Kwanini Madrasa za Waislam zinafungwa?

Kwanini Madrasa za Waislam zinafungwa?

Status
Not open for further replies.
Gwajima hajakashifu wakiristu,amemtukana Pengo baada ya kujali tumbo lake tu. Unaposema munaonewa huo ni uongo wa hali ya juu. Unaongeleaje msikiti kugeuzwa pango la vijana Magaidi huko Morogoro?
 
Ndugu wanajamvi nime kuwa nikifuatilia jinsi serikali yetu ya tanzania inavo anza kutengeneza na kuwa andaa waislam na wapinga dhulma kujiunga na ugaid..

Kama mwezi mmoja uliopita nimekuwa nikiona msako mkali wakuzifunga mdrasa huko arusha na moshi police na serikali kwa ujumla waki ziita madrasa eti ni vituo vya kufundisha ugaidi kwani hizi madrasa zimeanza Leo?..
Na kwanini zime badilishwa jina badala ya madrasa zinaitwa vituo kweli hii nihaki?

Je bakwata wapo wapi? Mashegh wamikoa wapo wapi? Je wanajua kuwa ugaidi unajengwa kwa kuwa na mfumo kandamizi unao pendelea upande mmoja na hatimae upande mwingine kuona kama unaonewa nakuamua kujitoa muhanga kwa ajili ya wengine?

Leo tareh 17.04.2015 nimeona taarifa ya habari ITV police pamoja na mkuu wamkoa DODOMA wamefunga madrasa mbili eti wanaviita vituo haram vya mafunzo ya kigaidi je kweli hii ni sawa? He waislam na wapenda amani hii kweli ni sawa tunavo onewa na kunya nyaswa ndani ya nchi yetu sote ni sawa?...

Na kwa nini wanavo kamatwa hawa hojiwi kila mtu akawaskia kweny vyombo vya habari na kinacho fanyika ni kamanda wapolice kuwapa kesi nakuwaita anavo jua yeye kisha kuswekwa kweny gari ili umaa ujue niwahalifu kweli hi nisawa kwann hawa jawahi kuulizwa tukaskia majib yao mbele ya kadamnasi?

Na kwanini wakristo wana vikundi vya scout makanisani mbona hawajawahi kukamatwa kweli hii nisawa?..hawajui kama roho zinauma na lolote linaweza tokea?..

Kwa nini nchi hii inakuwa na double standard?...mfano mashekh wengi wapo mahabusu na wamenyimwa shaman nakuteswa eti wana eneza chuki nakuhatarisha amani kweli hii ni haki?

Shegh ponda alinusurika kuawa kwa risasi pale morogoro serikali walikaa kimya??
Leo hii mchungaji gwajima amemtukana kiongozi mkubwa wa kanisa mbona haja fanyiwa kama alivo fanyiwa ponda?..mbona ye hajanyimwa dhamana kwa kuhatarisha uvunjifu wa amani kwa kudhali lisha kanisa katoliki?

Kama angekuwa shekh yeyote kamkeli muft simba ingekuwaje kama si kufanywa kama shekh ponda?

Hivo mnajua kinacho endelea kenya kilianza kama hivi?
Kwa nn nchi yetu unakuwa hivi?

Naomba nisaidiwe nisheria gani inasema ukitaka kuanzisha madrasa lazima isajiliwe?..eti wame anza kusaka vituo vya watoto Yatima vilivo anzishwa bila kufuata utaratibu kumbe wanasaka madrasa hii haikubaliki tume wastukia na mabom mna yaandaa mwenyew siku yakilipuka mta mtafuta mchawi kumbe mchawi ni serikali ya kidhalim..

Naomba kuwasilisha.

Mkuu kaa kwenye mada we ishu za Pengo na Gwajima zinakuhusu nn?
 
wallah inauma sana, kwakweli hiki ni kipindi cha kufa kwa ajili ya dini yetu, hamna raha yoyote kwa waislam hapa duniani, tusiogope kufa coz hakuna atayebaki hapa duniani, tusife tumekaa bali tufe kwa faida! Naumia sana the way waislam tunavyokuwa treated, i am ready for anything.....

