Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,595
- 2,069
Nasikia Tanga warembo wanakuwekea kwenye kisosi cha kikombe zisiumie ukitoka bafuni huku unapakwa mafuta. Inawezekana huwa hawazioshi vizuri.
Sasa mchafu hasaidiki? Leta ushauri badala ya ku condemn
teh teh teh unahisi atakuwa si riziki?Unamaanisha za kwako hazitakati au za wanaume wote? Kama ni za wanaume wote hapo sidhani kama upo sahihi. Ulijuaje kuwa za wanaume wote hazitakati????
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Huo ni ugonjwa, jaribu kutumia sabuni ya Unga na brush ya kuchania nywele. Uo uchafu utaisha kabisa.
unachokitafuta utakipata. Ngozi ya pumbu haitakiwi kusuguliwa kama unasugua gaga, shauri yako.
Watu mna majibu jamniStil waya
Mbavu zangu mimiWe bado kajamaa kadogo kua kwanza tupu mbu twako bado tudogo waachie wakubwa wajadili
jamaniiLabda mumeo aisee. Mpeleke hospitali
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Chukua asali changanya na unga wa tangawisi unapakaa inaicha masa kadhaa hayo magamba yote yatatokaKwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?