushibisha nafsi yake kwanza...... hii ndio NATURE ya viumbe wote
Ndio maana watu wote TUNACHUANA kuwa kwenye NAFASI ya kuwa na UHAKIKA wa kukidhi matakwa ya nafsi zetu.
LIFE is about
Be born
Fight to stay alive
Then die
Ukiijua hii CODE huwezi kusema maisha ni ubatili
Kwanza watu watasukumwa na UTAMU wa kujamiiana, itafuata Mimba kisha Mtoto..... Kuna sababu kwanini viumbe vingi vya kike vinakua so protective kwa vichanga vyao
Kwasababu vichanga vikifa hakuna MUENDELEZO
Baada ya kukua unatakiwa upambane kuishi..... nothing given for granted.....
Hapa ndio uta pambanua maisha yako utakayo fanikiwa kuishi yatakua ya namna gani
Baada ya hapo YOU DIE......
Sasa KUFA isiwe ndio sababu ya kuona maisha ni UBATILI
Hata ukizaliwa ukafa na siku moja...... utakua tayari ume play part yako
Tell him 😁😁😁😁Ume panic huyu jomba yupo sawa " maisha ni ubatili
Ni Mambo ya hovyo sana kwa kweli na kwanini palikuwa na hii mechanism ya kuzaliwa pasipo kumshirikisha mzaliwaHauoni kama ni ubatili tena utapatu kabisa , just assume wewe unajua kama utakufa kwa akili ya kawaida ila haujui utakufa lini?
Just assume hata maisha yako hauna uhakika ila una utaratibu ulijipangia wa kuishi,leo unafanya biashara kesho unaweza kuanguka kweupe...Mimi nilikuwa kitengo miaka kama 2.5 nyum tena ajira za serikali za uhakika ,leo sipo kule ,hauoni kama ni kubeti huko?
Maisha yote ni ubatili hapo kweny kupambana ,: je ,uliambiwa kabla ya kuzaliwa au ulijikuta ushaingia mkenge Duniani kupitia tamaa za wazazi wako ? Binadamu ana akili usione watoto wakizaliwa wanalia kuna jambo hapa duniani..
Sheria za haki zote duniani ni ubatili , ingekuwa ziko sawa watu wangeanza kufanya kuzaa ni faragha ya anayezaliwa sio unajifanya maamuzi ya kuleta maisha ya mwingine tena hana hatia , maskini wanazaliana kama panya bila ya kuwa na huruma ya mtoto anayezaliwa kama wataweza kuwahudumia.
😁😁😆😆 Yaani ninecheka kama mazuri vile , bad enough huyo mwabasiasa na yeye anakuja kufa na kuyaacha Yale yote Aliyo kuwa anayapigania , maisha ni ubatili for sure 100%Maisha ni ubatili .
Mfano Mwanasiasa anaanzisha VITA anapeleka wanajeshi vitani na wanakufa wakifa wanaitwa mashujaa Ila yeye hakubali kuuliwa au kufa kifo kibaya .
So maisha yapo ili kuyaishi ila Watu wachache wameamua kwa makusudi kujipatia Faida kupitia watu wengine wenye ufahamu mdogo.
So sadExactly 💯..Mfano mzuri mzuri Putin...anakomaa hataki vita isimame wakati yeye kavaa suti katulia ikulu....hao underprivileged ndio wapo front wakiumia kwa kivuli cha kiapo....
Hakika ni ubatili...
😁 So ni illusion kumbe !!!Kwahiyo hayana maana ila maana yanapewa na watu au binadamu?
😆😆😆😆😆Basi ubatili wenyewe ndio huu,kama una "Fight to stay alive",then unakufa. Kunakua na umuhimu gani wa kupambania kuishi wakati lazima ufe?