Kwanini Lissu, Mnyika, Slaa na wengine hawakuwepo kwenye mapokezi ya Lowassa?

M

Makyomwango

JF-Expert Member
322
170
Katika gazeti la mwananchi imetaarifiwa kuwaLisu, Mnyika, Slaa pamoja na maafisa waandamizi wa CHADEMA hawakuhudhuria mapokeziya Lowassa Jana tofauti na ilivyokuwa katika mapokezi ya Lembeli na Ester Bulaya.

Naomba mtujuze kama walikuwa na udhuru kwani hii si kawaida kwa tukio kama la jana.
 
M CM

M CM

JF-Expert Member
2,424
2,000
Hata mimi nilitaka kufaham hilo kuhusu hayo majembe yetu matatu yalikuwa wapi? Au bado wana misimamo tofauti na m/kiti wa chama?
 
E

eddy

JF-Expert Member
12,954
2,000
Katika gazeti la mwananchi imetaarifiwa kuwaLisu, Mnyika, Slaa pamoja na maafisa waandamizi wa CDM hawakuhudhuria mapokeziya Lowasa Jana tofauti na ilivyokuwa katika mapokezi ya Lembeli na Ester Bulaya. Naomba mtujuze kama walikuwa na udhuru kwani hii si kawaida kwa tukio kama la jana
Nadhani kilikuwa kikao cha watu wa Kilimanjaro, yaani Mbowe Mbatia Makaidi na shemeji yao Lipumba. Hata Baregu prof.safari na Marando hawakuwepo wakati mkutano ulikuwa hapohapo Dar.
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
15,508
2,000
Acha uongo wewe. Huko nje ya nchi kaenda lini? Mbona jana wakati kikao kinaendelea alikuwa nyumbani kwake pamoja na John Mrema, John Mnyika, na Tundu Lissu
Walikua wanafanya nini?
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
15,508
2,000
Nadhani kilikuwa kikao cha watu wa Kilimanjaro, yaani Mbowe Mbatia Makaidi na shemeji yao Lipumba. Hata Baregu prof.safari na Marando hawakuwepo wakati mkutano ulikuwa hapohapo Dar.
Mara ndo na Safari walikwepo
 
CHANGUGE.COM

CHANGUGE.COM

Member
61
95
Katika gazeti la mwananchi imetaarifiwa kuwaLisu, Mnyika, Slaa pamoja na maafisa waandamizi wa CDM hawakuhudhuria mapokeziya Lowasa Jana tofauti na ilivyokuwa katika mapokezi ya Lembeli na Ester Bulaya. Naomba mtujuze kama walikuwa na udhuru kwani hii si kawaida kwa tukio kama la jana
Siku moja baada ya UKAWA kumkaribisha Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kujiunga na umoja huo, mchana huu kupitia ukurasa wake wa Twitter, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr Willibrord Slaa ameandika hivii;
"Kwa miaka 23 upinzani sasa umefikia hatua ya kuongoza nchi yetu. Watanzania watambue kwamba tuko makini sana katika wakati huu"
"Tuna intelijensia ya kutosha kujua nini kinaendelea, nani anahama CCM na kwa nini, nani anakuja kwetu kwa mema na nani ametumwa"
"Muda wa Chadema kuchukua makapi, kuyumbishwa na intelijensia butu ya nchi ulipita zamani. Chama tawala kinatambua hili kwa wazi kabisa"
"Tunaomba iwepo subira, tunakaribisha wana CCM wanaotaka kuja kujieleza mbele yetu, tutawajadili tutaripoti kwa Watanzania, tutaamua"
 
Mr Hero

Mr Hero

JF-Expert Member
5,551
2,000
Nadhani kilikuwa kikao cha watu wa Kilimanjaro, yaani Mbowe Mbatia Makaidi na shemeji yao Lipumba. Hata Baregu prof.safari na Marando hawakuwepo wakati mkutano ulikuwa hapohapo Dar.
Teh Teh Kamanda sikujua hili, nasikia Professa kaowa kanda ile ile
 
Matango

Matango

JF-Expert Member
515
195
Nafiri tu wimbo huu "JINO LA PEMBE SI DAWA YA PENGO"
 
MeinKempf

MeinKempf

JF-Expert Member
11,124
2,000
mimi nadhani mlengwa mkuu
main character alikuwa Lowasa
na uzuri alikuwepo mjengoni.
 
Last edited by a moderator:
Ta Kamugisha

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
3,417
2,000
Walikuwa wanasaini sheria ya uchaguzi
 
Forum statistics

Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom