Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Kwani anayeapproachiwa nani sista [MENTION=157962] "jamani unakuta mwingine kweli anakupenda ila sasa hata uvute hisia za marehemu bado unakuwa hupati hisia nae,
Hahahaha. Asante kwa kuniongezea misamiati.

Lakini Si ndo huwa mnawashauri humu, eti mwanaume ndo anapenda kwanza. Mwanamke anajifunza kupenda. Kwa hiyo uolewe na mwanaume hata kama humpendi. I always find that a heap of bollocks. Kweli kule patakauka na kukakamaa hata upake grease.
 
Alafu mito si kwamba enzi za wazazi wetu wananawake waliokuw wakichaguliwa wenza na wazazi wao walikuwa wakipata wenza sahihi, this is totaly wrong, kipindi hicho tambua mwanamke hakuwa na say kabisa kwahiyo uwe unataka au hutaki utaolewa tu, sasa utakavyoishi na mumeo huko ni juu yako.

Pia kumbuka ilikuwa ngumu mwanamke kulalamika maana hakuna atakayemsikiliza hivyo atavumilia manyanyaso yote ya mumewe, wengine waliishia kutorokea porini na kuliwa na wanyama wakali, maana jamii ilimuona mwanamke kama kiumbe dhaifu kisichokuwa na say yoyote katika maamuzi yanayohusu maisha yake, ni kama property tu ya mume.

Sasa nyakati zimebadilika na jamii imekuwa na mwangaza na angalau mwanamke amepewa nafasi angalau hiyo ya kuchagua whom to marry, sasa msitumie hii kama kigezo cha kutunyanyasa nacho, wote twapaswa kuwa real ili tuwapate watu sahihi maana yale ni mahusiano yetu sote sio ya wanawake tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Mna matatizo sasa kama Mimi tokea jana usiku mwanamke kanuna tu.nimempigia simu mchana bado kanuna sasa hapo unategemea nini.hapa napitia sehemu natulia nikirudi nacheza na mwanangu atajua mwenyewe.wanawake wasababisha mwanaume ajifunze mambo ambayo hakuwa nayo kabla.

And the story goes on, si unaona sasa!! Hivi huyo mwanamke ni mwendawazimu hadi anune bila sababu? Hivi ile akili mliyoambiwa muitumie kuishi nasi huwa mnaitumia wapi???

Kweli wewe kama mwanaume hata kwa hili dogo umeshindwa kulitafutia ufumbuzi na kuona ukajipumzishe mahali, yaani kweli suluhisho lenu huwa ni kutukomoa tu? Hata kama umemuudhi acheke tuuuu, jamani basi ni bora muombe Mungu awe anawashushia malaika muwaoe hao.
 
Kwani anayeapproachiwa nani sista atoto hadi uulize 'Hivi kumbe choices zinafanywa na wanawake tu?'

Nijuavyo mwanamke ndo anakusanya applications za wanaume mbalimbali then anachagua yupi mr right kwake. Sisi tunatuma applications, then wewe unatuassess kisha unachagua unayemtaka. So unapochagua garasa usimlaumu huyo uliyemchagua, bali jilaumu wewe kwa kuchagua mume hewa. Ndo point yangu hii.

So mi nabaki kukazia pale pale kwamba mnaishia kulia lia kwenye ndoa kwa sababu mnafanya wrong choice ya yupi akuoe. Ni kwa kutambua hili ndo maana enzi za mababu zetu wanawake walikuwa wanachaguliwa wenza. Wanajua wazi mwanamke ktk mahusiano ni myopic ndo maana anaishia kuchagua korona.

Kizazi chetu mmekataa habari za kuchaguliwa wenza. Hoja yenu ndo hii kama ulivyoiweka hapa "jamani unakuta mwingine kweli anakupenda ila sasa hata uvute hisia za marehemu bado unakuwa hupati hisia nae, sasa ukiingia kwenye ndoa na mtu wa hivyo ndio yale utakuta unamuandaa mwanamke kuanzia asubuhi hadi jioni ila walaaaa hastuki (hii ni shida pia).

