Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,034
Hiyo ilijipost bwana
Na inanoga we acha tu, something new everyday.
Ofcoz..sio yale ya kujiandaa kama unafanya necta
Hiyo ilijipost bwana
Na inanoga we acha tu, something new everyday.
Ofcoz..sio yale ya kujiandaa kama unafanya necta
Hulali jamani!! Au ndio break time?
muishi nanyi kwa "akili" =mchinja Kobe inaitaji tyming,..akitoa kichwa tu unae.Coz mwanamke anaweza kukubadilikia wakati wowote ucshangae.
Namuangalia kayumba kwanza lol
Maandiko yaliagiza tuishi nao kwa akili, na sio tuishi nao kwa nguvu ya pesa...
cc
Na hiyo akili ndio uitumie kusaka pesa, hamtokula mapenzi ati.
What do you think?
I am not thinking, I am just asking
It's not easy to let go of someone you had a long term relationship with.... Whether you were married (as In had a wedding?? ) or not.
Ikifika point njia zote za kutengeneza amani nyumbani zinagoma na furaha yako maishani inakuwa ya kuhesabu it's very easy to let go.
My aunt left her abusive husband and became a single mother of two kids under 10. Dada yake aliyekomalia ndoa "for the sake of kids" na kushika dini, wakikutana ni kumlilia jinsi anamtamania ujasiri wake na maisha yake. Aunt kakuza watoto kaja kuolewa na mwanaume mwingine uzeeni. Hopefully she is happy.
Moral:You have no reason to stay in an unhappy marriage. It's very easy to get out of a shitty relationship and regain happiness.
Mmh haya bana, mpaka sista atoto amelike mi sina cha kujadili tena aisee
Teh teh!!! Kwani shughuli yangu ndogo?
Akyanani khaaaa!!!