Unatakiwa kutumia nini...dodoki?
Huo ni ugonjwa, jaribu kutumia sabuni ya Unga na brush ya kuchania nywele. Uo uchafu utaisha kabisa.Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Huo ni ugonjwa, jaribu kutumia sabuni ya Unga na brush ya kuchania nywele. Uo uchafu utaisha kabisa.
Una transmitted sexual deases (STD) ww kamuone drKwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Hapo itakuwa huwa anavaa boxer mbichi.. Huo ni ugonjwa wa ngozi, na tiba yake tumia boxer kavuuu pamoja na poda .. Itaondoka yenyew tuuuSawa
Ha ha ha haUmechunguza korodani za wanaume wangapi!! Au fangasi zako tu zinakutesa?