Mmeachia uhuru wa kuchagua wenyewe mnaishia kuchagua magarasa. Sasa sijui hapo wa kumlaumu nani??!! Mkishaelewa chanzo cha tatizo mtaweza kuliepuka, lakini ukiendelea kuamini eti tatizo ni kwamba hampati ushirikiano wa wanaume ktk kutatua migogoro ya ndoa, bado hiyo short term solution ndg yangu.

Ushauri wangu kama nilivyosema siku ile ni kwamba m-review vigezo vyenu kwa mwanaume. Otherwise majanga yataendelea as there is no way wanaume wote wakafanana. Wewe ndo mwenye jukumu la kupick the mr right from the pool.
Eeeh hapa ndo umekuja penyewe kabisa. atoto is very right kwamba "Kila mtu anawajibika katika kuchagua mtu sahihi", otherwise utasuffer consequences za poor choice ya mtu mwingine as long as wewe ni part ya huyo mtu. Ingawa kila mtu anatakiwa aombe na kufanya uchaguzi sahihi juu ya mwenzake bila kutegea kwamba lazima na huyo partner na yeye aombe. wewe ndo unajua ni nini unataka, so simama Imara kukipigania hadi ukipate na uendelee kukitunza. Just keep it 100%. Kwa hiyo mimi kama nikikosea choice nikakuchagua wewe, basi jua na wewe umefanya wrong choice ndo maana ukaishia kwangu. Mrs right wako umemuacha hukooo

Naona wengi wetu tunadhani kuwa ukiwa Miss right afu ukapata Mr right basi ndo mtakuwa na ndoa perfect. Hell nooooo. Kuwa watu sahihi sio guarantee ya kuwa na smooth marriage. Kila mmoja wenu ameletwa ili kukamilisha mapungufu ya mwenzake (kwa hiyo lazima mbebeane mizigo).

Na tunaamini kuna muda Mungu anawapitisha kwenye majaribu ili mkishaweza kuyashinda hayo majaribu muwe na kitu chema zaidi. Sasa muda ule wa kujaribiwa ndo wanaume wengi wanabadilika sana. Lakini mngeweza kusimama pamoja kwa umoja lilikuwa ni jaribu dogo sana. Mke kajisahau ( jaribu hili), sasa wewe ukienda kuchepuka ndo mmeshafail while Mungu hakuwapa jaribu ili awakomoe, alitaka akupime possibly kabla hajakupa Vitu vyema zaidi. So its not all about right choices, lazima mpitie na mshinde majaribu. Right choices hazitambuliki wakati wa raha, ila wakati wa shida, karaha, magonjwa etc

N:B ule ushauri wako nimeuweka moyoni na nautendea kazi sanaaa.
 
Last edited by a moderator:
mito unajua katika hili tunaweza kulaumiana hadi hasubuhi lakini bado suala linabaki pale pale kuwa huu ni mzigo wetu wote, kama mtaendelea kutulaumu hivi na kuona kuwa katika balaa hili nyie hamna cha kulaumiwa kwalo mnakosea sanaaaa, naweza nikawa nimekupima kwa vigezo vyangu nikakuona kuwa unastahili(kwakuwa awali ulipretend, and yo very good pretenders) na tukaingia ndoani ukatoa makucha, hili pia alaumiwe mwanamke?

Kumbuka tunatakiwa "tuoane" ili maisha yaende vyema, sasa kama mmejiandaa kupima mapungufu yetu tu na mwisho mje mtulaumu kuwa tulikosea kuwachagua, is this right? Sasa kwanini uliamua kuingia nami ndoani? Unaoa ili iweje? Hii ndio akili eti?