Uko tayari kwa lolote sio!!? Nifuate huku gizani basi.
 
hawa wakristo mbona wanachuki sana na waislam?waislam ni lazima tufanye kila linalowezekana kufa au kupona lkn haki ya upande wetu ipatikane.wakristo na serikali wote ni MAKAFIRI ZAIDI YA FIRAUUNI washenzi wakubwa.ni kwa nn hatupati AK47 tukamalizana kiume?inaniuma sana lkn ipo siku tu tuta........

Kabla hata ya kuiona hiyo eikeiarobaini na saba utakuwa umeisha. Wakristo hawajiendeshi kwa jazba na mitusi kama hivyo. Taratibu lkn kwa ukamilifu.
 
Ndugu wanajamvi nime kuwa nikifuatilia jinsi serikali yetu ya tanzania inavo anza kutengeneza na kuwa andaa waislam na wapinga dhulma kujiunga na ugaid..

Kama mwezi mmoja uliopita nimekuwa nikiona msako mkali wakuzifunga mdrasa huko arusha na moshi police na serikali kwa ujumla waki ziita madrasa eti ni vituo vya kufundisha ugaidi kwani hizi madrasa zimeanza Leo?..
Na kwanini zime badilishwa jina badala ya madrasa zinaitwa vituo kweli hii nihaki?

Je bakwata wapo wapi? Mashegh wamikoa wapo wapi? Je wanajua kuwa ugaidi unajengwa kwa kuwa na mfumo kandamizi unao pendelea upande mmoja na hatimae upande mwingine kuona kama unaonewa nakuamua kujitoa muhanga kwa ajili ya wengine?

Leo tareh 17.04.2015 nimeona taarifa ya habari ITV police pamoja na mkuu wamkoa DODOMA wamefunga madrasa mbili eti wanaviita vituo haram vya mafunzo ya kigaidi je kweli hii ni sawa? He waislam na wapenda amani hii kweli ni sawa tunavo onewa na kunya nyaswa ndani ya nchi yetu sote ni sawa?...

Na kwa nini wanavo kamatwa hawa hojiwi kila mtu akawaskia kweny vyombo vya habari na kinacho fanyika ni kamanda wapolice kuwapa kesi nakuwaita anavo jua yeye kisha kuswekwa kweny gari ili umaa ujue niwahalifu kweli hi nisawa kwann hawa jawahi kuulizwa tukaskia majib yao mbele ya kadamnasi?

Na kwanini wakristo wana vikundi vya scout makanisani mbona hawajawahi kukamatwa kweli hii nisawa?..hawajui kama roho zinauma na lolote linaweza tokea?..

Kwa nini nchi hii inakuwa na double standard?...mfano mashekh wengi wapo mahabusu na wamenyimwa shaman nakuteswa eti wana eneza chuki nakuhatarisha amani kweli hii ni haki?

Shegh ponda alinusurika kuawa kwa risasi pale morogoro serikali walikaa kimya??
Leo hii mchungaji gwajima amemtukana kiongozi mkubwa wa kanisa mbona haja fanyiwa kama alivo fanyiwa ponda?..mbona ye hajanyimwa dhamana kwa kuhatarisha uvunjifu wa amani kwa kudhali lisha kanisa katoliki?

Kama angekuwa shekh yeyote kamkeli muft simba ingekuwaje kama si kufanywa kama shekh ponda?

Hivo mnajua kinacho endelea kenya kilianza kama hivi?
Kwa nn nchi yetu unakuwa hivi?

Naomba nisaidiwe nisheria gani inasema ukitaka kuanzisha madrasa lazima isajiliwe?..eti wame anza kusaka vituo vya watoto Yatima vilivo anzishwa bila kufuata utaratibu kumbe wanasaka madrasa hii haikubaliki tume wastukia na mabom mna yaandaa mwenyew siku yakilipuka mta mtafuta mchawi kumbe mchawi ni serikali ya kidhalim..

Naomba kuwasilisha.

Mkuu ulitaka wafunge na sunday school?
 
wallah inauma sana, kwakweli hiki ni kipindi cha kufa kwa ajili ya dini yetu, hamna raha yoyote kwa waislam hapa duniani, tusiogope kufa coz hakuna atayebaki hapa duniani, tusife tumekaa bali tufe kwa faida! Naumia sana the way waislam tunavyokuwa treated, i am ready for anything.....

