Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,525
- 91,758
- Thread starter
- #161
Japo umeandika mambo meeengi, siku maandamano yatatokea TZ sijui ni nani atakayezuia.
Naona wengi ni wageni.
Genz wa Kenya kiongozi wao alikuwa nani?
Nachojua mimi kuna mahali hiyo serikali yenu dhalimu itajichanganya tu!! na hamtaamini kabisa kitakachowakuta ninyi machawa pro max
Mkuu utajionea.
Kenya Tanzania mifumo yao ya kushughulikia mambo ni tofauti kabisa.
Mpaka sasa huoni nguvu na jitihada kubwa inayofanywa kudhibiti maandamano na wanapiga maeneo nyeti ambayo ndio msingi mkuu wa maandamano kufanikiwa.