Ndio hiyo nilokuwa nikiongelea kuwa mwaona sie ndio wenye makosa tu, hivyo lawama zote ni kwetu,nyie malaika bwana.
My boss, mwanaume lazima aplay part yake katika kuchagua mwenzi pia. Hilo halina mjadala period

Sawa sisi tunapokea multiple applications from men, hivyo lazima tuchanganue asset na liabilities ili tupate kitu chema. But ni kitu gani kinachomfanya mwanaume amtongoze binti A na sio binti C? Au wenzetu huwa wanatongoza tu randomly patakapotiki ndo huko huko?

Wanaume wameandikiwa kabisa " mke mwema ni nani awezaye kumwona ". Wamepewa na attributes za kuzitumia kumtambua mke mwema. Kwa hiyo kabla hajaanza tongozo lazima aangalie huyo binti ana sifa za mke mwema? Utazitambuaje ndo inabidi aombe na kuchunguza ili ampate mke mwema. Kwa sababu naamini kila mwanamke ni mke mwema but sio kila mke mwema ni mkeo. Lazima ufanye kitu ili umpate mke mwema wakwako.

Na Sisi mabinti unaomba Mungu akuongoze katika ile mitongozo umtambue mume mwema wako. Basi ii

C.c mito
 
Last edited by a moderator:
Jirani Heaven Sent nakubaliana na wewe kabisa kimsingi kuwa wanaume huwa hawaoni hiko kidogo ambacho kinafanywa na wanawake...ni kweli kwa sababu tunakubaliana kabisa katika mahusiano kuwa ule usemi wa "end justfy the means" ndio unaokuwa applicable,ndio maana pamoja na mengi mazuri ambayo mtu anatenda au kutendewa bado likitokea moja baya litalokuwa limemkera atabreak hayo mahusiano au kufanya vyovyote kuonyesha kuwa amekerwa SANA...lakini pia ukija upande wa wanawake nao huwa hawaoni hivyo vikubwa ambavyo wanafanyiwa yaan inakuwa ni ile hali ya macho nje nje kulinganisha nakuhitaji bila kupima hali halisi ya mahali alipo...Nakubaliana na wewe kubwa hakuna mwanamke aliye 100%,ila sasa wanatumia kigezo hiko chakujiona hawajakamilika kufanya mambo ya hovyo kabisa...ukimuuliza kwa nini umefanya hivi?atakujibu nimeteleza sijakamilika,yaan ni majibu mepesi katika maswali mazito...Lakini jaribu hata kuangalia mada nyingi hapa jukwaan utaona,wakat mwanaume atapokuja kuomba ushauri,ni kweli wanaume wengi watashauri kutafutwa kwa mbadala wakati suluhisho linatafutwa la kudumu ilihali mwanamke akija omba ushauri hapa wanawake wengi utaona wanasema "me siwezi ishi na mwanaume wa namna hiyo,kwa nini anizeeshe,achana nae"....yaan ile hali yakuangalia tatizo kwa mapana yake haipo...wanasema kama ukiweza kuachana na mwanaume wa kwanza kwa urahisi pia ni rahisi kuachana na mwanaume anayefuata..
 
Last edited by a moderator:
mito unajua katika hili tunaweza kulaumiana hadi hasubuhi lakini bado suala linabaki pale pale kuwa huu ni mzigo wetu wote, kama mtaendelea kutulaumu hivi na kuona kuwa katika balaa hili nyie hamna cha kulaumiwa kwalo mnakosea sanaaaa, naweza nikawa nimekupima kwa vigezo vyangu nikakuona kuwa unastahili(kwakuwa awali ulipretend, and yo very good pretenders) na tukaingia ndoani ukatoa makucha, hili pia alaumiwe mwanamke?

Kumbuka tunatakiwa "tuoane" ili maisha yaende vyema, sasa kama mmejiandaa kupima mapungufu yetu tu na mwisho mje mtulaumu kuwa tulikosea kuwachagua, is this right? Sasa kwanini uliamua kuingia nami ndoani? Unaoa ili iweje? Hii ndio akili eti?

Ndio hiyo nilokuwa nikiongelea kuwa mwaona sie ndio wenye makosa tu, hivyo lawama zote ni kwetu,nyie malaika bwana.