Mkuu dini inakuruhusu kuifia ili ukatuzwe bikra 70 akhera! kama unahasira kufa mkeo atarithiwa na makafiri. Kufa!
 
ADOLPH mbona watu wakiamua ni mara moja kuipata iyo.kazi kwako ww tu kwa vile hauna sent .kumbuka pesa ikitolewa ni lahisi sana kuzitia mikoni broo.ila hatipendi na hatuombi yatokee hayo ila ikibidi utaona kitachotokea
 
Ndugu wanajamvi, nimekuwa nikifuatilia jinsi serikali yetu ya Tanzania inavyoanza kutengeneza na kuwaandaa waislam na wapinga dhulma kujiunga na ugaidi.

Kama mwezi mmoja uliopita nimekuwa nikiona msako mkali wa kuzifunga madrasa huko Arusha na Moshi, polisi na serikali kwa ujumla wakiziita madrasa eti ni vituo vya kufundisha ugaidi. Kwani hizi madrasa zimeanza Leo?

Na kwanini zimebadilishwa jina badala ya madrasa zinaitwa vituo kweli hii ni haki?

Je, BAKWATA wapo wapi? Masheikh wa mikoa wapo wapi? Je, wanajua kuwa ugaidi unajengwa kwa kuwa na mfumo kandamizi unao pendelea upande mmoja na hatimae upande mwingine kuona kama unaonewa nakuamua kujitoa muhanga kwa ajili ya wengine?

Leo tarehe 17.04.2015 nimeona taarifa ya habari ITV police pamoja na mkuu wa mkoa DODOMA wamefunga madrasa mbili eti wanaviita vituo haram vya mafunzo ya kigaidi. Je, kweli hii ni sawa? Waislam na wapenda amani hii kweli ni sawa tunavyoonewa na kunyanyaswa ndani ya nchi yetu sote ni sawa?

Na kwanini wanavyokamatwa hawahojiwi kila mtu akawasikia kwenye vyombo vya habari na kinachofanyika ni kamanda wa polisi kuwapa kesi na kuwaita anavyojua yeye kisha kuswekwa kwenye gari ili umma ujue ni wahalifu.Kweli hii ni sawa? Kwanini hawajawahi kuulizwa tukasikia majibu yao mbele ya kadamnasi?

Na kwanini wakristo wana vikundi vya scout makanisani mbona hawajawahi kukamatwa, kweli hii ni sawa? Hawajui kama roho zinauma na lolote linaweza tokea?

Kwanini nchi hii inakuwa na double standard?Mfano mashekh wengi wapo mahabusu na wamenyimwa dhamana na kuteswa eti wanaeneza chuki na kuhatarisha amani. Kweli hii ni haki?

Shekh Ponda alinusurika kuuawa kwa risasi pale Morogoro serikali walikaa kimya.

Leo hii mchungaji Gwajima amemtukana kiongozi mkubwa wa kanisa mbona hajafanyiwa kama alivofanyiwa Ponda? Mbona yeye hajanyimwa dhamana kwa kuhatarisha uvunjifu wa amani kwa kudhalilisha kanisa katoliki?

Kama angekuwa shekh yeyote kamkejeli Muft Simba ingekuwaje kama si kufanywa kama Shekh Ponda?

Hivi mnajua kinachoendelea Kenya kilianza kama hivi? Kwanini nchi yetu inakuwa hivi?

Naomba nisaidiwe ni sheria gani inasema ukitaka kuanzisha madrasa lazima isajiliwe? Eti wameanza kusaka vituo vya watoto Yatima vilivoanzishwa bila kufuata utaratibu kumbe wanasaka madrasa, hii haikubaliki tumewastukia na mabomu mnayaandaa mwenyewe siku yakilipuka mtamtafuta mchawi kumbe mchawi ni serikali ya kidhalimu.

Naomba kuwasilisha.

Mimi ni muislamu kama ww unaelalama

Mbona haya yako wazi?? Umesikia wenzetu ni magaidi?? Sisi wenyewe tunalea ujinga tubadilke
 
Madrasa dodoma mbili zimefungwa leo,moshi madrasa kama sita na arusha madrasa 8 .hii nchi inaelekea pabaya na wote tutawajibika.

