GE2025 Kwanini maandamano ya 29 October yatafeli vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na hiyo ndio changamoto kubwa kwa wasiomtaka. Sio kwamba hawaitaki CCM - hawamtaki Samia. Na sababu sio za uongozi wake, bali ni sababu nyinginezo ikiwemo yeye kuwa Mzanzibar tena mwanamke.

Niliwahi kusema, Mgombea Urais wa CCM akibadilika hata sasa akawa mwingine (Mwanaume, Mtanganyika), na pengine hata asiye na busara kama Bashite ataungwa mkono na anaweza kushinda kwa asilimia zaidi ya 90 kwenye uchaguzi ulio na TAL kama mgombea wa upinzani. Muweke Majaliwa, Nchimbi, Simbachawene, Bashiru na wengine wengi tu - huwezi kuona haya maruweruwe...

Na hapo ndio timu maandamano wanafeli - kudeal na mtu mmoja badala ya chama chote, inakuwa ni chuki tu dhidi ya mtu na ni ngumu sana kumshunda Samia. Unatakiwa kukishinda CCM ili umshinde Samia. Ukimshinda Samia pekeyake huwezi kuishinda CCM - unakuwa umefanya nini? Ndiyo maana maandamano yanakosa focus inayoeleweka.

Ukiuliza makosa ya Samia ni yapi ambayo huwa hayafanywi na CCM mtu hawezi kukuambia. Toka enzi za Nyerere CCM ni ileile na utaratibu wa kuongoza unafanana. Sasa Je, wananchi wako tayari kuongozwa na Chama kingine zaidi ya CCM? kwa kuzingatia oganaizesheni ya vyama vya upinzani hadi ngazi ya nyumba 10? Hilo ndio swali pekee upinzani wanatakiwa kilijibu. Haya maandamano kama yakifanyika hata kidogo tu - na kwa kuwa yakitoke, yatafanyika kidogo sana kwenye baadhi ya miji mikubwa kama Mbeya ( DSM sidhani sana) implication yake inaweza kuua kabisa upinzani hata ule mdogo uliopo kwa miaka mingi ijayo..

Huu ni mtego mkubwa sana kwa CDM ambacho ndio chama kikuu cha upinzani. Propaganda zitakazoibuka hawataweza kuzihsndle. Kumbuka zile rapsha za CUF ya ngunguli iliogopesha baadhi ya watu kujiunga na CUF bara. Sijui wataukwepa vipi, ila kwa sayansi ya siasa huu ni mtego.
kwa hili nina maoni tofauti, binafsi naamini chuki kwa Samia imekuja kwa sababu 1. Alifumbia macho utekaji hili baya mno maana ukweli wengi wao ni vijana maskini kabisa ambao wengine wanatukana kwa kutoa tu stress za maisha, 2. Video za Mange kuhusu ufisafi wa watoto wa Samia hapa sijui ni kweli au uongo ndo imechochea sana sana chuki maana watu wana shida na umaskini mkubwa
3. Samia ameongoza baada ya JPM jpm alibana sana watendaji kwa hiyo watu waliona kama serikali inaenda vizuri yaani matatizo ya wananchi yanatatuliwa na watu wa chini , sasahivi wasaidizi wa Samia wanamuangusha kwa sababu nature yake sio mkali na watanzania ni wazembe sana na wezi mnooooooo
4. Samia akitembea ana safari chache sana za mikoani na akienda hawapi nafasi wananchi kuchongea watendaji hivyo wafanyakazi wa serikali wanajifanyia wanavyotaka wanasababisha nchi nzima inachukiwa , na hawachukuliii hatua wasaidizi wake ,
Namuonea huruma Maana jumba bovu limemuangukia bila kuwa na makosa makubwa kihivyo hata watekaji itakuwa wanamdanganya kuwa hawa hatari sana na yeye anapokea tu lakini angekuwa pombe angeshakuwa na team yake binsfsi ya kufuatilia kulioni?
 