Basi sista atoto tuacha maana kweli hatutafikia muafaka, kama huamini kwamba haya yote yanatokana na wrong choices mnazofanya basi mjadala hautaisha.

Uwezi kuchagua garasa ukategemea iwe turufu. Sawa sikatai wapo wanaume wanaochunguza mapungufu yetu, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa nyie wenyewe ndo mnachagua hao wanaume wa kuchunguza mapungufu yenu. So jilaumu mwenyewe.

Unapouliza 'Sasa kwanini uliamua kuingia nami ndoani? Unaoa ili iweje? Hii ndio akili eti?' nitakujibu ndio ni akili kwa mhusika, maana kuna sababu lukuki za kuingia ndoani.
 
Last edited by a moderator:
atoto nimezungumza kwa mtazamo huo ili kuweka mada katika mzani sawa,maana ulianza kwa kutoa lawama kwa wanaume,..katika nani anayeshauri ndoa au mahusiano kuvunjwa jaribu kuangalia mada za nyuma za watu wa jinsia tofauti wenye kuhitaji ushauri halafu hesabu michango ya watu na jinsia zao kisha utanipa jibu,kama huamini tafuta mada yoyote twende huko tukahesabu michango yao halafu turudi katika hilo.....
 
Last edited by a moderator:
👏👏👏👏👏 Heaven Sent tatizo hawa viumbe hawataki kabisa kukubali mchango wao katika mivurugano hii, wote tunamuomba Mungu atupatie watu sahihi(sio perfect), sasa hapa pa kumpima yupi sahihi ndipo kimbembe. Full kufake kila kitu, unajiona umepata kumbe umepatikana, eeeh Mungu turehemu.

Alafu hata wale wanaopata machaguo sahihi sio kwamba ndio wamemaliza mchezo, tena ndio wasiposimama imara na kushirikiana ktk kuyajenga hayo mahusiano kwisha habari. Hapa napo bado ataonekana mwanamke kakosea, duuuh hii ni mizigo zaidi ya misumari.
 
Last edited by a moderator:
Alafu mito si kwamba enzi za wazazi wetu wananawake waliokuw wakichaguliwa wenza na wazazi wao walikuwa wakipata wenza sahihi, this is totaly wrong, kipindi hicho tambua mwanamke hakuwa na say kabisa kwahiyo uwe unataka au hutaki utaolewa tu, sasa utakavyoishi na mumeo huko ni juu yako.

Pia kumbuka ilikuwa ngumu mwanamke kulalamika maana hakuna atakayemsikiliza hivyo atavumilia manyanyaso yote ya mumewe, wengine waliishia kutorokea porini na kuliwa na wanyama wakali, maana jamii ilimuona mwanamke kama kiumbe dhaifu kisichokuwa na say yoyote katika maamuzi yanayohusu maisha yake, ni kama property tu ya mume.

Sasa nyakati zimebadilika na jamii imekuwa na mwangaza na angalau mwanamke amepewa nafasi angalau hiyo ya kuchagua whom to marry, sasa msitumie hii kama kigezo cha kutunyanyasa nacho, wote twapaswa kuwa real ili tuwapate watu sahihi maana yale ni mahusiano yetu sote sio ya wanawake tu!!!

Sista exceptions haziwezi kukosekana ktk maisha. Ila ukweli unabaki wazi wengi wao walipata wenza sahihi. Ofcourse sisemi kuwa turudi kwenye enzi za kuchaguliana wenza. Nachojaribu kusema ni kwamba tumieni uhuru huo kuchagua husband material. Ukipata mume wa maana mbona migogoro inajadilika vizuri tu na ndoa inasonga mbele.

