Kwanini maisha ni Ubatili?

Kwanini maisha ni Ubatili?

Hili dude linarecord mazungumzo siku ukirudi linaanzia mlipoishia 😄
Linayasoma mawazo Yako na kuyahifadhi
Binadamu hawezi kuwa na akili timamu kwa sababu ni mtumwa wa maisha bila ya maamuzi yake ,utaona akaza kupambana ila hajui anapambania nn ? Kiuhalisia kuzaa na maisha kwa ujumla ni upatu na utapeli mkubwa kuwahi kutokea.

Baadhi ya wanafalsafa na great thinkers wa awali kabisa walichunguza wakaona kuishi ni utapeli ...
Kwahiyo tufe ss si ndio🙄
 
Hii ni siri kubwa hasa kuzaliana kama ukitambua ,watu wa zamani hata waafrika walitaka kuzaliana ili wafalme waendelee kupanua himaya zao ..Hao wafalme walikuwa mstari wa mbele kuhamasisha ; walioa wake wengi na kuzaa sana ili kuongea ukubwa wa tawala zao.

Hii ni siri binadamu wamefumbwa bila ya kujijua ,siku zote binadamu anafurahi anapokuwa juu ya mwingine si kwa mali ,elimu ,madaraka ,wala idadi ya watoto..

Leo hii Musk anahamasisha watu wazaliane ili azidi kuongoza watu wengi ,anajihisi fahari kuwa tajiri mkubwa ...Hata leo utaona binadamu mafanikio yake hinafsi yanamtesa ;atataka kupost nyumba aliyojenga ,gari alilonunua ,mtoto aliyezaa mwenyewe ili kujionesha kwamba yuko juu ya wengine...

Maisha ni ubatili mtupu tena uthenge fulani.
Existence ya viumbe wote hai Dunia inategemea KUZALIANA...... Binadamu wakikoma kuzaliana watapotea kwenye uso wa Dunia......
Ndio maana Kuna sababu kwanini Sex(reproduction) is so pleasurable ili kuchochea kuzaliana

Viumbe wote ni GREED na SELFISH, kila mmoja anataka kuwa na HUHAKIKA wa kupata mahitaji ya kushibisha nafsi yake kwanza...... hii ndio NATURE ya viumbe wote
Ndio maana watu wote TUNACHUANA kuwa kwenye NAFASI ya kuwa na UHAKIKA wa kukidhi matakwa ya nafsi zetu.

LIFE is about
Be born
Fight to stay alive
Then die

Ukiijua hii CODE huwezi kusema maisha ni ubatili

Kwanza watu watasukumwa na UTAMU wa kujamiiana, itafuata Mimba kisha Mtoto..... Kuna sababu kwanini viumbe vingi vya kike vinakua so protective kwa vichanga vyao
Kwasababu vichanga vikifa hakuna MUENDELEZO

Baada ya kukua unatakiwa upambane kuishi..... nothing given for granted.....
Hapa ndio uta pambanua maisha yako utakayo fanikiwa kuishi yatakua ya namna gani

Baada ya hapo YOU DIE......

Sasa KUFA isiwe ndio sababu ya kuona maisha ni UBATILI
Hata ukizaliwa ukafa na siku moja...... utakua tayari ume play part yako
 
Hauoni kama ni ubatili tena utapatu kabisa , just assume wewe unajua kama utakufa kwa akili ya kawaida ila haujui utakufa lini?

Just assume hata maisha yako hauna uhakika ila una utaratibu ulijipangia wa kuishi,leo unafanya biashara kesho unaweza kuanguka kweupe...Mimi nilikuwa kitengo miaka kama 2.5 nyum tena ajira za serikali za uhakika ,leo sipo kule ,hauoni kama ni kubeti huko?

Maisha yote ni ubatili hapo kweny kupambana ,: je ,uliambiwa kabla ya kuzaliwa au ulijikuta ushaingia mkenge Duniani kupitia tamaa za wazazi wako ? Binadamu ana akili usione watoto wakizaliwa wanalia kuna jambo hapa duniani..

Sheria za haki zote duniani ni ubatili , ingekuwa ziko sawa watu wangeanza kufanya kuzaa ni faragha ya anayezaliwa sio unajifanya maamuzi ya kuleta maisha ya mwingine tena hana hatia , maskini wanazaliana kama panya bila ya kuwa na huruma ya mtoto anayezaliwa kama wataweza kuwahudumia.
 
Ukiijua hii CODE huwezi kusema maisha ni ubatili

Kwanza watu watasukumwa na UTAMU wa kujamiiana, itafuata Mimba kisha Mtoto..... Kuna sababu kwanini viumbe vingi vya kike vinakua so protective kwa vichanga vyao
Kwasababu vichanga vikifa hakuna MUENDELEZO

Baada ya kukua unatakiwa upambane kuishi..... nothing given for granted.....
Hapa ndio uta pambanua maisha yako utakayo fanikiwa kuishi yatakua ya namna gani
Hebu rudiarudia kusoma haya maelezo yako utoe tafakuri mpya.

