Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Eeh bata lazima, kazi hiari hahhah. Eeh kwenye ukweli lazima tuseme "tunajitahidi sana kuwaombea", japo no wajibu wetu lakini kwa jinsi wanavyotukatisha tamaa, tungekuwa tumeacha. Ila tupo nao tu

Haya mabadiliko wanayoyaimba wayafanye na kwenye ndoa zao alaaaah!! Watuunge mkono, only two can play this game, hizo akili waanze kuzitumia sasa.
 
Haya mabadiliko wanayoyaimba wayafanye na kwenye ndoa zao alaaaah!! Watuunge mkono, only two can play this game, hizo akili waanze kuzitumia sasa.
Hahahah mabadiliko woyooooooo. Tunataka wabadilike kwa kweli. Wajitambue, wasimame mahali sahihi na wawe responsible na maisha yao. Hakuna cha kutegea tena, ni kuungana tu mke na mume
 
Hahahah mabadiliko woyooooooo. Tunataka wabadilike kwa kweli. Wajitambue, wasimame mahali sahihi na wawe responsible na maisha yao. Hakuna cha kutegea tena, ni kuungana tu mke na mume

Tukitegeana ndio tunatengeneza kizazi kibovuuu alafu tunakaa kukilaumu utadhani tumewachimba!!
Alafu busy wanajiita kichwa cha familia wakati familia nyingi zimebakiza kiwiliwili tu! Tuone hivyo vichwa vikiwa vichwa kweli, sio kwakuwa umeleta mahindi na maharage basi wewe kama mwanaume umemaliza(kama nilivyoona mmoja kaongea humu) maana hata sisi huo unga na mahindi tunaweza kuleta, be a man and yo woman will obviously be a woman, lets play our parts.
 
Habari wana Jf.

Nimekuwa nikishuhudia sana tena kwa kiasi kikubwa mnoo kulaumia baina ya wanawake na wanaume katika suala zima la mausiano(ndoa),iwe ktk jamii huku tunakoishi au humu jf.

Wanawake huwalaumu wanaume na wanaume huwalaumu wanawake.

Sasa leo naomba niongelee lawama haswa za wanaume kwa wanawake,Wanaume huwalaumu kwa kiasi kikubwa zaidi wanawake na kuwaachia mabaya yote kuwa wao(wanawake) ndio huwa chanzo cha mivurugano mingi ktk mahusiano na ndoa kwa ujumla.

Mifano dhahiri ni humu ndani, endapo mwanaume ataleta uzi kuhusu tatizo ktk mahusiano yake lawama zoote humwagwa kwa wanawake(hasa wanaume), na watu huenda mbali zaidi na kutoa ushauri kama "achana naye asikusumbue wanawake ni wengi sana" na ushauri wa aina hii ndio huwa mwingi zaidi kutoka kwa wanaume.

Iwapo mwanamke atatoa uzi pia juu ya matatizo katika mahusiano yake basi wanaume wengi kwa kiasi kikubwa humuona huyo mwanamke ndiye mwenye matatizo yaliyopelekea mgongano au hata kuvunjika kwa mahusiano yake.

Utasikia "jichunguze wewe utakuwa ndiye mwenye tatizo"
Na wengine husema wanawake hujisahau sana ktk mahusiano na ndoa kwa ujumla, hivyo anapaswa kuwa mbunifu,mvumilivu,nk. Je wanaume hawajisahau? Au wao wamekamilika hawana tatizoblolote?

Jamani hivi mahusiano huwa ni ya mwanamke peke yake au mwanamke na mwanaume? Je mwanaume hapaswi kuwa mbunifu,mvumilivu,mwenye heshima,nk kwa mkewe/mpenziwe?Sisi sote ni binadamu,hatujakamilika, hivyo twapaswa kurekebishana, kusaidiana na kuvumiliana kwa yale ambayo hatujakamilika kwayo.

Hata mwanaume anapochepuka, husingizia kuwa "mwanamke ndiye chanzo" hawataki kabisa kukubali fault yao ktk suala hili, jamani sisi sio malaika na tuna mioyo yenye nyama kama yenu, kwanini kila lawama mtutupie ilihali nanyi mna mapungufu mengi tu tunayoyavumilia?

Wanawake kwa kiasi kikubwa nimeshuhudia wakishauriana sana juu ya "uvumilivu" na masuala mengine ambayo yataongezea chachu ktk mahusiano/ndoa zao, ila kwa upande wa wanaume hili ni nadra sana kulikuta, zaidi ya "achana naye" au "tafuta mchepuko" "mpuuze" je kweli hii ndio suluhisho pekee kwenu? Na wengine huenda mbali na kuona kuwa kuoa ni hisani tu kwa mwanamke!!

