K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 2,260
- 7,207
Hapo umepuyangaEPL hajafungwa uwanja wa nyumbani kwa misimu minne kati ya mitano
Kwenye epl msimu wa 2020/21
Liverpool 0 - 1 Fulham, ilikuwa 7/3/2021
Liverpool 0 -1 Chelsea , ilikuwa 4/3/2021
Hapo umepuyangaEPL hajafungwa uwanja wa nyumbani kwa misimu minne kati ya mitano
Mkuu hii tuzo wanaangalia epl tu ...Nafikiri hili ni jibu tosha kwa mleta mada, ukijaribu kulinganisha kazi ya kllop na pep kwa msimu Pep kaachwa mbali licha ya kwamba klopp hajabeba ligi(ambayo hata lenyewe kalikosa kwa tofauti ya piont), Head to head kati ya kllop na Pep inambeba kllop, kucheza FA bila kupoteza mchezo mpaka anachukua kombe, kufika fainal UEFA.
JAMANI yote hayo juu bado unaona kama klopp kapendelewa?? Yani PEP kuchukua EPL tena kwa tofauti ya point ndo kumfanye awe bora?? Kwanza namna tu ambavyo PEP aliihandle ile nusu fainali yake na Madrid ukikuwa ni kufeli kwa hali ya juu, maana walitoka kwa uzembe wa kocha na sio team.
Mkuu hii tuzo wanaangalia epl tu ...
Narudia Tena wanaangalia performance kwa epl pekee yake ...
Uefa watatoka tuzo yao kama klopp akichukua uefa ....
Usilete mambo ya uefa kwenye PL ...
Pep kafeli uefa na hawezi pata tuzo yeyote lakin epl kampiga chin klopp na hio tuzo aliyochukua klopp ni ya pep kabisa ....
Note; hio tuzo hawaangalii fa ,carabao Wala uefa ....wanaangalia PL pekee ....
Wee nae ni mwana michezo?Kwanza kombe la FA ndio kombe la pili kwa thamani duniani baada ya world cup.
Pili klopp anatumia hela kidogo kuliko pep.
misimu minne kati ya mitano... naona una puyanga zaidi...Hapo umepuyanga
Kwenye epl msimu wa 2020/21
Liverpool 0 - 1 Fulham, ilikuwa 7/3/2021
Liverpool 0 -1 Chelsea , ilikuwa 4/3/2021
UEFA CHAMPIONS LEAGUE dola elfu kumi na tano?Hii hapa list ya Makombe ya kandanda most expensive Duniani.
10. English Premier League trophy – $10,000
9. UEFA Champions League – $15,000
8. Bundesliga Meisterschale – $57,102
7. Serie A trophy – $66,000
6. Africa Cup of Nations trophy – $150,000
5. Ballon d’Or trophy
4. The FA Cup trophy – $1,180,000
3. UEFA Europa League trophy – $4.5 million
2. Copa Libertadores trophy – $8.5 million
1. FIFA World Cup trophy – $20,000,000
Source: 247NEWS
Duuuu fake fake fake fakeHii hapa list ya Makombe ya kandanda most expensive Duniani.
10. English Premier League trophy – $10,000
9. UEFA Champions League – $15,000
8. Bundesliga Meisterschale – $57,102
7. Serie A trophy – $66,000
6. Africa Cup of Nations trophy – $150,000
5. Ballon d’Or trophy
4. The FA Cup trophy – $1,180,000
3. UEFA Europa League trophy – $4.5 million
2. Copa Libertadores trophy – $8.5 million
1. FIFA World Cup trophy – $20,000,000
Source: 247NEWS
Issue ni kuwa kawin PLUnaweza kusema hivyo lakini tukiangalia overall perfomance ya hao makocha wawili hata wewe ukiweka ushabiki pembeni utagundua kwamba Klopp anahitaji kupongezwa kwa aina ya kikosi alichokuwa nacho na budget yake ikilinganishwa na city.
Sasa hata hapo Epl pep kamzidi kipi Klopp? Maana hata huo ubingwa ulikuwa ni wa kupimuliana mpaka dakika za mwisho, head to head kati ya klopp na Pep kwenye ligi zimekaaje?
