CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
kweli mkuu, inawezekana kabisa hakuna hata mafaili Police....... Kwa hapo criminal case itakuwa ngumu!! Lakini la madai nafikiri linawezekana kabisa ............ na chuo au Wizara husika ikalipishwa fidia!! Kama issue ilifikia mpaka kwenye ngazi za utawala wa chuo basi kuna uzembe mkubwa sana ulifanyika. Hata hao akina Victor na Omari wanaweza kupelekwa kama mashahidi kwenye kesi hiyo ya madai.
Binafsi nilivyoiona PUNCH hakikuwa chombo cha wanafunzi peke yao. Kama nilivyosema awali, kwanza lugha iliyotumika katika makala zake ilionekana kusheheni ujuzi wa fani mbalimbali (madaktari, wahandisi, waandishi wa habari, wachumi, polisi, usalama wa taifa, n.k). Kuna matoleo mengine yalikuwa ni ya uchunguzi wa kina wa jambo (investigative), kiasi kwamba mwanafunzi wa kawaida asingekuwa na uwezo wa kifedha kukamilisha uchunguzi huo. Makala nyingine ziliianika serikali au taasisi zake, jambo ambalo lilikuwa gumu kuwezekana pasipo mkono wa nje ya Mlimani.so ndo ilikuwa KKK ya mlimani wakati huo na ilikuwa nadhumuni lipi na kinanani walikuwa ma founder wa hii?...kati ya maswali ya kujiuliza huenda hata wakina Ulimboka na wote waliopata mateso ya kinyama pale mabwepande ni source kama sio product ya PUNCH
Aisee walivyoisambaratisha tambaza ilikua vema kabisa manake wale vijana walikua wamefika pabaya.Nakumbuka hii issue ya levina inasikitisha sanaMiaka ya mwishoni mwa 80 na mwanzoni mwa 90 karibu taasisi nyingi za elimu zilikuwa na makundi kama haya.
Wanafunzi wengi haswa wa kiume walikuwa na makundi ya siri au yanayojulikana na lengo kubwa la makundi haya ilikuwa ni kufanya tu vitendo vya kihuni na haswa kwa wasichana au wanawake.
Wengi wanaweza wakawa wanaikumbuka Tambaza(WU-TAMBA CLAN) ya wakati huo kabla wanafunzi wake hawajasambazwa mashule mengine na O-Level kuvunjwa rasmi.
Shule kama Ilboru ilikuwa na makundi ya wanafunzi wavuta bangi ambao walijitenga na kuishi katika bweni moja kiasi kwamba mwanafunzi mgeni ukiingia huko ni kama umepelekwa gereza la Sona na kukutana na kina Theodore Bagwell (T-Bag).
Based on the preponderance of the evidence, nafasi ya kushinda kesi ya madai ni kubwa zaidi kuliko ya jinai.
Kwenye jinai hapo itakuwa rahisi sana kutilia shaka usababishi wa moja kwa moja wa watuhumiwa.
Hahaha!! hayo majina ukiyasikia tu unajua kabisa si salama
Kuna siku mwaka 1993 au 1994 wanafunzi wa WU-TAMBA walitembeza mkong'oto karibia shule zote za msingi na sekondari.
Nakumbuka siku hiyo ilikuwa ni hekaheka mjini hapa, wanafunzi na waalimu walipigwa bila kusahau mali za shule nyingi ziliharibiwa.
Heeee haya yalitokea hapahapa tanzania mkuu?
Dizaini zamani wanafunzi wa kiume walikua wanaume hasa sio vishalobalo vya siku hizi hata ngumi havijui kuikunja
Heeee haya yalitokea hapahapa tanzania mkuu?
Dizaini zamani wanafunzi wa kiume walikua wanaume hasa sio vishalobalo vya siku hizi hata ngumi havijui kuikunja
Hii inatufaa sana waafrikaKila kitu the hague... Huko ndo waafrika hukandamiziwa!
Mbona wazungu hawapelekwi huko?
Tumsaidieje mama yake apozwe kidogo.
!
!
alijiua kwa sabau alikunywa krolokwini nyingi
hahahaha mkuu umeniacha hoi,short and clear.
Ushahidi wa kuridhisha upo? Manake soga za humu tu si ushahidi.
Na vipi kuhusu statute of limitation kwenye civil suits? Na hapo itakuwa ni aina gani ya civil suit?
Longest time in such civil suits is 12 years, but the minister can extend the period of limitation not exceeding.......years(????) need research!
Time limitation might be an up hill taskAnd when did the girl take her own life? Twenty some years ago, right?