Na kadri muda unavyozidi kwenda ndio bala zaidi linaongezeka, mahusiano/ndoa walaaa hayana uzito tena, hivyo kupelekea hata kizazi tunachokitengeneza tunakilaumu wakati sisi ndio tumesababisha kiwe hivyo.Familia ndio base ya kila kitu, pakiharibika hapo basi hatutokuwa na jamii,taifa na dunia salama.

Play yo part men, hizi lawama ni zetu wote.

Karibuni kwa maoni na mafunzo zaidi ili tuweze kuwa na mahusiano yaliyo imara.

#peace#

Sista atoto Leo for the first time nimesoma comments zote humu, kuhusu hii mada! Kiukweli japo sijaoa Ila nimepata vitu vingi sana kuwa unaweza kuwa mr. Right ukaangukia Kwa "miss wrong", ikawa Tabu au vice Vesa. Tatizo kubwa la sisi wanaume au vijana tunawaza ndoa kuwa matatizo yeyote yakitokea tatizo litakua ni mwanamke na solution kubwa ni kuchepuka, Hilo lipo hata kwenye mahusiano ya bf na gf., na ni kweli kuwa either side akikosea kuchagua imekula Kwa wote na si Kwa mwanaume tu Kama ambavyo wanaume wengi tunajidanganya. Mimi binafsi nataman nioe mwanamke ambae atanifanya nifurahie Maisha.! Mada yako imenikosha sana ningekua Tz ningekupiga na savannah moja bariiidi! 😀😀
 
Hahahaaa! Thanks, hilo uliloliongea ni zaidi ya savanah, nafarijika sana pale ambapo mwanaume anaona na kukubali kwamba haya matatizo yanasababishwa na sisi wote, twapaswa kuwa makini wote bila kusahau kumtanguliza Mungu katika hili maana kwa nguvu zetu wenyewe hatuwezi.
 
Mmmh!! Hivi unajua mpaka nimeanzisha mada hii sijakurupuka!! Nishasoma sana mada za humu,za both female n males, na kwa kiasi kikubwa sana nimeliona hili nililoliongelea, na hakuna kitu mnatetea kama michepuko kama suluhisho la matatizo yenu yote kwenye ndoa hata lile dogo tu la kutumia akili ndogo tu.

Kama wanawake wanafikia kuongea hayo ni kwakuwa ndio wahanga sana ktk hili, so ni kama wameshajikatia tamaa maana wanaume hawathamini uwepo wao kwa kiasi kikubwa, kila lawama ni kwa wanawake tu. Jamani na sisi ni binadamu tunachoka!

Nina amini hujakurupuka lakini ni vyema tukapata uhakika wa tunachopishana...tafuta mada mbili moja ya jinsia yakiume halafu nyingine ya mwanamke halafu niambie twende tukahesabu wote michango hiyo...rahisi tu kinamna hivyo....nimezungumza kuwa kuna maswala ambayo mwanamke anafanya halafu jibu lake anakuambia tumeumbwa wadhaifu,na ndio ambacho mnakimbilia kama utetezi wenu
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hahaha jirani naona wewe unaongea vice versa. Wanawake wengi wakileta malalamiko yao humu cha kwanza wataambiwa "jichunguze ni wapi ulipokosea". Na ni mara chache mwanamke atashauriwa kuhusu divorce. Ila mwanaume akileta malalamiko basi ataambiwa " Piga chini huyo", " unawezaje kuishi na mke kama huyo? Yani ingekuwa mimi ningekuwa nishafanya maamuzi magumu n.k

Nakubali jirani kuwa na Sisi wanawake tunateleza kama nyie mnavyoteleza. Uvumilivu unahusika both sides, tujifunze kubebana tu

Jirani nitakuwa nakumention katika mada zenye uelekeo wakuhitaji ushauri zinapoletwa ili uone mambo....
 
Nina amini hujakurupuka lakini ni vyema tukapata uhakika wa tunachopishana...tafuta mada mbili moja ya jinsia yakiume halafu nyingine ya mwanamke halafu niambie twende tukahesabu wote michango hiyo...rahisi tu kinamna hivyo....nimezungumza kuwa kuna maswala ambayo mwanamke anafanya halafu jibu lake anakuambia tumeumbwa wadhaifu,na ndio ambacho mnakimbilia kama utetezi wenu

Naomba hilo uloliongea mwanzo nikuachie mwenyewe maana hata wewe unajua ukweli wa hilo ila unabisha tu

Hapo mwisho daaaah!! Hivi kuna wanaolitumia hilo kama wanaume!! Mnajikwaa mnachepuka, Mnateleza mnazaa na kutuletea watoto tulee, mnaanguka na kutuletea magonjwa, yote tunavumilia tu, sababu mnayoitoa utasikia "mwanaume ni kiumbe dhaifu sana" as if wanawake ni viumbe wakamilifu sana.

