Nasumbuliwa sana na issue ya kuwashwa kwenye Korodani

Sep 6, 2014
9
0
Wakuu naombeni msaada kwenye tuta hapa. Nasumbuliwa sana na issue ya kuwashwa kwenye Korodani na halii hii hutokea ninapokuwa nimekaa mahali muda mrefu, nikiinuka tu naanza kusikia kuwashwa na huwa natamani kukaa kama kitandani hivi kisha nivue nguo zote nijikune sana.

Huwa najikuna sana mpaka sometimes nachubuka (nadhani kutokana na ulaini wa ngozi ya korodani). Hali hii nimekaa nayo kwa muda mrefu sana na ukweli ni kwamba nikiwashwa namna hiyo nikijikuna nasikia raha sana. Ila sasa naona ni tatizo maana najificha ficha sana mpenzi wangu asinione nikiwa najikuna kila saa akahisi nina tatizo.

Halii hii nilidhani labda inatokana na uchafu lakini hata siku ninazoshinda nyumbani naoga mpaka mara 3 kwa siku lakini bado. Nikaamua sasahvi huwa napasi boxer kabla sijaivaa na sikai na boxer moja masaa 24, yaani nabadilisha boxer mara 2 kwa siku lakini bado.

Nikiwa na nywele ndefu nawashwa lakini hata nikiwa na nywele fupi pia bado kuna washa tu. Wakati nasoma Advance niliona watu wengi wakiwa wanajikuna korodani sana nikajua ni hali ya kawaida kwa wanaume ila sasa naona kama imekuwa sugu kwangu. MSAADA TAFADHALI NITAADHIRIKA NDUGU YENU.
 
Kachome dawa ya mzio kwanza.....upunguze kuwashwa au meza vidoge prednisolone tabs for 5 days.... Then muone daktari karibu yako akuone kama ni fungal infection au bacterial infection.... Atakutibu
 
Wakuu naombeni msaada kwenye tuta hapa. Nasumbuliwa sana na issue ya kuwashwa kwenye Korodani na halii hii hutokea ninapokuwa nimekaa mahali muda mrefu, nikiinuka tu naanza kusikia kuwashwa na huwa natamani kukaa kama kitandani hivi kisha nivue nguo zote nijikune sana.

Huwa najikuna sana mpaka sometimes nachubuka (nadhani kutokana na ulaini wa ngozi ya korodani). Hali hii nimekaa nayo kwa muda mrefu sana na ukweli ni kwamba nikiwashwa namna hiyo nikijikuna nasikia raha sana. Ila sasa naona ni tatizo maana najificha ficha sana mpenzi wangu asinione nikiwa najikuna kila saa akahisi nina tatizo.

Halii hii nilidhani labda inatokana na uchafu lakini hata siku ninazoshinda nyumbani naoga mpaka mara 3 kwa siku lakini bado. Nikaamua sasahvi huwa napasi boxer kabla sijaivaa na sikai na boxer moja masaa 24, yaani nabadilisha boxer mara 2 kwa siku lakini bado.

Nikiwa na nywele ndefu nawashwa lakini hata nikiwa na nywele fupi pia bado kuna washa tu. Wakati nasoma Advance niliona watu wengi wakiwa wanajikuna korodani sana nikajua ni hali ya kawaida kwa wanaume ila sasa naona kama imekuwa sugu kwangu. MSAADA TAFADHALI NITAADHIRIKA NDUGU YENU.
Tatizo lako limekwisha.

Dr. Kizumango mtabibu wa asilia wa njia mbadala wa magonjwa sugu ya binadamu. Napatikana Action herbs clinic iliyoko manzese mkunguni Dar.

Naweza kukusaidia nina product inaitwa AZIRUM SYRUP ni dawa mchanganyiko unaofanya maajabu makubwa na haraka kwa maradhi sugu ya fangasi aina zote, chunusi, upele, mba, mapunye, U.T.I, na allergic reaction kwani dawa hiii hutibu ndani (damu) na chanzo cha tatizo na huboresha mfumo wa tissues ba cell.