We mwenyewe hapa jukwaani pamoja na kuwa anonymous unaona variety ya wanaume. Wapo wanaume hewa kibao, so ukijipachika kwa huyo hewa what do you expect my sister??!! ndo majanga plus plus daily
 
Jirani Heaven Sent nakubaliana na wewe kabisa kimsingi kuwa wanaume huwa hawaoni hiko kidogo ambacho kinafanywa na wanawake...ni kweli kwa sababu tunakubaliana kabisa katika mahusiano kuwa ule usemi wa "end justfy the means" ndio unaokuwa applicable,ndio maana pamoja na mengi mazuri ambayo mtu anatenda au kutendewa bado likitokea moja baya litalokuwa limemkera atabreak hayo mahusiano au kufanya vyovyote kuonyesha kuwa amekerwa SANA...lakini pia ukija upande wa wanawake nao huwa hawaoni hivyo vikubwa ambavyo wanafanyiwa yaan inakuwa ni ile hali ya macho nje nje kulinganisha nakuhitaji bila kupima hali halisi ya mahali alipo...Nakubaliana na wewe kubwa hakuna mwanamke aliye 100%,ila sasa wanatumia kigezo hiko chakujiona hawajakamilika kufanya mambo ya hovyo kabisa...ukimuuliza kwa nini umefanya hivi?atakujibu nimeteleza sijakamilika,yaan ni majibu mepesi katika maswali mazito...Lakini jaribu hata kuangalia mada nyingi hapa jukwaan utaona,wakat mwanaume atapokuja kuomba ushauri,ni kweli wanaume wengi watashauri kutafutwa kwa mbadala wakati suluhisho linatafutwa la kudumu ilihali mwanamke akija omba ushauri hapa wanawake wengi utaona wanasema "me siwezi ishi na mwanaume wa namna hiyo,kwa nini anizeeshe,achana nae"....yaan ile hali yakuangalia tatizo kwa mapana yake haipo...wanasema kama ukiweza kuachana na mwanaume wa kwanza kwa urahisi pia ni rahisi kuachana na mwanaume anayefuata..
Hahaha jirani naona wewe unaongea vice versa. Wanawake wengi wakileta malalamiko yao humu cha kwanza wataambiwa "jichunguze ni wapi ulipokosea". Na ni mara chache mwanamke atashauriwa kuhusu divorce. Ila mwanaume akileta malalamiko basi ataambiwa " Piga chini huyo", " unawezaje kuishi na mke kama huyo? Yani ingekuwa mimi ningekuwa nishafanya maamuzi magumu n.k

Nakubali jirani kuwa na Sisi wanawake tunateleza kama nyie mnavyoteleza. Uvumilivu unahusika both sides, tujifunze kubebana tu
 
Last edited by a moderator:
Eeeh hapa ndo umekuja penyewe kabisa. atoto is very right kwamba "Kila mtu anawajibika katika kuchagua mtu sahihi", otherwise utasuffer consequences za poor choice ya mtu mwingine as long as wewe ni part ya huyo mtu. Ingawa kila mtu anatakiwa aombe na kufanya uchaguzi sahihi juu ya mwenzake bila kutegea kwamba lazima na huyo partner na yeye aombe. wewe ndo unajua ni nini unataka, so simama Imara kukipigania hadi ukipate na uendelee kukitunza. Just keep it 100%. Kwa hiyo mimi kama nikikosea choice nikakuchagua wewe, basi jua na wewe umefanya wrong choice ndo maana ukaishia kwangu. Miss right wako umemuacha hukooo

Naona wengi wetu tunadhani kuwa ukiwa Miss right afu ukapata Mr right basi ndo mtakuwa na ndoa perfect. Hell nooooo. Kuwa watu sahihi sio guarantee ya kuwa na smooth marriage. Kila mmoja wenu ameletwa ili kukamilisha mapungufu ya mwenzake (kwa hiyo lazima mbebeane mizigo).