Kwanini unafurahi kuishi gerezani ilihali huna hata nafasi ya unyapara?
 
Umenikumbusha kitabu kimoja nilikuwa nakisoma miezi michache iliyopita. Kinaitwa "The Human Predicament : A Candid Guide To Life's Biggest Questions" cha David Benatar. Nime attach PDF file hapo chini.

View attachment 3338238

Kitabu hiki kimeongelea mada hizi kwa utaalamu mkubwa na falsafa, nilikuwa nakisoma mpaka nataka kukiacha kwa maana kinaonesha maisha yalivyo mzigo tuliotwekwa bila kutaka ambao hata kuutua tunatakuwa tuutue bila kutaka.

Warning, this book may trigger suicide ideation.

Kwenye cover wameandika.

Are our lives meaningful, or meaningless? Is our inevitable death a bad thing? Would immortality be an improvement? Would it be better, all things considered, to hasten our deaths by suicide? Many people ask these big questions -- and some people are plagued by them. Surprisingly, analytic philosophers have said relatively little about these important questions about the meaning of life. When they have tackled the big questions, they have tended, like popular writers, to offer comforting, optimistic answers. The Human Predicament invites readers to take a clear-eyed and unfettered view of the human condition.

David Benatar here offers a substantial, but not unmitigated, pessimism about the central questions of human existence. He argues that while our lives can have some meaning, we are ultimately the insignificant beings that we fear we might be. He maintains that the quality of life, although less bad for some than for others, leaves much to be desired in even the best cases. Worse, death is generally not a solution; in fact, it exacerbates rather than mitigates our cosmic meaninglessness. While it can release us from suffering, it imposes another cost - annihilation. This state of affairs has nuanced implications for how we should think about many things, including immortality and suicide, and how we should think about the possibility of deeper meaning in our lives. Ultimately, this thoughtful, provocative, and deeply candid treatment of life's big questions will interest anyone who has contemplated why we are here, and what the answer means for how we should live.
Komenti zako huwa zina madini na maarifa mengi sana kwenye mambo mengi sana...👏

Whenever I see your comment, I pause scrolling down to get food for thought.
 
Komenti zako huwa zina madini na maarifa mengi sana kwenye mambo mengi sana...👏

Whenever I see your comment, I pause scrolling down to get food for thought.
Asante sana mkuu.

Hapo kwa anayependa kufuatilia mambo haya kujielimisha zaidi nimeweka mpaka kitabu kilichochambua mada kwa marefu na mapana kuliko ninavyoweza kuandika kwenye post moja.
 
Maisha ni ubatili .

Mfano Mwanasiasa anaanzisha VITA anapeleka wanajeshi vitani na wanakufa wakifa wanaitwa mashujaa Ila yeye hakubali kuuliwa au kufa kifo kibaya .

So maisha yapo ili kuyaishi ila Watu wachache wameamua kwa makusudi kujipatia Faida kupitia watu wengine wenye ufahamu mdogo.
 
Ndio, ni ubatili mtupu.

Futuhii

Ukiwa mjinga utayafurahia ila ukiwa mwerevu na mwenye kuchunguza kwa mapana utajua ubatili wake kisha utateseka.
Ukitambua hili wakati hujapata watoto hatokubali kamwe kuleta watoto duniani. Kwa nini?
Kwasababu hamna maana yoyote umpate mtoto wako mpendwa kisha aje azunguke duara ulilozunguka alafu aishie

Uwe masikini au tajiri mkubwa mwenye hadi jeshi binafsi, utagundua maisha hayana maana kwa yeyote sababu utaishi kisha utaishia

Hakuna mwanadamu timamu atakaekubali kuzaa!

Ukiona mwenye hekima ambaye ana uzao wake katika dunia hii, basi elewa alipata uzao kabla hajaipata hekima au alitegeshewa.

Ubatili mtupu
"Jogoo Hatembei Na Vifaranga"
 
Hapa Kuna hoja.
 
Maisha ni ubatili .

Mfano Mwanasiasa anaanzisha VITA anapeleka wanajeshi vitani na wanakufa wakifa wanaitwa mashujaa Ila yeye hakubali kuuliwa au kufa kifo kibaya .

So maisha yapo ili kuyaishi ila Watu wachache wameamua kwa makusudi kujipatia Faida kupitia watu wengine wenye ufahamu mdogo.
Exactly 💯..Mfano mzuri mzuri Putin...anakomaa hataki vita isimame wakati yeye kavaa suti katulia ikulu....hao underprivileged ndio wapo front wakiumia kwa kivuli cha kiapo....
Hakika ni ubatili...
 
Back
Top Bottom