Hapo tatizo ni kuwa hamtaki tukosee, na tunapokosea kwasababu mmejiandaa kuhesabu makosa tu basi mnakuwa mmepata pa kutokea.
Jamani kweli haya ndio "mahusiano"??

NOTE: Sijasema wanawake hatufanyi hayo,ila atleast huwa tunakubali kurekebishika, sasa basi tusaidiane katika kuhakikisha tunakuwa na mahusiano imara, kama tutashirikiana tangu mwanzo basi itakuwa rahisi pia kugundua kuwa ninyi sio compartible au kweli mnafaana hivyo muingie ktk hatua inayofuata ya ndoa, na sio mmekaa na viburi kuwa makosa ni ya wanawake tu.
 
Teh me sina utani, naplay part yangu kwa sababu Sitaki nije nimlaumu mtu mwingine while I had a chance to make my own choice.

Hiyo last paragraph nimewagusa nyie wanaume ambao mnaona sisi tu ndo tunatakiwa tumake right choices. Kama wewe umemake right choices how comes umeishia kwangu mimi niliyefanya wrong choice. That was my point.

Najua watu wanaingia kwenye ndoa kwa sababu mbalimbali. Kuna watu wanaingia kwa fashion, wengine kutoa gundu, wengine kuangalia tu mikato ya chumba, wengine wanaoa/ kuolewa ili wapate mteremko wa hela ( wana maslahi na ndoa). Wengine wanaingia ndoani kwa sababu ya Mapenzi tu na wengine kwa ajili ya familia etc. Kwa hiyo lazima ufanye right choices ili umuepuke mtu anayeingia ndoani kwa motives zake binafsi

Ewaaaaa we sasa tunaongea lugha moja, bado dadangu atoto ndo bado tunaongea lugha gongana, ila nina imani atanielewa tu soon
 
Last edited by a moderator:
Naomba hilo uloliongea mwanzo nikuachie mwenyewe maana hata wewe unajua ukweli wa hilo ila unabisha tu

Hapo mwisho daaaah!! Hivi kuna wanaolitumia hilo kama wanaume!! Mnajikwaa mnachepuka, Mnateleza mnazaa na kutuletea watoto tulee, mnaanguka na kutuletea magonjwa, yote tunavumilia tu, sababu mnayoitoa utasikia "mwanaume ni kiumbe dhaifu sana" as if wanawake ni viumbe wakamilifu sana.

Hapo tatizo ni kuwa hamtaki tukosee, na tunapokosea kwasababu mmejiandaa kuhesabu makosa tu basi mnakuwa mmepata pa kutokea.
Jamani kweli haya ndio "mahusiano"??

NOTE: Sijasema wanawake hatufanyi hayo,ila atleast huwa tunakubali kurekebishika, sasa basi tusaidiane katika kuhakikisha tunakuwa na mahusiano imara, kama tutashirikiana tangu mwanzo basi itakuwa rahisi pia kugundua kuwa ninyi sio compartible au kweli mnafaana hivyo muingie ktk hatua inayofuata ya ndoa, na sio mmekaa na viburi kuwa makosa ni ya wanawake tu.

Nikipata fursa nitaangalia mada mbili zenye kama nilivyoeleza halafu nitakumention....

Unajua kuna kosa,uovu na dhambi....sasa wanawake huwa wanatenda uovu halafu wanatreat kama ni kosa na ndio maana hukimbilia kusema hawajakamilika,jambo ambalo wanaume huona hawa viumbe wanafanya makusudi...
 
Ewaaaaa we sasa tunaongea lugha moja, bado dadangu atoto ndo bado tunaongea lugha gongana, ila nina imani atanielewa tu soon

Siwezi kukuelewa mpaka ukubali kuwa nanyi mnaplay part ktk hizo choices.
 
Last edited by a moderator:
My boss, mwanaume lazima aplay part yake katika kuchagua mwenzi pia. Hilo halina mjadala period

Sawa sisi tunapokea multiple applications from men, hivyo lazima tuchanganue asset na liabilities ili tupate kitu chema. But ni kitu gani kinachomfanya mwanaume amtongoze binti A na sio binti C? Au wenzetu huwa wanatongoza tu randomly patakapotiki ndo huko huko?

Wanaume wameandikiwa kabisa " mke mwema ni nani awezaye kumwona ". Wamepewa na attributes za kuzitumia kumtambua mke mwema. Kwa hiyo kabla hajaanza tongozo lazima aangalie huyo binti ana sifa za mke mwema? Utazitambuaje ndo inabidi aombe na kuchunguza ili ampate mke mwema. Kwa sababu naamini kila mwanamke ni mke mwema but sio kila mke mwema ni mkeo. Lazima ufanye kitu ili umpate mke mwema wakwako.

