KINGWALANGWANDA
Senior Member
- Jan 23, 2015
- 102
- 30
Nasubiri jibu la hili swali....
Masista na mapadri ndio wanaotakiwa kukaa boarding. wakikaa waislam wanaambiwa magaidi
Nasubiri jibu la hili swali....
we firauni wewe toa uharo wako wako, tutawageuza kama wakenya, watu wenyewe waoga kama nini, mkimuona muislamu tu mnaanza kuharisha
Una chembe zoote za ugaidi, sichangii hoja yako.
zimefungwa madrasa mbili kwakisingizio cha mafunzo ya ugaidi.ipo siku tutaheshimiana tu
myoyambendi Leo umefanikiwa kuangalia taarifa ya habari ITV?
Ndugu wanajamvi, nimekuwa nikifuatilia jinsi serikali yetu ya Tanzania inavyoanza kutengeneza na kuwaandaa waislam na wapinga dhulma kujiunga na ugaidi.
Kama mwezi mmoja uliopita nimekuwa nikiona msako mkali wa kuzifunga madrasa huko Arusha na Moshi, polisi na serikali kwa ujumla wakiziita madrasa eti ni vituo vya kufundisha ugaidi. Kwani hizi madrasa zimeanza Leo?
Na kwanini zimebadilishwa jina badala ya madrasa zinaitwa vituo kweli hii ni haki?
Je, BAKWATA wapo wapi? Masheikh wa mikoa wapo wapi? Je, wanajua kuwa ugaidi unajengwa kwa kuwa na mfumo kandamizi unao pendelea upande mmoja na hatimae upande mwingine kuona kama unaonewa nakuamua kujitoa muhanga kwa ajili ya wengine?
Leo tarehe 17.04.2015 nimeona taarifa ya habari ITV police pamoja na mkuu wa mkoa DODOMA wamefunga madrasa mbili eti wanaviita vituo haram vya mafunzo ya kigaidi. Je, kweli hii ni sawa? Waislam na wapenda amani hii kweli ni sawa tunavyoonewa na kunyanyaswa ndani ya nchi yetu sote ni sawa?
Na kwanini wanavyokamatwa hawahojiwi kila mtu akawasikia kwenye vyombo vya habari na kinachofanyika ni kamanda wa polisi kuwapa kesi na kuwaita anavyojua yeye kisha kuswekwa kwenye gari ili umma ujue ni wahalifu.Kweli hii ni sawa? Kwanini hawajawahi kuulizwa tukasikia majibu yao mbele ya kadamnasi?
Na kwanini wakristo wana vikundi vya scout makanisani mbona hawajawahi kukamatwa, kweli hii ni sawa? Hawajui kama roho zinauma na lolote linaweza tokea?
Kwanini nchi hii inakuwa na double standard?Mfano mashekh wengi wapo mahabusu na wamenyimwa dhamana na kuteswa eti wanaeneza chuki na kuhatarisha amani. Kweli hii ni haki?
Shekh Ponda alinusurika kuuawa kwa risasi pale Morogoro serikali walikaa kimya.
Leo hii mchungaji Gwajima amemtukana kiongozi mkubwa wa kanisa mbona hajafanyiwa kama alivofanyiwa Ponda? Mbona yeye hajanyimwa dhamana kwa kuhatarisha uvunjifu wa amani kwa kudhalilisha kanisa katoliki?
Kama angekuwa shekh yeyote kamkejeli Muft Simba ingekuwaje kama si kufanywa kama Shekh Ponda?
Hivi mnajua kinachoendelea Kenya kilianza kama hivi? Kwanini nchi yetu inakuwa hivi?
Naomba nisaidiwe ni sheria gani inasema ukitaka kuanzisha madrasa lazima isajiliwe? Eti wameanza kusaka vituo vya watoto Yatima vilivoanzishwa bila kufuata utaratibu kumbe wanasaka madrasa, hii haikubaliki tumewastukia na mabomu mnayaandaa mwenyewe siku yakilipuka mtamtafuta mchawi kumbe mchawi ni serikali ya kidhalimu.
Naomba kuwasilisha.
