Kwanini Ma IT bongo sio matajiri?


Hiyo idea no. 1 zipo mingi tu bongo people tried to do and wamejitahid kuja na platform nzuri. Wengine wamekosa tu marketing strategy so zinafail kimya kimya but kwa UI na Functionalities zipo zinazofanya vema i believe. Search kwenye stores...

Idea no 2. Not bad, kwa kuongezea hizo info zingekua saved kwenye App mfano wa E-Wallet. Yani mtu akitaka info unamtumia kama unamtumia hela but ni docs.
 
we lack people ambao wamesoma jinsi ya kutatua matatizo or critical challenges in the global contexts.

hata billionaires wengi hawakusaka pesa before walitafuta solution ya matatizo then pesa inakuja automatics.
 
Hivi Ukiandika tu hivi inaeleweka kweli, unajua IT ni ujuzi au ufundi.
Mfano: mtu akuulize ufundi selemala kwanini aulipi Tanzania, alafu ujibu mfumo wa elimu, ukaishia hapo bila maelezo ya ziada, watu watakua na cha kujiuliza juu yako.
Akikujibu uni Tag mkuu
 
Hivi Ukiandika tu hivi inaeleweka kweli, unajua IT ni ujuzi au ufundi.
Mfano: mtu akuulize ufundi selemala kwanini aulipi Tanzania, alafu ujibu mfumo wa elimu, ukaishia hapo bila maelezo ya ziada, watu watakua na cha kujiuliza juu yako.
Haiwezi kueleweka kwa ambaye hawezi kufikiri ipasavyo.

Mfumo wetu wa Elimu umejikita kwenye kukariri na kufaulu mitihani badala ya kujikita kwenye maarifa na ujuzi ambapo mtu anaweza kutumia huo ujuzi na maarifa kuleta mabadiliko katika jambo husika kulingana na taaluma yake

Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA kaelezea kuhusu hili vizuri
 
sijui haya matatizo ya sasa yakuwaza pumba tuliyaanzia wapi.....nyuzi za mada zakipumbavu comment 2000+.....huku sasa hata page moja hatumalizi
Nilipenda sana michango ya hawa wadau,
Stefano Mtangoo na Graph hawa jamaa walini gusa sana.


Ila Chief-Mkwawa reply yako kwa jamaa flani, kwenye huu uzi imeniacha kwenye maswali mengi, ifute aiseh😀

mkuu hata anaemuunganisha mtu whatsapp si IT? kama amewezesha haya mawasiliano inamaana tayari ni IT guy, bila kujali alikaa darasani kusomea au hakukaa.

Ila kweli ni IT guy ila sio IT professional
 
Achana na mambo ya siasa, ingawa mpo kwenye mpo kwenye kampeni.
Hili tatizo sioni kama ni la Tanzania peke yake, bali ni Afrika mzima. Nchi zote Afrika mfumo wa Elimu ni uleule.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Lack of creativity! Nilikuwa na idea moja ambayo ningekuwa Proffessional developer ningekuwa mbali sana. Nikajaribu kumshirikisha jamaa mmoja anaitwa matthew humu lakini kumbe nae ni tapeli. Bora nife nayo idea yangu

kumbe mathsjery ni tapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…