Na tunaamini kuna muda Mungu anawapitisha kwenye majaribu ili mkishaweza kuyashinda hayo majaribu muwe na kitu chema zaidi. Sasa muda ule wa kujaribiwa ndo wanaume wengi wanabadilika sana. Lakini mngeweza kusimama pamoja kwa umoja lilikuwa ni jaribu dogo sana. Mke kajisahau ( jaribu hili), sasa wewe ukienda kuchepuka ndo mmeshafail while Mungu hakuwapa jaribu ili awakomoe, alitaka akupime possibly kabla hajakupa Vitu vyema zaidi. So its not all about right choices, lazima mpitie na mshinde majaribu. Right choices hazitambuliki wakati wa raha, ila wakati wa shida, karaha, magonjwa etc

N:B ule ushauri wako nimeuweka moyoni na nautendea kazi sanaaa
.

Huo ndo wenyewe hasa, ukiufuata haya malalamiko utabaki kuyasikia kwa wenzako tu, mdokezee na sista yangu atoto kama ulimpita pembeni.

BTW did you know watu wanaingia kwenye ndoa kwa sababu mbali mbali? hapa ni katika kujibu ulivyosema "Kwa hiyo mimi kama nikikosea choice nikakuchagua wewe, basi jua na wewe umefanya wrong choice ndo maana ukaishia kwangu. Miss right wako umemuacha hukooo". So mwisho wa ndoa ya namna hii ni kuachana coz there is no compartibility at all.
 
Last edited by a moderator:
👏👏👏👏👏 Heaven Sent tatizo hawa viumbe hawataki kabisa kukubali mchango wao katika mivurugano hii, wote tunamuomba Mungu atupatie watu sahihi(sio perfect), sasa hapa pa kumpima yupi sahihi ndipo kimbembe. Full kufake kila kitu, unajiona umepata kumbe umepatikana, eeeh Mungu turehemu.

Alafu hata wale wanaopata machaguo sahihi sio kwamba ndio wamemaliza mchezo, tena ndio wasiposimama imara na kushirikiana ktk kuyajenga hayo mahusiano kwisha habari. Hapa napo bado ataonekana mwanamke kakosea, duuuh hii ni mizigo zaidi ya misumari.
Teh makofi hayatoshi bana, weekend unipeleke kokote nikale bata teh

Naamini kwa hili somo la leo wametuelewa vizuri sana tu. Hata wasipoadmit hapa, kimoyomoyo watakuwa wanakubaliana na Sisi. Tuzidi tu kuwaombea hawa wanaume
 
Last edited by a moderator:
Habari wana Jf.

Nimekuwa nikishuhudia sana tena kwa kiasi kikubwa mnoo kulaumia baina ya wanawake na wanaume katika suala zima la mausiano(ndoa),iwe ktk jamii huku tunakoishi au humu jf.

Wanawake huwalaumu wanaume na wanaume huwalaumu wanawake.

Sasa leo naomba niongelee lawama haswa za wanaume kwa wanawake,Wanaume huwalaumu kwa kiasi kikubwa zaidi wanawake na kuwaachia mabaya yote kuwa wao(wanawake) ndio huwa chanzo cha mivurugano mingi ktk mahusiano na ndoa kwa ujumla.

Mifano dhahiri ni humu ndani, endapo mwanaume ataleta uzi kuhusu tatizo ktk mahusiano yake lawama zoote humwagwa kwa wanawake(hasa wanaume), na watu huenda mbali zaidi na kutoa ushauri kama "achana naye asikusumbue wanawake ni wengi sana" na ushauri wa aina hii ndio huwa mwingi zaidi kutoka kwa wanaume.

Iwapo mwanamke atatoa uzi pia juu ya matatizo katika mahusiano yake basi wanaume wengi kwa kiasi kikubwa humuona huyo mwanamke ndiye mwenye matatizo yaliyopelekea mgongano au hata kuvunjika kwa mahusiano yake.

Utasikia "jichunguze wewe utakuwa ndiye mwenye tatizo"
Na wengine husema wanawake hujisahau sana ktk mahusiano na ndoa kwa ujumla, hivyo anapaswa kuwa mbunifu,mvumilivu,nk. Je wanaume hawajisahau? Au wao wamekamilika hawana tatizoblolote?