Sasa unamlaumu nan?Tena naona selikali imewapendelea sana ilibidi ifunge na misikiti, ila kwasababu serikali yote yenu ndomaana imeamua kufunga madrasa pekeake, na kwamaoni yako wewe ulitaka iweje? Mwakani hata hizo nguo zenu za kininja hamtazivaa tena
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ndugu wanajamvi, nimekuwa nikifuatilia jinsi serikali yetu ya Tanzania inavyoanza kutengeneza na kuwaandaa waislam na wapinga dhulma kujiunga na ugaidi.
Kama mwezi mmoja uliopita nimekuwa nikiona msako mkali wa kuzifunga madrasa huko Arusha na Moshi, polisi na serikali kwa ujumla wakiziita madrasa eti ni vituo vya kufundisha ugaidi. Kwani hizi madrasa zimeanza Leo?
Na kwanini zimebadilishwa jina badala ya madrasa zinaitwa vituo kweli hii ni haki?
Je, BAKWATA wapo wapi? Masheikh wa mikoa wapo wapi? Je, wanajua kuwa ugaidi unajengwa kwa kuwa na mfumo kandamizi unao pendelea upande mmoja na hatimae upande mwingine kuona kama unaonewa nakuamua kujitoa muhanga kwa ajili ya wengine?
Leo tarehe 17.04.2015 nimeona taarifa ya habari ITV police pamoja na mkuu wa mkoa DODOMA wamefunga madrasa mbili eti wanaviita vituo haram vya mafunzo ya kigaidi. Je, kweli hii ni sawa? Waislam na wapenda amani hii kweli ni sawa tunavyoonewa na kunyanyaswa ndani ya nchi yetu sote ni sawa?
Na kwanini wanavyokamatwa hawahojiwi kila mtu akawasikia kwenye vyombo vya habari na kinachofanyika ni kamanda wa polisi kuwapa kesi na kuwaita anavyojua yeye kisha kuswekwa kwenye gari ili umma ujue ni wahalifu.Kweli hii ni sawa? Kwanini hawajawahi kuulizwa tukasikia majibu yao mbele ya kadamnasi?
Na kwanini wakristo wana vikundi vya scout makanisani mbona hawajawahi kukamatwa, kweli hii ni sawa? Hawajui kama roho zinauma na lolote linaweza tokea?
Kwanini nchi hii inakuwa na double standard?Mfano mashekh wengi wapo mahabusu na wamenyimwa dhamana na kuteswa eti wanaeneza chuki na kuhatarisha amani. Kweli hii ni haki?
Shekh Ponda alinusurika kuuawa kwa risasi pale Morogoro serikali walikaa kimya.
Leo hii mchungaji Gwajima amemtukana kiongozi mkubwa wa kanisa mbona hajafanyiwa kama alivofanyiwa Ponda? Mbona yeye hajanyimwa dhamana kwa kuhatarisha uvunjifu wa amani kwa kudhalilisha kanisa katoliki?
Kama angekuwa shekh yeyote kamkejeli Muft Simba ingekuwaje kama si kufanywa kama Shekh Ponda?
Hivi mnajua kinachoendelea Kenya kilianza kama hivi? Kwanini nchi yetu inakuwa hivi?
Naomba nisaidiwe ni sheria gani inasema ukitaka kuanzisha madrasa lazima isajiliwe? Eti wameanza kusaka vituo vya watoto Yatima vilivoanzishwa bila kufuata utaratibu kumbe wanasaka madrasa, hii haikubaliki tumewastukia na mabomu mnayaandaa mwenyewe siku yakilipuka mtamtafuta mchawi kumbe mchawi ni serikali ya kidhalimu.
Naomba kuwasilisha.
hizi issue sio za kushabikia,,, mawazo huru huhitajika sana hapa,,, kwa nini hizi madrassa zifungwe, kunasababu za kueleweka na ushahidi wa kutosha??? waislamu wenyewe wanahusishwa kwenye hili??? haya mambo sio yakufanyia mzaha hata kidogo, masuala ya imani yanahitaji utulivu sana na serikali yetu iache kukurupuka, kwa nini serikali isikae na waislamu na kikaundwa chombo chenye kukubalika na waislamu baadala ya bakwata na kikasimamia haya mambo????
Ndugu wanajamvi, nimekuwa nikifuatilia jinsi serikali yetu ya Tanzania inavyoanza kutengeneza na kuwaandaa waislam na wapinga dhulma kujiunga na ugaidi.
