Tazama mbali zaidi(Tambaza)Mimi nilisoma Tambaza ile ya wahuni, ni kweli walivuta sana bangi kule summit ila wengi walitoka na Div. 1 na sasa they are successful wana maisha mazuri.
P
Ipo haja ya serikali ya JPM kuanzisha upya uchunguzi wa hili Jambo na wahusika wafikishwe mahakamani haki itendekeHao Saloti na Victor sijui wanajisikiaje sasa!!?? Hivi familia haiwezi kufungua kesi ya madai Chuo Kikuu au against these people??
Kwahiyo unawatetea au?Inasikitisha kwa waliokumbwa na dhahama za aina hii....
Punch ilikua nzuri kwenye siasa, nadhani hili la kudhalilisha halikua lengo lao la msingi...nadhani walitumia vibaya nia na uwezo wa punch!!!
point kabisaa.Hao Saloti na Victor sijui wanajisikiaje sasa!!?? Hivi familia haiwezi kufungua kesi ya madai Chuo Kikuu au against these people??
Mzee wa sikonge bila Shaka wewe ulikuwa 823KJ Taboraaa dadadeki! mzee wa ma Burn tumbaku, Igombe dam kwenye vitaru, Maisha ya jkt matamu sana hasa ukiwa mdogo!JKT, wale ma-Coplo Magwegwa, Gumo, Wawa, Wera, Manyilizu, Mandevu, Chacha, Matron Makunyanzi nk kwa kweli walikuwa wanajua kutukana na kunyanyasa.
No hapana sijasoma kabisa Moshi. Nimesoma Dar na Arusha.Samahani Kaka paschal Mayalla hujasoma Kirua Sec au Kuishi Maeneo ya Kirua Vunjo
Okey sawa nimesoma Mandangeni primary school na sisi ndiyo tuliifungua, pindi nilikuona nadhani itakuwa ulikuwa rafiki ya moja wa brother yangu kwenye hiyo familia ya Njau.No hapana sijasoma kabisa Moshi. Nimesoma Dar na Arusha.
Ila KV kunanihusu, mwaka 1991/92/93 nikiwa RTD, nilifanya vipindi vya redio shule za KV kuanzia Uparo, Keura, Mandangeni, Kirua Sec, Kisomachi, nikaenda mpaka kule juu Iwa.
Hivyo koo za KV kina Kundi, Kesi, Njau, Mlay, Kifai nazifahamu sana, na kwasababu fulani kila Krismasi time huwa nakuwa KV hata Krismasi hii nilikuwa huko. Tena this time nilipata shida hadi nikaitangaza humu.
PWatanzania tutajifunza kwa makosa hadi lini? Hivi TRC hawa wanaoshindwa vitu vidogo hivi wataweza ku-run SGR yetu effectively & efficiently?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kuna watu unawapa kazi halafu kupitia mambo madogo madogo tuu wanaonyesha wameshindwa, hivi unapowapa mambo makubwa zaidi, unategemea nini?. Tuendelee kujifunza kwa makosa au tukiona tuu dalili tujipange tusisubiri washindwe...www.jamiiforums.com
Kuna kabinti fulani ka Njau kalikuwa kanasoma Kiraeni, nilikapendaga na ilikuwa nioe KV, tatizo likawa vitoto vya KV vimefunzwa mambo fulani ni mpaka baada ya ndoa, sisi watu wa mjini, unataka kufanya kwanza test drive ndipo, ulipende gari ndipo ulinunue, wenyewe wanataka ulitazame tuu ulinunue kwanza ndipo uliendesha, hakuna test drive, hiyo tukashindwana.Okey sawa nimesoma Mandangeni primary school na sisi ndiyo tuliifungua, pindi nilikuona nadhani itakuwa ulikuwa rafiki ya moja wa brother yangu kwenye hiyo familia ya Njau.
Hongera sana kwa kujumuika na wana KV mimi na familia tilikuwa huko pale uparo tarehe 24, 25,26 namalizia Arusha leo, kesho Dodoma jtano narudi jijini.