Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,558
Hahahha sasa mbona una utani na msanii nanhiii, maana ndo style zake za uchezaji hizo
Hahahaaaaa!! Umenikumbusha mbali aisee, yaani mie hiyo styl yao siielewagi hata kidogo.
Hahahha sasa mbona una utani na msanii nanhiii, maana ndo style zake za uchezaji hizo
Muda tu..Yeah..tutaandaa kadocumentary
Teh nikumbushe basi na mimi hicho ulichokikumbuka. Nilikuwa nacheka hataree kipindi kileHahahaaaaa!! Umenikumbusha mbali aisee, yaani mie hiyo styl yao siielewagi hata kidogo.
Yule Chiba hafai hata kidogo..Ntamtafuta demu wake nifanye nae mahojiano
Teh eti mbona kuna Madai kuwa Viuno vya stejini na kwingineko ni tofauti?[emoji87] [emoji85] [emoji86]
Teh nikumbushe basi na mimi hicho ulichokikumbuka. Nilikuwa nacheka hataree kipindi kile
Teh eti mbona kuna Madai kuwa Viuno vya stejini na kwingineko ni tofauti?[emoji87] [emoji85] [emoji86]
Teh teh hamna daddy, atoto ndo aliwahi kuniambia. Sasa sijui kama ni kweli or notTeh teh..Douta na we itabidi nikuhoji..inaonekana kuna unalolijua
Naona kabisaa dalili za wewe kurudi mwenyewe, nahisi nitabaki.
Labda utoroke..Habaki mtu
Kama huyo alikwambia basi sawa..Mana hata ye anajua kuzungusha sana stejini ila kwa bedi hamna kitu
Weeee uliniona kwenye steji gani??
Kwani kuna ulazima gani wa kurudi wote?
Teh teh..maeneo yako yale ya kujidai..Leo uko wapi??
Ukibaki alone hakuna wa kukulinda
Niko nyumbani
Nitajilinda bwana.
Nyumbani wafanya nn..Jiandae tukamalizie wikend
Nope...
We nenda tu mie soooo tired with home chores, hv been veeery busy since morn.
Teh teh teh, mie ni mlinzi bora sana
Kumbe unaweza kujilinda..Nwei ngoja nikupunguzie mzigo..We dili na external affairs..internal affairs ntalinda mm