Kwanini Madrasa za Waislam zinafungwa?

Kwanini Madrasa za Waislam zinafungwa?

Status
Not open for further replies.
Ningekuwa na mamlaka ningefutilia mbali upuuzi wowote wa dini zote. Tubaki kama nchi za kikomunist enzi zile, yaani no dini!!
 
Madrasa dodoma mbili zimefungwa leo,moshi madrasa kama sita na arusha madrasa 8 .hii nchi inaelekea pabaya na wote tutawajibika.

Moja ya sababu ya kufanya hivyo sio kuuzalilishs uislamu bali wanakagua sana madrasa kutokana na watu kukutwa misikitini na mabomu,magwanda ya jeshi na silaha nyinginezo.Hatua hii ni kama tahadhari tu si unamkumbuka yule mama aliyekutwa Moshi na watoto wa watu kibao kawafungia ndani akiwakataza wasizoeane hata na majirani na shule hawaendi wakati wana umri wa kwenda shule.Ndo maana wanapitisha msako kila madrasa wakiona ina mashaka na haieleweki wanaifunga.
 
Kabla hata ya kuiona hiyo eikeiarobaini na saba utakuwa umeisha. Wakristo hawajiendeshi kwa jazba na mitusi kama hivyo. Taratibu lkn kwa ukamilifu.

Dah hiyo stage aliyofikia huyo jamaa anaweza kuwa gaidi kabisa.Hii ni hatari sana.
 
Ila tambueni waislam wakiamua wanaweza na hiyo misaraba yenu ikaonekana mizito km mawe.
 
Omari londo wewe ni muislamu wa kweli na unaweza kuwashawishi wengine kuwa waislam sio huyu ----- iliyeleta hii thread


w
 
Hamuishi kulalamika kila siku ni kulalamika mmeonewa Mabomu na silaha zingine zimekamatwa huko Morogoro bado mnasema mnaonewa wototo mnawafundisha mieleka na Judo katika viyuo hivyo na nyumba za Ibada mnazigeuza kuwa Ghala za kuwekea silaha bado tu mnasema mnaonewa nawaomba MJITAMBUE!!!!!!.
hawa wakristo mbona wanachuki sana na waislam?waislam ni lazima tufanye kila linalowezekana kufa au kupona lkn haki ya upande wetu ipatikane..
 
wewe ni mpuuzi sana unatuletea mifano MFU ambao haina uhai BADIRIKA!!!!
We ----- hapo hujaelewa nn nime kupa mfano kama muislam yeyote ange mkashf mufti simba wa bakwata ndugu yenu huyo mwislma angekiona chamoto kwakuwa bakwata ni ccm b

Kibaya zaidi nashangaa kwa nini wanasheria wachadema ndo wanasheria wa gwajima sjui kuna siri gani pale.

Na mnapo zungumza rais ni mwislam hivi uki ambiwa ulete waislam nae unaweza kumleta?
 
Mimi muislam..lakini naona uislam unadhalilishwa na sisi wenyewe waislam..kama tunaifadhi mabomu msikitini kwanini jeshi la polisi na jamii isitutilie shaka,,,? Mwanafunzi jeuri shuleni siku zote ndo hulalamika kuonewa na walimu...UHAI KWANZA
 
Gwajima atakupalia we lofa...we kwanza umetukanwa Mara ngapi na Kama bado basi ---- haya tuone utashitaki.ugaidi ni kitu kingine bhana acha kulinganisha umasikin wa USA na kwenu lufiji bhana hvo vituo vifate utaratibu tuu wala havitafungwa
 
Wengi walitoa tahadhari kwa waisl hapa nchi. Tahdhari ulitokana na uzoefu wa nchi zingine. Wadau walionya kwamba hawa magaidi ni wahuni ila wajanja sana. Wajanja katika kuwateka waislam wenzao kama kina Kishokola. Wadau waliwapa ushairi mardhawa waislam. Hawa magaido ili waungwe mkono, watakuja na kufanya kambi/ofisi kwenye misikiti. Wana usalama watakapotaka kuwakamata hao magaidi yaani kuvamia misikiti, magaidi watasema "umeona muislam tunavyooneewa". Kataeni misikiti isitumiwe kufanywa base zao.

Kuna point hapa unaiongelea nimeielewa sana.
Shukrani mkuu kumbe hii ndo strategy yao.
Wanachezea akili za watu kumbe.
 
Acha ujinga wako kupindisha maneno kama wewe kweli mwislamu niambie MAHAKAMA ya KADHI Imeandikwa wapi kwenye Quran nitajie SURA na AYA
Masista na mapadri ndio wanaotakiwa kukaa boarding. wakikaa waislam wanaambiwa magaidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom