Yup...nakumbuka sana.
Puzo ama Puza?
Nimekosa sababu ya ku LIKE hii mada
Nimejiuliza tu kuwa hivi niki LIKE ndo nitakuwa nimependa aliyofanyiwa huyo dada au nitakuwa nime LIKE kitu gani hasa?
Mambo haya yalikuwepo sana nyakati hizo
Siku hizi naona kama yamefifia sana!
ukilike unamshukuru mtoa mada, wengine hatukuwepo enzi hizo.... tumeonesha appreciation kwa kulike.
Kumshukuru kiaje?
Unamshukuru kukuambia au?
Nilikuwepo nyakati hizo najua haya matukio yalikuwepo ila hii sikuisikia
Lakini bado nahisi ku LIKE ni kama nimependa yaliyomtokea huyo Dada!!
hapo blue ndio jibu hilo. sometimes tunalike ili ujue kuwa nimesoma comment yako. kuna madhumuni tofauti ya kulike
hivi hujawahi kuletewa habari za msiba na kumshukuru aliyekuletea??? ndicho hiki kilichofanyika.... sema hapa hatuna thanks button, tuna mbadala wake.Hivi kuna uzuri gani mtu akikuambia habari mbaya kama hii?
Nauliza tu!
hivi hujawahi kuletewa habari za msiba na kumshukuru aliyekuletea??? ndicho hiki kilichofanyika.... sema hapa hatuna thanks button, tuna mbadala wake.
Kuletewa habari ya msiba kunaweza kuwa na mshiko kwa kumshukuru aliyekuletea kwasababu unaweza kwenda msibani on time
Kwenye hili je?
kwenye hili ambao hatukuwepo tumejua yaliyojiri na tumeweza kulinganisha hali ya sasa na ya zamani. una lingine?
Na Yule binti wa DUCE Aliyechomwa kisu mwaka 2008 pale Mabibo Hosteli (jina limenitoka) ni Mtoto wa Nguli mwingine wa Nyimbo za Kikatoliki PF MWARABU (KOCHA)
What a Coincidence??
R.I.P Levina
unyanyasaji wa kijinsia ni ukatili ambao utachukua muda sana kuisha
Tena miaka ile kiasi flani wadada walikua wanajitunza sana sasa tukio hilo kwake lilikua kubwa sana hebu jiulize unauweka wapi uso wako baada ya kufanyiwa yote hayo. Tena jamii inakutenga na kukuona mkosefu mno.