Jamani hivi mahusiano huwa ni ya mwanamke peke yake au mwanamke na mwanaume? Je mwanaume hapaswi kuwa mbunifu,mvumilivu,mwenye heshima,nk kwa mkewe/mpenziwe?Sisi sote ni binadamu,hatujakamilika, hivyo twapaswa kurekebishana, kusaidiana na kuvumiliana kwa yale ambayo hatujakamilika kwayo.

Hata mwanaume anapochepuka, husingizia kuwa "mwanamke ndiye chanzo" hawataki kabisa kukubali fault yao ktk suala hili, jamani sisi sio malaika na tuna mioyo yenye nyama kama yenu, kwanini kila lawama mtutupie ilihali nanyi mna mapungufu mengi tu tunayoyavumilia?

Wanawake kwa kiasi kikubwa nimeshuhudia wakishauriana sana juu ya "uvumilivu" na masuala mengine ambayo yataongezea chachu ktk mahusiano/ndoa zao, ila kwa upande wa wanaume hili ni nadra sana kulikuta, zaidi ya "achana naye" au "tafuta mchepuko" "mpuuze" je kweli hii ndio suluhisho pekee kwenu? Na wengine huenda mbali na kuona kuwa kuoa ni hisani tu kwa mwanamke!!

Na kadri muda unavyozidi kwenda ndio bala zaidi linaongezeka, mahusiano/ndoa walaaa hayana uzito tena, hivyo kupelekea hata kizazi tunachokitengeneza tunakilaumu wakati sisi ndio tumesababisha kiwe hivyo.Familia ndio base ya kila kitu, pakiharibika hapo basi hatutokuwa na jamii,taifa na dunia salama.

Play yo part men, hizi lawama ni zetu wote.

Karibuni kwa maoni na mafunzo zaidi ili tuweze kuwa na mahusiano yaliyo imara.

#peace#

Niseme nini mieee naona umemaliza ni mwenye sikio na asikie,
 
atoto nimezungumza kwa mtazamo huo ili kuweka mada katika mzani sawa,maana ulianza kwa kutoa lawama kwa wanaume,..katika nani anayeshauri ndoa au mahusiano kuvunjwa jaribu kuangalia mada za nyuma za watu wa jinsia tofauti wenye kuhitaji ushauri halafu hesabu michango ya watu na jinsia zao kisha utanipa jibu,kama huamini tafuta mada yoyote twende huko tukahesabu michango yao halafu turudi katika hilo.....

Mmmh!! Hivi unajua mpaka nimeanzisha mada hii sijakurupuka!! Nishasoma sana mada za humu,za both female n males, na kwa kiasi kikubwa sana nimeliona hili nililoliongelea, na hakuna kitu mnatetea kama michepuko kama suluhisho la matatizo yenu yote kwenye ndoa hata lile dogo tu la kutumia akili ndogo tu.

Kama wanawake wanafikia kuongea hayo ni kwakuwa ndio wahanga sana ktk hili, so ni kama wameshajikatia tamaa maana wanaume hawathamini uwepo wao kwa kiasi kikubwa, kila lawama ni kwa wanawake tu. Jamani na sisi ni binadamu tunachoka!
 
Last edited by a moderator:
Basi sista atoto tuacha maana kweli hatutafikia muafaka, kama huamini kwamba haya yote yanatokana na wrong choices mnazofanya basi mjadala hautaisha.

Uwezi kuchagua garasa ukategemea iwe turufu. Sawa sikatai wapo wanaume wanaochunguza mapungufu yetu, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa nyie wenyewe ndo mnachagua hao wanaume wa kuchunguza mapungufu yenu. So jilaumu mwenyewe.

Unapouliza 'Sasa kwanini uliamua kuingia nami ndoani? Unaoa ili iweje? Hii ndio akili eti?' nitakujibu ndio ni akili kwa mhusika, maana kuna sababu lukuki za kuingia ndoani.

Kwahiyo nyie huwa mnabeba tuuu atakayekuja mbele yako, it daznt mata anafaa au hafai??
 
