Nafkri wenye viti wa ukawa ndo waliokuapo.
Simple minded
Mtaweweseka sana safari hiiAcha uongo wewe. Huko nje ya nchi kaenda lini? Mbona jana wakati kikao kinaendelea alikuwa nyumbani kwake pamoja na John Mrema, John Mnyika, na Tundu Lissu
Katika gazeti la mwananchi imetaarifiwa kuwaLisu, Mnyika, Slaa pamoja na maafisa waandamizi wa CDM hawakuhudhuria mapokeziya Lowasa Jana tofauti na ilivyokuwa katika mapokezi ya Lembeli na Ester Bulaya. Naomba mtujuze kama walikuwa na udhuru kwani hii si kawaida kwa tukio kama la jana
Mbona katibu mkuu NLD, nccr,cuf,hawakuwepo, ukipata haya majibu utajua kwanini Slaa Hakuepo...
Hao mkuu wanajitambua sana.ni wanasiasa wa ukweli siyo wapiga hela kama mkuu wao. Ninahisi hawatakwenda kufanya kampeni mitaani au wako njiani kuhama vyama vyao, vinginevyo inabidi waandae usalama na ulinzi wa kutosha mitaaani kule kwa ajili ya kukwepa mawe yatakayokuwa yanarushwa.Katika gazeti la mwananchi imetaarifiwa kuwaLisu, Mnyika, Slaa pamoja na maafisa waandamizi wa CDM hawakuhudhuria mapokeziya Lowasa Jana tofauti na ilivyokuwa katika mapokezi ya Lembeli na Ester Bulaya. Naomba mtujuze kama walikuwa na udhuru kwani hii si kawaida kwa tukio kama la jana
Katika gazeti la mwananchi imetaarifiwa kuwaLisu, Mnyika, Slaa pamoja na maafisa waandamizi wa CDM hawakuhudhuria mapokeziya Lowasa Jana tofauti na ilivyokuwa katika mapokezi ya Lembeli na Ester Bulaya. Naomba mtujuze kama walikuwa na udhuru kwani hii si kawaida kwa tukio kama la jana
Kwani tatizo ni nini? kama walikuwa na majukumu mengine wangehudhuria vipi? Acha ujinga
Nadhani kilikuwa kikao cha watu wa Kilimanjaro, yaani Mbowe Mbatia Makaidi na shemeji yao Lipumba. Hata Baregu prof.safari na Marando hawakuwepo wakati mkutano ulikuwa hapohapo Dar.
Na kazi ngumu bado inakuja, tunawasubiri mitaani tuje tuwatumie mikadi yao usoni. Pumbaaf ...kabisa, watu wamepoteza uhai kwa sababu ya siasa uchwala hizi walizokuwa wanatuaminisha. Siasa za ajabu na kweli. Eti mwisho wa siku wanatabasamu vizuuuri kabisa na kuwakumbatia, wangese kweli. Yaani kiukweli hasira walizonazo wafuasi haiziwezi kuisha hivihivi. Malipo ni hapa hapa dunianiFuatilia hutuba ya Mbowe akimkaribisha Lowasa utajua ni nini kilichomsibu.
Ameeleza hivi: Amepata kazi sana kuwashawishi wanachama na viongozi wa CHADEMA kukubali kumpokea Lowasa. Jiulize ni viongozi gani hao? Ukipata jibu liweke hadharani. Nakutakia kila la heri na poleni.
Nadhani kilikuwa kikao cha watu wa Kilimanjaro, yaani Mbowe Mbatia Makaidi na shemeji yao Lipumba. Hata Baregu prof.safari na Marando hawakuwepo wakati mkutano ulikuwa hapohapo Dar.
CC: Lizaboni na wengineo mlio kundi mojaChadema leaders defend defection
 
 
 
Tundu Lissu who is Singida East MP and Dr
Tundu Lissu who is Singida East MP and Dr Wilibroad Slaa
In Summary
Outgoing Opposition Chief Whip Tundu Lissu said the move was all about perfect timing under the prevailing political climate.
By Katare Mbashiru and Frank Kimboy
Dar es Salaam. Chadema leaders took to social media yesterday to explain the partys decision to take in former Prime Minister Edward Lowassa, who has defected from CCM.
Outgoing Opposition Chief Whip Tundu Lissu said the move was all about perfect timing under the prevailing political climate.
Chadema Secretary-General Willibrod Slaa said Mr Lowassa, who resigned in 2008 after he was linked with the Richmond scandal, had since been vindicated.
Mr Lissu wrote on his Facebook page that the four parties under the Ukawa coalition Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi and NLD have unanimously agreed to field Mr Lowassa as their joint presidential candidate in the October 25 General Election.
The big question we need to answer correctly is why we have welcomed him and picked him as our flag-bearer.
CCM is now split down the middle, and this is the perfect moment someone with Mr Lowassas political clout and influence helped us win in constituencies that are not part of our traditional strongholds, said Mr Lissu, who is also the outgoing Singida East MP.
He added that Mr Lowassa would help the Opposition to unseat CCM because he was more popular than anyone else in CCM.
On corruption allegations that have dogged Mr Lowassa for over seven years, Mr Lissu said: We have decided that our biggest enemy is CCM and its corrupt system, not Lowassa as an individual. By inviting Mr Lowassa, the Opposition will be able to unseat CCM and dismantle the entire corrupt system.
Dr Slaa wrote on his Twitter handle: There are many CCM members accused of involvement in corruption who have come to us with evidence vindicating them... Mr Edward Lowassa is not the first.
He urged more CCM members accused of corruption to convince the Chadema leadership they were clean and the party would decide whether or not to take them on board.
The Citizen reached some of Mr Lowassas staunchest supporters in CCM for comment yesterday, and they were generally guarded in their remarks on the former Monduli MPs decision to jump ship.
Those who spoke to The Citizen included former Home Affairs minister, who earlier this month launched a blistering diatribe against CCM after Mr Lowassa was axed from the list of members seeking nomination as the partys presidential candidate.
Yesterday, he preferred to keep his views about Mr Lowassas defection to himself.
Listen my brother. Im a CCM cadre, so I cant talk about other political parties, he said.
Dr Nchimbi added that he would be in a better position to comment after hearing what Mr Lowassa had to say.
Singida CCM regional chairman Mgana Msindai, another diehard Lowassa supporter, said the former premiers decision should be respected.
Asked whether he would follow Mr Lowassa into Chadema, Mr Msindai responded: Im a CCM member, and Im currently seeking my partys nomination as a parliamentary candidate.
Shinyanga CCM regional chairman Hamisi Mngeja also said Mr Lowassas decision should be respected, adding that he had the right to change political allegiance.