Na Sisi mabinti unaomba Mungu akuongoze katika ile mitongozo umtambue mume mwema wako. Basi ii

C.c mito

Nimevutiwa zaidi na hapo kwa red. Kwa kukusaidia tu ili upate jibu lako search humu au somewhere what a man needs from a woman ulinganishe na what a woman needs from a man. Angalia japo top 3 priorities utajifunza kitu na hutajiuliza swali hilo tena.

Hapo kwa blue you said it all

cc atoto
 
Last edited by a moderator:
Nikipata fursa nitaangalia mada mbili zenye kama nilivyoeleza halafu nitakumention....

Unajua kuna kosa,uovu na dhambi....sasa wanawake huwa wanatenda uovu halafu wanatreat kama ni kosa na ndio maana hukimbilia kusema hawajakamilika,jambo ambalo wanaume huona hawa viumbe wanafanya makusudi...

Mweeeh!! Hebu twende taratibu, katika hayo (kosa,uovu na dhambi) wanaume huwa wanatenda lipi? Alafu itakuwa vyema ukitoa mifano ya hayo makosa na maovu.
 
Nimevutiwa zaidi na hapo kwa red. Kwa kukusaidia tu ili upate jibu lako search humu au somewhere what a man needs from a woman ulinganishe na what a woman needs from a man. Angalia japo top 3 priorities utajifunza kitu na hutajiuliza swali hilo tena.

Hapo kwa blue you said it all

cc atoto

Hivi mito nyie huwa mnatongoza tuuu bila kumshirikisha Mungu kwanza? Yaani wajiendea tuu ilimradi? Hapo ndipo tunapopishana, kukataa kuwa hizi choices zinakuwa ni za wanawake tu na wanaume hawana role ktk hili, kwahiyo balaa lolote litakalotokea baadae mwanamke ndio kasababisha?
 
Last edited by a moderator:
Hii mambo ya kujionyesha kwa watu ndo inawaponza watu. Yani mwanamke anaona bora avumilie matusi, vipigo, michepuko etc ili mradi tu huko nje waone "eh ndoa yao ina miaka ishirini. Safi sana "

Kwa nilichoshuhudia maishani mwangu hakuna mtu anayeweza kunidanganya kuhusu ndoa kudumu. Mtu huna furaha unaringia ndoa miaka ishirini.

Mapenzi ni two-way traffic. Nahisi inafikaga point wanachokana au ni kuwa tu hawakuwa wanaendana, jitihada zoote za kujipikilisha na kujirembesha na kujishusha zikibuma, ukijumlisha na mmoja kuwa na tabia za hovyo, basi anajiona kama anamfanyia mwenzake favor kubaki naye. Na isingekuwa kubanwa na dini wengi wangetoka tu.

Watu wanaogopa dini.
Kisa ameapa mbele ya kanisa basi watavumilia tu.
Ifike wakati ndoa isionekane kama kitu ambacho hakiwezi kuvunjika.
Kama unaona maisha ya ndoa yamekushinda call it a day.
Kwanini ujiumize?
 
Mweeeh!! Hebu twende taratibu, katika hayo (kosa,uovu na dhambi) wanaume huwa wanatenda lipi? Alafu itakuwa vyema ukitoa mifano ya hayo makosa na maovu.

Hiyo ni michakato ya jambo baya kukomaa,kwa mfano mwanamke ambaye ana mahusiano tayar akikubali kutongozwa hapo kafanya kosa,akikubali nakupanga kwenda kungonoka hapo katenda uovu,akingonoka hapo katenda dhambi....
 
Hivi mito nyie huwa mnatongoza tuuu bila kumshirikisha Mungu kwanza? Yaani wajiendea tuu ilimradi? Hapo ndipo tunapopishana, kukataa kuwa hizi choices zinakuwa ni za wanawake tu na wanaume hawana role ktk hili, kwahiyo balaa lolote litakalotokea baadae mwanamke ndio kasababisha?

Hahahah boss broo mito kaelewa somo vizuri sana. Sema hataki tu kuadmit.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni michakato ya jambo baya kukomaa,kwa mfano mwanamke ambaye ana mahusiano tayar akikubali kutongozwa hapo kafanya kosa,akikubali nakupanga kwenda kungonoka hapo katenda uovu,akingonoka hapo katenda dhambi....

Kwahiyo ktk hayo yote matatu hutendwa na wanawake tu!!
 
Kwahiyo ktk hayo yote matatu hutendwa na wanawake tu!!

Sasa mpendwa,wewe si umeniambia nitoe mfano....hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani anayepatwa na hali yakuhitajika katika mahusiano tofauti sana??
 
Back
Top Bottom