Last edited by a moderator:
Huo ndo wenyewe hasa, ukiufuata haya malalamiko utabaki kuyasikia kwa wenzako tu, mdokezee na sista yangu atoto kama ulimpita pembeni.

BTW did you know watu wanaingia kwenye ndoa kwa sababu mbali mbali? hapa ni katika kujibu ulivyosema "Kwa hiyo mimi kama nikikosea choice nikakuchagua wewe, basi jua na wewe umefanya wrong choice ndo maana ukaishia kwangu. Miss right wako umemuacha hukooo". So mwisho wa ndoa ya namna hii ni kuachana coz there is no compartibility at all.
Teh me sina utani, naplay part yangu kwa sababu Sitaki nije nimlaumu mtu mwingine while I had a chance to make my own choice.

Hiyo last paragraph nimewagusa nyie wanaume ambao mnaona sisi tu ndo tunatakiwa tumake right choices. Kama wewe umemake right choices how comes umeishia kwangu mimi niliyefanya wrong choice. That was my point.

Najua watu wanaingia kwenye ndoa kwa sababu mbalimbali. Kuna watu wanaingia kwa fashion, wengine kutoa gundu, wengine kuangalia tu mikato ya chumba, wengine wanaoa/ kuolewa ili wapate mteremko wa hela ( wana maslahi na ndoa). Wengine wanaingia ndoani kwa sababu ya Mapenzi tu na wengine kwa ajili ya familia etc. Kwa hiyo lazima ufanye right choices ili umuepuke mtu anayeingia ndoani kwa motives zake binafsi
 
Last edited by a moderator:
Sista exceptions haziwezi kukosekana ktk maisha. Ila ukweli unabaki wazi wengi wao walipata wenza sahihi. Ofcourse sisemi kuwa turudi kwenye enzi za kuchaguliana wenza. Nachojaribu kusema ni kwamba tumieni uhuru huo kuchagua husband material. Ukipata mume wa maana mbona migogoro inajadilika vizuri tu na ndoa inasonga mbele.

We mwenyewe hapa jukwaani pamoja na kuwa anonymous unaona variety ya wanaume. Wapo wanaume hewa kibao, so ukijipachika kwa huyo hewa what do you expect my sister??!! ndo majanga plus plus daily
mito usiseme walipata wenza sahihi, hili nitalipinga haswaaa, walikubaliana tu na hali halisi maana there was no way out, wachache ndio walibahatika, lkn atleast pamoja na hayo both wanawake na wanaume walifunzwa vyema wajibu wao ktk ndoa na familia hii ilisaidia sana ktk kujenga familia zao, sasa leo baba au mama wote ni garasa na watoto wako wanashuhudia, utamfundisha nni mwanao akuelewe?? Alafu mfano upi sasa aufuate?
 
Last edited by a moderator:
Teh makofi hayatoshi bana, weekend unipeleke kokote nikale bata teh

Naamini kwa hili somo la leo wametuelewa vizuri sana tu. Hata wasipoadmit hapa, kimoyomoyo watakuwa wanakubaliana na Sisi. Tuzidi tu kuwaombea hawa wanaume

mweeeehkazi hutaki ila kula bata unataka, we mtoto wewe!!

Inabidi tuombeane, sio sisi tuuu ndio tuwaombee, na kwa hili wanawake tunajitahidi jamani acha tujisifie.
 
mweeeehkazi hutaki ila kula bata unataka, we mtoto wewe!!

Inabidi tuombeane, sio sisi tuuu ndio tuwaombee, na kwa hili wanawake tunajitahidi jamani acha tujisifie.
Eeh bata lazima, kazi hiari hahhah. Eeh kwenye ukweli lazima tuseme "tunajitahidi sana kuwaombea", japo no wajibu wetu lakini kwa jinsi wanavyotukatisha tamaa, tungekuwa tumeacha. Ila tupo nao tu
 
Back
Top Bottom