Regnatus Cletus
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,114
- 959
Hata Kiswahili nacho ni mtihani!
Tukiunganisha phont phage, air hostages, interpretenuaa etc tunaweza kuwa na kanisa yetu made in Tanzania
Acha upumbavu, raisi kukosea neno moja katika 1000 , ndio uanzishe Uzi, yaani chadema mmekosa hoja, kila kitu mnadandia , badala mjadili kuhusu mustakabali wa kupoteza jimbo la Arumeru kijinga, unaanzisha Uzi kumkebehi raisi,
Pumbaff
'When youβve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.β David Alaba
Aongee ki lughaHis English is poor, and his Swahili is not even better. Vumilia kusikia ukweli.
Chadema siku hizi hawaikosoi serikali pamoja na makosa kibao inayofanya, wako busy na kukosoa point za kijinga,
Hapo ilibidi ukosoe jambo la maana
Hata washangiliaji wake huwa wanakosa amani huyo "sheikh " anapoanza kuongea mbele ya kadamnasi. πππππππππHis English is poor, and his Swahili is not even better. Vumilia kusikia ukweli.
Nafikiri anafanya kusudi kujidai hajui neno la Kiingereza!Sijui shida ni nini tu? Maana Kiswahili ni lugha nzuri tu yenye hadhi na viwango stahiki vya lugha bora.
Magufuli haishi kuchomekea vimaneno vyake vya broken English ; hata kwenye mkutano wa wakuu wa jumuiya ya Afrika mashariki alinishangaza kwa kuingiza vijimaneno vyake vibovu vya kiingereza!
Lugha ya Kiswahili ikizungumzwa kwa ufasaha unaotakiwa ni lugha nzuri mno na ya heshima! Nilitegemea kwenye mkutano ule akiwakilishe Kiswahili kwa mbwembwe na madaha yote ya kisarufi lakini akaishia kukorogo tu mara achomekee vimisamiati vyake vya hovyo! Vimisamiati vyenyewe broken! Hata tenses tu hawezi!
Yule mwanamama wa kirusi alipokuja ikulu, Rais akawaponda wanaoongea kiingereza, eti 'wanajifanya'! Ebo!!? Juzi katutia aibu, badala ya kusema "air hostesses" kasema air 'hostages'!
Ningemshauri Rais aongee Kiswahili, tena Kiswahili sanifu!!
Kiingereza chake hafifu sana, hawezi kabisa sarufi! Tutaepuka "intaprentinyuwa" , "fenti fodi" na matakataka mengine ya dizaini hiyo!