Huyu jamaa huwa anajiona anauelewa sana kuliko wana Jf wote kumbe ni Mavi ya nyoka tu
mbona unajibu kiajabu wakati mimi nimejibu hoja tena kistaarabu unataka niwe biased? au nitizame kwa jicho la kidini au jinsia ? sidhani tusiwe na chuki tu za ajabu ajabu mimi sio mnufaika wa serikalini lakini sidhani kama tuna mbadala sahihi nje ya huu mfumo , ungeniuliza ningeomba mungu amfufue JIWE japo alikuwa na mapungufu ya ukabila wa waziwazi hilo tu alikuwa ananikera
 
kwa hili nina maoni tofauti, binafsi naamini chuki kwa Samia imekuja kwa sababu 1. Alifumbia macho utekaji hili baya mno maana ukweli wengi wao ni vijana maskini kabisa ambao wengine wanatukana kwa kutoa tu stress za maisha, 2. Video za Mange kuhusu ufisafi wa watoto wa Samia hapa sijui ni kweli au uongo ndo imechochea sana sana chuki maana watu wana shida na umaskini mkubwa
3. Samia ameongoza baada ya JPM jpm alibana sana watendaji kwa hiyo watu waliona kama serikali inaenda vizuri yaani matatizo ya wananchi yanatatuliwa na watu wa chini , sasahivi wasaidizi wa Samia wanamuangusha kwa sababu nature yake sio mkali na watanzania ni wazembe sana na wezi mnooooooo
4. Samia akitembea ana safari chache sana za mikoani na akienda hawapi nafasi wananchi kuchongea watendaji hivyo wafanyakazi wa serikali wanajifanyia wanavyotaka wanasababisha nchi nzima inachukiwa , na hawachukuliii hatua wasaidizi wake ,
Namuonea huruma Maana jumba bovu limemuangukia bila kuwa na makosa makubwa kihivyo hata watekaji itakuwa wanamdanganya kuwa hawa hatari sana na yeye anapokea tu lakini angekuwa pombe angeshakuwa na team yake binsfsi ya kufuatilia kulioni?
Namimi namaoni kinzani kidogo nawewe..Binafsi naamini Samia amefikia hapa alipo kwa sababu she is incompetent, Hana skills za kiuongozi, ni sawa na kichaa abahatike kuokota kontena la fedha, then azitumie pesa zake vibaya , hapo hawatalaumiwa wapambe wake bali ukichaa wake ndio Itakua sababu ya kupoteza hizo pesa...Ukweli nikwamba wanamtandao walimuona kama weak link as she totally is infact,na ndio maana walijua wazi after demise ya Magufuli Itakua rahisi kumtumia kwa masilahi Yao..it's all about competency!!...Haiba yake kama binadamu na uwezo wake kifikra viko katika kiwango kidogo sana kwa level ya uraisi.. Presidential position is a too big meat for her chew, Hana uwezo wa kuongoza..Period!!!
 
Naweza kukuelewa kuwa hivyo viatu ni vikubwa sana lakini urais ukiwa smart kawaida tu unatumia best advisors , competent team balaa halafu wewe unabakiwa na kupokea maujiko tu, nadhani pia labda aliwaogopa wanam mtandao kuwa kama inavyosemekana walimuondoa mtangulizi wake basi anawasikiliza ili wasimtangulize ahera 😀 😀 😀 kitu ambacho JPM alifanikiwa kwenda kinyume mpaka na CCM yake na ndo aliyeanza kuisafisha CCM unaona hata kamati kuu yake waliwekwa watu hawana skendo kabisa na low profiles, hata CCM yenyewe aliwaweka watu hawana mawaa kwa enzi hizo hakutaka kufungwa mikono na walafi
 
Nikweli , huyu mama yeye hata akili ndogo tu inamshinda, yaani hao wenzake wote waliopita hawakuwahi kushirikiana na maraisi wastaafu kuiba, wastaafu waliendelea kula mema ya nchi kulingana na misingi mibovu ya katiba..Lakini kwa kua Hana akili timamu ,wastaafu wote wameona fursa ya kula nchi bila kuwa katika kumbukumbu mbaya kikatiba ikiwa mambo yatabadilika mbeleni nikupitia utawala wake..sababu ni yeye kama raisi ndie atwajibishwa wakati wao watakua zao chimboo .. She's so so dumb
 
Exactly 💯...na hili ndio lina irritate watu...ndio maana watu wanaona bora apishe tu...
 
Ni yeyee, anaazisha nyuzi tena humu za utumbo, mavi ya nyoka tu huyu
NIMEKEREKA SANA SANA NA HAYA MAANDAMANO KI UKWELI SIFICHI NA SIOGOPI KUSEMA , NILIJUA MADHARA YAKE NI MALI ZA WATU WALA SIO HATA HIZO HAKI NA KWA MARA YA KWANZA VYOMBO YA ULINZI VIMEIANGUSHA TANZANIA
 
Exactly 💯...na hili ndio lina irritate watu...ndio maana watu wanaona bora apishe tu...
hakujua yeye alijua ndo anajipa ulinzi wa wakongwe wa chama, ukute alitishwa tishwa pia kuwa sukuma gang hawakutaki mara ohh Jannuary atakupindua ndo akaamua kujilegeza kwa hao
 
Back
Top Bottom