Hii list inaonyesha thamani ya makombe sio kiasi anachovuta bingwa. Bingwa wa UEFA ndiye anayevuta mkunjwa mrefu zaidi.Hii hapa list ya Makombe ya kandanda most expensive Duniani.
10. English Premier League trophy – $10,000
9. UEFA Champions League – $15,000
8. Bundesliga Meisterschale – $57,102
7. Serie A trophy – $66,000
6. Africa Cup of Nations trophy – $150,000
5. Ballon d’Or trophy
4. The FA Cup trophy – $1,180,000
3. UEFA Europa League trophy – $4.5 million
2. Copa Libertadores trophy – $8.5 million
1. FIFA World Cup trophy – $20,000,000
Source: 247NEWS
Hajafungwa Anflied uwe unatuliza kichwaHapo umepuyanga
Kwenye epl msimu wa 2020/21
Liverpool 0 - 1 Fulham, ilikuwa 7/3/2021
Liverpool 0 -1 Chelsea , ilikuwa 4/3/2021
Kwadata hiz nakubal asee gulopu kocha
Thibitisha unachosema sio porojoMkuu hii tuzo wanaangalia epl tu ...
Narudia Tena wanaangalia performance kwa epl pekee yake ...
Uefa watatoka tuzo yao kama klopp akichukua uefa ....
Usilete mambo ya uefa kwenye PL ...
Pep kafeli uefa na hawezi pata tuzo yeyote lakin epl kampiga chin klopp na hio tuzo aliyochukua klopp ni ya pep kabisa ....
Note; hio tuzo hawaangalii fa ,carabao Wala uefa ....wanaangalia PL pekee ....
Kama huoni uhalali wa klopp kupewa tuzo eti kwakua tu pep kachukua tena kwa tofauti ya point moja, basi hata zile tuzo za kocha bora wa mwenzi angepewa yeye zote kwakua alikuwa at the top😂. Wenzako hawaanalyse ubora wa kocha kizembe hivyo.Issue ni kuwa kawin PL
Kwenye football always the first is the first waliobaki wote ni loser ....hii haijalishi ni namna gani mwenzio kachukua ubingwa ....
Ndio maana katika historia ya vitabu msimu wa 2021/2022 city ndio ataongelewa kama bingwa na sio liverpool, Liverpool ni loser na habari zake zimeishia pale that is football ...!
Ni kama uefa ,hata kama umefika final kama hujachukua Hilo kombe wewe ni loser tu ,haijalishi ulimiliki mchezo ,umekosa penalty ,umegonga mwamba mara kumi ,issue ni kuwa kama hujachukua kombe habari yako imeishia hapo na habari ya mjini itakuwa kwa yule aliyeshinda ....
Ukija H2H ya pep na klop msimu huu ni
Liverpool Vs man city (2-2)
Man city Vs Liverpool (2-2)
Yaani kifootball hiyo tuzo ni ya pep ,ila wameamua kumpoza klopp tu .....
Mkuu Soma maandishi yangu vzuri ...Kama huoni uhalali wa klopp kupewa tuzo eti kwakua tu pep kachukua tena kwa tofauti ya point moja, basi hata zile tuzo za kocha bora wa mwenzi angepewa yeye zote kwakua alikuwa at the top. Wenzako hawaanalyse ubora wa kocha kizembe hivyo.
Pep hafati kwa klopp ikiwa utawatazama kimafanikio katika msimu huu, najua wewe ni kinda wa city lakini huu ndo ukweli.
Ikiwa klopp utamuita loser kwenye UEFA pamoja na kufika final, pep utamuitaje kwa jinsi alivyopoteza nusu fainali ambayo ilikuwa mkononi mwake mpaka dakika ya 80?
Angalia performance yao katika mashindano yote ambayo walishiriki kwa pamoja (namaanisha yote) kisha urudi kumdharau klopp tena.
Angepewa pep au klopp kama hivi bado hakuna sababu ya malalamishi, wamefanya vikubwa kwa pamoja msimu huu.
Hivi mkuu huoni hata jina " premium league manager of the season "Thibitisha unachosema sio porojo