Kwanini Maaskofu na Wachungaji hawajajitokeza kukemea na kulaani mauaji ndani ya kanisa ??

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Dec 31, 2017
1,312
2,000
Kuna nini nyuma ya pazia, mbona kituo cha habari kilipo vamiwa na watu wenye silaha wadau mbalimbali hasa wa habari walijitokeza kukemea na kulaani.

Ila paka sasa sjaona wala kuskia wachungaji na maaskofu wakilaani na kukemea mauaji yaliyifanywa na mkurugenzi ndani ya kanisa huko itigi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,777
2,000
Kuna nini nyuma ya pazia, mbona kituo cha habari kilipo vamiwa na watu wenye silaha wadau mbalimbali hasa wa habari walijitokeza kukemea na kulaani.

Ila paka sasa sjaona wala kuskia wachungaji na maaskofu wakilaani na kukemea mauaji yaliyifanywa na mkurugenzi ndani ya kanisa huko itigi???

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaogopa kupewa uraia wa Burundi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom