Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Sasa mpendwa,wewe si umeniambia nitoe mfano....hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani anayepatwa na hali yakuhitajika katika mahusiano tofauti sana??

Nadhani hukuona maswali yangu yote ndio maana hilo swali lingine limekuja, siku hizi hata nyie mnatongozwa sana tu mbona!!
 
Ni kwel sasa wanaume wanatongozwa,ila je rate ipoje?jibu ni wanawake au siyo ndio percent kubwa bado..
 
Mie mzima mamito, ulipotelea wapi? Nimekumiss.

Usichoke mama tutafanyaje sasa, na mwanamke ndio mkosaji.

Mim nipo mamito, tumbo linanikipu bize, nimefunga ndoa na pesa sasa, yaani naitumikia barabara, binadamu siwawezi hao.
 
Hahahaaaaa! Eti umefunga ndoa na pesa, na pesa ndio mpenzi wa kweli ukiwa mwaminifu kwake naye awa mwaminifu kwako.

Ila mwisho wa siku bado we do need each other, ili hata hizo pesa tuzifaidi, ila sasa tukibugi ndio hata hizo pesa zawa chungu ila angalau zitakufuta machozi kuliko zisiwepo kabisa.
 
Mastess tu hayo mamito, raha ya mpenzi pesa, hakuumizi moyo, anakukeep bze muda wote ikifika ucku unalala unacheka, moyo mweupee.

Hawa watu tuheshimiane tu maisha ya ende,
 
Hahahaaaaa!! Na wana viburi hao siku hizi, tutafute pesa tu mama.
 
muda mwingine naona ni bora tu kuwa responsible na matendo yako na kuangalia kile kilicho sahihi zaidi.
pia kupunguza expectations yaani unakaa na kutamani angesema hivi angefanya hivi ..hivi vitu vinaongeza sana lawama katika mahusiano yaani unajikuta wewe unatamani tu ila mwenzio anakua hana hata habari kinachofuata hapo ni lawana tupu.
Nadhani ambacho wanawake wengi hatujui ni kwamba wanaume wanaishi kama wanavyoona ni sahihi na siyo kama anavyoona mwanamke.
 
Sista atoto hao wanawake kwenye group lako wanaolialia khs ndoa zao, chanzo ni hapo kwa red. Fuatilia vizuri utaamini nachosema. Hata juzi wakati tunazungumzia ucha Mungu nimegusia khs wrong choices mnazofanya.

Kifupi msilaumu wanaume, laumuni maamuzi yenu mabovu mnayofanya wakati wa kuchagua mr right wako. I'm sorry to say this but wengi wenu mko blind sana wakati wa kufanya maamuzi nani akuoe. Hii ndo inayowakosti sana mkishaingia ndoani na mapenzi ya kuigiza kuisha. Waliofanya right decision wanaenjoy tu kwenye ndoa zao.

Mjue wanaume wote hatufanani kwa tabia, kuna magalasa kibao na kuna kete vile vile, hali kadhalika wanawake wote hamfanani kwa tabia, wapo wife material na wa kupotezia muda tu. So you have to play your role, usiende kichwa kichwa tu ukaambulia galasa, choose careful so you get the one you are compartible with. Maisha ya ndoani ni tofauti kabisa na maisha ya girlfriend na boyfriend ambayo kwa kiasi kikubwa yamejaa maigizo.

cc Heaven Sent

Nafahamu wanawake wengi sana ambao ndoa zao zipo juu ya mawe kwasababu walikuwa desperate kuolewa.

Mtu anakuja bila kuwa na mbele wala nyuma ila wao wanamkubali, mwisho wa siku wanakuja kulialia hapa.
 
muda mwingine naona ni bora tu kuwa responsible na matendo yako na kuangalia kile kilicho sahihi zaidi.
pia kupunguza expectations yaani unakaa na kutamani angesema hivi angefanya hivi ..hivi vitu vinaongeza sana lawama katika mahusiano yaani unajikuta wewe unatamani tu ila mwenzio anakua hana hata habari kinachofuata hapo ni lawana tupu.
Nadhani ambacho wanawake wengi hatujui ni kwamba wanaume wanaishi kama wanavyoona ni sahihi na siyo kama anavyoona mwanamke.

Wewe ndio umeongea cha maana sana.

Hapo ndo kuna kuja tofauti ya ndoa yako na za wenzako.
 
muda mwingine naona ni bora tu kuwa responsible na matendo yako na kuangalia kile kilicho sahihi zaidi.
pia kupunguza expectations yaani unakaa na kutamani angesema hivi angefanya hivi ..hivi vitu vinaongeza sana lawama katika mahusiano yaani unajikuta wewe unatamani tu ila mwenzio anakua hana hata habari kinachofuata hapo ni lawana tupu.
Nadhani ambacho wanawake wengi hatujui ni kwamba wanaume wanaishi kama wanavyoona ni sahihi na siyo kama anavyoona mwanamke.
Hornet sikatai kuwa tuko tofauti sana na wanaume in many aspects, lakini linapokuja suala la "kuoana" this is big than what you like or want, wakati mwingine utatakiwa kufanya jambo sio kwasababu unataka bali kwasababu unapaswa.

Kwahiyo hata hiyo ya wanaume kuishi watakavyo wao sikatai only if ni sahihi, unapoamua kuungana na mwenzio lazima kuwe na compromise maana wote hamjakamilika, kuna ambayo either itabidi uyaache kabisa au mwenzio akubaliane kuyavumia(only if kama linavumilika) na hii sio kwa wanawake tu, hii ni kwa wote.

Hata wale wanaokuwa compartible kuna wanavyotofautiana, hamuwezi kufanana vyote, hapo sasa ndipo utashi unabidi ufanye kazi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom