Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

Hilo ni tatizo kwa wanandoa kadhaa sijui kwanini tu. Hata mimi nimeshuhudia wanandoa wakipinga vikali suala la kuongozana, nadhani huwa wana ajenda ya siri hapo.

...ndoa za ghafla hizo......na hasa cc walume.....umeshamchakaza demu wako ambae ndo mkeo,, then unamuona kama kiroba.....hapo ni wanawake kuwa imara, hata kwa kulazimisha,, huko lazima twende wote...full stop.
 
aibu itoke wapi wakati ulimchagua mwenyewe? ukiona hivyo ujue kidume hiki hakina uaminifu hata kidogo.
Katika maswala yetu ya umoja wa kusaidiana na kufarijiana katika kikundi chetu likaletwa wazo la kila mtu aje na mke wake siku ya sherehe ya kikundi chetu... lakini miongoni mwa wadau tulionao katika kikundi wamepinga vikali na kudai kwamba hakuna haja ya mtu kuja na mkewe hapa.. mmoja akadai yeye ndani ya miaka mitano hajawahi kuongozana na mkewe kwenda maeneo yoyote yale... jamani kwa nini iwe noma kuongozana na mkeo kwenye shughuli mbalimbali kama harusini, msibani hata kwenye nyumba za ibada...........
 
Hawajiamini hao.
Utakuta mtu anajitapa ya nyumbani kwake ila ukiona picha tu ya mkewe unaweza ukapata mkanda mzima.
Tujiamin jamani na tuache kujinadi mwisho wa siku hayo yanawakuta baadhi yenu.
Hahahahahaahahaaa!! umenifanya nicheke, kuna kaka mmoja naye alikuwa anajitapa ile mbaya, mm kwenye mawazo yangu nikadhani kaoa mwarabu, jinsi alivyokuwa anamsifia mkewe, bahati mbaya kukawa na maonyesho ya SYRIAN hapo Diamond Jubilee, tukawa tumekwenda wanawake wengi wa ofisini, Hamadi huyu hapa tukamwona yupo na mkewe, akabaki anababaika, kumtambulisha, na mm kwa umbea nikamuuliza kujua, ndipo alipopata nguvu ya kututambilisha. kwa kweli tulipoachana kila mtu alicheka, Loh!
 
...ndoa za ghafla hizo......na hasa cc walume.....umeshamchakaza demu wako ambae ndo mkeo,, then unamuona kama kiroba.....hapo ni wanawake kuwa imara, hata kwa kulazimisha,, huko lazima twende wote...full stop .
hahahahahah hii nimeipenda
 
Katika maswala yetu ya umoja wa kusaidiana na kufarijiana katika kikundi chetu likaletwa wazo la kila mtu aje na mke wake siku ya sherehe ya kikundi chetu... lakini miongoni mwa wadau tulionao katika kikundi wamepinga vikali na kudai kwamba hakuna haja ya mtu kuja na mkewe hapa.. mmoja akadai yeye ndani ya miaka mitano hajawahi kuongozana na mkewe kwenda maeneo yoyote yale... jamani kwa nini iwe noma kuongozana na mkeo kwenye shughuli mbalimbali kama harusini, msibani hata kwenye nyumba za ibada...........

Hao wanaokataa kuongozana na wake zao watakuwa na matatizo na wivu kuwa wake zao watatongozwa, au wao watakuwa na tabia ya kutongoza wanawake wengine, hivyo wanaogopa wakiongozana na wake zao kuna hatari ya kugombana!!
 
kaka niko mjini aisee, tuonane... nimekupigia jana lakini nehi che............. nilikua napata "mnafu" pale port view
Aisee mi hapana kujua. Nitafutane kwa voda, tigo ilibuma. Pole kwa maswahibu swahiba, alinifahamisha kijana wa bakery. Bahati mbaya nimepoteza namba zako. Mabaamedi washenzi sana, wanajifanya wanafuta meza baada ya kufakamia mdudu kumbe wanachanganya na simu zetu.

Tutafutane mkuu tufarijiane mbele ya Black Label.
 
Nijuavyo kabla ya kumuoa lazima mtakuwa mlikuwa mnakula misere wote maeneo mbali mbali iweje leo umemuoa ushindwe zunguka nae
Kuna tatizo apo unless kama wazee walikuletea ndani na kukwambia mkeo huyoooooo
 
Back
Top Bottom