Kama mwezi mmoja uliopita nimekuwa nikiona msako mkali wa kuzifunga madrasa huko Arusha na Moshi, polisi na serikali kwa ujumla wakiziita madrasa eti ni vituo vya kufundisha ugaidi. Kwani hizi madrasa zimeanza Leo?
Na kwanini zimebadilishwa jina badala ya madrasa zinaitwa vituo kweli hii ni haki?
Je, BAKWATA wapo wapi? Masheikh wa mikoa wapo wapi? Je, wanajua kuwa ugaidi unajengwa kwa kuwa na mfumo kandamizi unao pendelea upande mmoja na hatimae upande mwingine kuona kama unaonewa nakuamua kujitoa muhanga kwa ajili ya wengine?
Leo tarehe 17.04.2015 nimeona taarifa ya habari ITV police pamoja na mkuu wa mkoa DODOMA wamefunga madrasa mbili eti wanaviita vituo haram vya mafunzo ya kigaidi. Je, kweli hii ni sawa? Waislam na wapenda amani hii kweli ni sawa tunavyoonewa na kunyanyaswa ndani ya nchi yetu sote ni sawa?
Na kwanini wanavyokamatwa hawahojiwi kila mtu akawasikia kwenye vyombo vya habari na kinachofanyika ni kamanda wa polisi kuwapa kesi na kuwaita anavyojua yeye kisha kuswekwa kwenye gari ili umma ujue ni wahalifu.Kweli hii ni sawa? Kwanini hawajawahi kuulizwa tukasikia majibu yao mbele ya kadamnasi?
Na kwanini wakristo wana vikundi vya scout makanisani mbona hawajawahi kukamatwa, kweli hii ni sawa? Hawajui kama roho zinauma na lolote linaweza tokea?
Kwanini nchi hii inakuwa na double standard?Mfano mashekh wengi wapo mahabusu na wamenyimwa dhamana na kuteswa eti wanaeneza chuki na kuhatarisha amani. Kweli hii ni haki?
Shekh Ponda alinusurika kuuawa kwa risasi pale Morogoro serikali walikaa kimya.
Leo hii mchungaji Gwajima amemtukana kiongozi mkubwa wa kanisa mbona hajafanyiwa kama alivofanyiwa Ponda? Mbona yeye hajanyimwa dhamana kwa kuhatarisha uvunjifu wa amani kwa kudhalilisha kanisa katoliki?
Kama angekuwa shekh yeyote kamkejeli Muft Simba ingekuwaje kama si kufanywa kama Shekh Ponda?
Hivi mnajua kinachoendelea Kenya kilianza kama hivi? Kwanini nchi yetu inakuwa hivi?
Naomba nisaidiwe ni sheria gani inasema ukitaka kuanzisha madrasa lazima isajiliwe? Eti wameanza kusaka vituo vya watoto Yatima vilivoanzishwa bila kufuata utaratibu kumbe wanasaka madrasa, hii haikubaliki tumewastukia na mabomu mnayaandaa mwenyewe siku yakilipuka mtamtafuta mchawi kumbe mchawi ni serikali ya kidhalimu.
Naomba kuwasilisha.
Umewahi kumsikia mkristo gaidi?
hawa wakristo mbona wanachuki sana na waislam?waislam ni lazima tufanye kila linalowezekana kufa au kupona lkn haki ya upande wetu ipatikane..
Hawa ni wa dini gani wanaouwa wageni?Nipo Johannesburg,South Africa hapa mitaa ya Jeep street tumejifungia ndani toka saa 10 jioni wenye nchi yao wanapiga wageni,kuwaua na kuwachoma moto kama kuku.Wanapita mtaa kwa mtaa wakikuona mgeni hakuna kuuliza ni kipondo bila huruma.
Wanachoma matahiri barabarani na kuyachoma moto magari ya wageni wote kwenye nchi yao cha ajabu sasa wanaowapiga ni watu weusi wenzao na sio wazungu,wachina au waarabu mpaka unajiuliza hawa hawataki wageni au hawawataki wageni weusi.
Kesho natakiwa kurudi kwangu Cape Town maana nilikata ticket ya go & return hapa najiuliza nitaenda vipi uwanja wa ndege na kurudi kwangu Cape Town maana kule hakuna fujo za kijinga na kipuuzi kama hivi
Mimi ni muislamu kama ww unaelalama
Wewe siyo muislamu, ni mswahili tu! huelewi kitu! POLE