NDANI YA WIKI @3 HUMALIZA TATIZO NA KUTOJIRUDIA RUDIA TENA.

USHARI: kunywa maji mengi atlist 3litre per day.

Tuwasiliane +255684765575
 
Hizo boxer zako zote usivae tena, yaani usivae hata baada ya kuzipiga pasi. Ziweke kando. Nunua mpya ila kabla ya kuvaa boxer mpya, tafuta detor ya maji na protex ile nyeupe.

Kama kawaida oga halafu chukua maji ya uvunguvugu au ya moto kidogo tia kizibo kimoja cha detol kisha jioshe eneo lote hilo mapajani, shina la uume na hayo makengele yako yalowe kisawa sawa. Kisha usikaushe uache papigwe na upepo maji ya dawa yakaukie hapo hapo. Kisha vaa nguo yako bila boxer.

Fanya hivi hadi hiyo hali ya kuwasha ikate ndipo uanze kuvaa boxer zako mpya. Nakusisitiza, usije ukavaa tena hizo boxer za sasa hata iweje, zitupe zichome moto. Then utakuja kunambia hapa kama utaona tena hiyo hali.
 
Hiyo ni fungus aina Candider nenda hospital tu watakupa dawa ya kumeza na tubu ya kupaka yanaisha ila unaweza pona wewe mkeo akakuambukiza tena so be careful ikiwezekana na mkeo anywe dawa
 
Hizo boxer zako zote usivae tena, yaani usivae hata baada ya kuzipiga pasi. Ziweke kando. Nunua mpya ila kabla ya kuvaa boxer mpya, tafuta detor ya maji na protex ile nyeupe.

Kama kawaida oga halafu chukua maji ya uvunguvugu au ya moto kidogo tia kizibo kimoja cha detol kisha jioshe eneo lote hilo mapajani, shina la uume na hayo makengele yako yalowe kisawa sawa. Kisha usikaushe uache papigwe na upepo maji ya dawa yakaukie hapo hapo. Kisha vaa nguo yako bila boxer.

Fanya hivi hadi hiyo hali ya kuwasha ikate ndipo uanze kuvaa boxer zako mpya. Nakusisitiza, usije ukavaa tena hizo boxer za sasa hata iweje, zitupe zichome moto. Then utakuja kunambia hapa kama utaona tena hiyo hali.
Sasa nisivae boxer hata kazini mzee?
 
Wakuu naombeni msaada kwenye tuta hapa. Nasumbuliwa sana na issue ya kuwashwa kwenye Korodani na halii hii hutokea ninapokuwa nimekaa mahali muda mrefu, nikiinuka tu naanza kusikia kuwashwa na huwa natamani kukaa kama kitandani hivi kisha nivue nguo zote nijikune sana.

Huwa najikuna sana mpaka sometimes nachubuka (nadhani kutokana na ulaini wa ngozi ya korodani). Hali hii nimekaa nayo kwa muda mrefu sana na ukweli ni kwamba nikiwashwa namna hiyo nikijikuna nasikia raha sana. Ila sasa naona ni tatizo maana najificha ficha sana mpenzi wangu asinione nikiwa najikuna kila saa akahisi nina tatizo.

Halii hii nilidhani labda inatokana na uchafu lakini hata siku ninazoshinda nyumbani naoga mpaka mara 3 kwa siku lakini bado. Nikaamua sasahvi huwa napasi boxer kabla sijaivaa na sikai na boxer moja masaa 24, yaani nabadilisha boxer mara 2 kwa siku lakini bado.

Nikiwa na nywele ndefu nawashwa lakini hata nikiwa na nywele fupi pia bado kuna washa tu. Wakati nasoma Advance niliona watu wengi wakiwa wanajikuna korodani sana nikajua ni hali ya kawaida kwa wanaume ila sasa naona kama imekuwa sugu kwangu. MSAADA TAFADHALI NITAADHIRIKA NDUGU YENU.
Nenda hospitali omba kuonanan na mtaalamu wa ngozi.Tumesema hospitali ya wilaya au mkoani.Ukiweza nenda rufaa kanda
 
Back
Top Bottom