Kwanini kunguru akifa hatoki funza?

Nimeipenda hii
 
anaejipendekeza kwa mwenzake nani? ulishawai kuniona mahali nimekujibu? kisaa wewe
Mbona unatetemeka mpaka unashindwa kuandika vizuri?

JF ni open forum,unapojibiwa haina maana kua mtu anajipendekeza kwako,wewe kama nani mpaka nijipendekeze kwako? Tulia tu utakaa sawa.
 
Ukishika wire halafu umekanyaga chini basi utakula shoti ila kama umeshika wire juu kwa juu hutapigwa shoti kwa kuwa hujacomplete circuit haya ni kwa mujibu wa mwl wangu wa physics a level (nisahihishe)
Embu nenda kashike halafu ujichukuwe na video kabisa uje utuonyeshe ulivyo fuzu hilo somo we huyo mwl. wako mwambie arudi darasani
 
Kweli mm nilishuhudia fundi anashika waya live bila wasi nikachoka nikamuuliza akanijibu something to do with conductivity au Earthing sikumbuki vzr.
Ni kweli unaushika lakin unaushikaji wake
 
Embu nenda kashike halafu ujichukuwe na video kabisa uje utuonyeshe ulivyo fuzu hilo somo we huyo mwl. wako mwambie arudi darasani
Kijana unapokua hujui jambo sio aibu, ila ni aibu kujifanya unajua jambo wakati hulijui,inaonekana hili somo lipo nje ya uwezo wako wa uelewa, hebu jaribu kusoma previous comment huenda ukagain something.
 
exoskeloton au?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…