Sasa we huelewi nini? Wangefungia zote nchi nzima hiyo ingekuwa shida, hilo la kuwapeleka watoto wenu mamia moshi ndo madrasa?? Acheni mambo vinyongo, kulalamika na kujitoa fahamu, UGAIDI MAFUNZO YAKE NI HUMO HUMO, SERIKALI MUWEKE VINASA SAUTI
 
Gwajima hajakashifu wakiristu,amemtukana Pengo baada ya kujali tumbo lake tu. Unaposema munaonewa huo ni uongo wa hali ya juu. Unaongeleaje msikiti kugeuzwa pango la vijana Magaidi huko Morogoro?

Na ajibu hii hoja
 
myoyambendi Leo umefanikiwa kuangalia taarifa ya habari ITV?

Mimi nimeona Madrasa ndio ziko vile? nimeona sanduku za bati, net, sahani, ndoo kama za rumande kwa ajili ya haja kubwa na ndogo. sasa si itakuwa haina uzu kwa kuwa ni mazingira machafu?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wanajamvi, nimekuwa nikifuatilia jinsi serikali yetu ya Tanzania inavyoanza kutengeneza na kuwaandaa waislam na wapinga dhulma kujiunga na ugaidi.

Kama mwezi mmoja uliopita nimekuwa nikiona msako mkali wa kuzifunga madrasa huko Arusha na Moshi, polisi na serikali kwa ujumla wakiziita madrasa eti ni vituo vya kufundisha ugaidi. Kwani hizi madrasa zimeanza Leo?

Na kwanini zimebadilishwa jina badala ya madrasa zinaitwa vituo kweli hii ni haki?

Je, BAKWATA wapo wapi? Masheikh wa mikoa wapo wapi? Je, wanajua kuwa ugaidi unajengwa kwa kuwa na mfumo kandamizi unao pendelea upande mmoja na hatimae upande mwingine kuona kama unaonewa nakuamua kujitoa muhanga kwa ajili ya wengine?

Leo tarehe 17.04.2015 nimeona taarifa ya habari ITV police pamoja na mkuu wa mkoa DODOMA wamefunga madrasa mbili eti wanaviita vituo haram vya mafunzo ya kigaidi. Je, kweli hii ni sawa? Waislam na wapenda amani hii kweli ni sawa tunavyoonewa na kunyanyaswa ndani ya nchi yetu sote ni sawa?

Na kwanini wanavyokamatwa hawahojiwi kila mtu akawasikia kwenye vyombo vya habari na kinachofanyika ni kamanda wa polisi kuwapa kesi na kuwaita anavyojua yeye kisha kuswekwa kwenye gari ili umma ujue ni wahalifu.Kweli hii ni sawa? Kwanini hawajawahi kuulizwa tukasikia majibu yao mbele ya kadamnasi?

Na kwanini wakristo wana vikundi vya scout makanisani mbona hawajawahi kukamatwa, kweli hii ni sawa? Hawajui kama roho zinauma na lolote linaweza tokea?

Kwanini nchi hii inakuwa na double standard?Mfano mashekh wengi wapo mahabusu na wamenyimwa dhamana na kuteswa eti wanaeneza chuki na kuhatarisha amani. Kweli hii ni haki?

Shekh Ponda alinusurika kuuawa kwa risasi pale Morogoro serikali walikaa kimya.

Leo hii mchungaji Gwajima amemtukana kiongozi mkubwa wa kanisa mbona hajafanyiwa kama alivofanyiwa Ponda? Mbona yeye hajanyimwa dhamana kwa kuhatarisha uvunjifu wa amani kwa kudhalilisha kanisa katoliki?

Kama angekuwa shekh yeyote kamkejeli Muft Simba ingekuwaje kama si kufanywa kama Shekh Ponda?

Hivi mnajua kinachoendelea Kenya kilianza kama hivi? Kwanini nchi yetu inakuwa hivi?

Naomba nisaidiwe ni sheria gani inasema ukitaka kuanzisha madrasa lazima isajiliwe? Eti wameanza kusaka vituo vya watoto Yatima vilivoanzishwa bila kufuata utaratibu kumbe wanasaka madrasa, hii haikubaliki tumewastukia na mabomu mnayaandaa mwenyewe siku yakilipuka mtamtafuta mchawi kumbe mchawi ni serikali ya kidhalimu.

Naomba kuwasilisha.

Una chembe zoote za ugaidi, sichangii hoja yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom