Kwanini Klopp anapewa Kocha bora wa ligi ikiwa wao sio mabingwa?

Issue ni kuwa kawin PL

Kwenye football always the first is the first waliobaki wote ni loser ....hii haijalishi ni namna gani mwenzio kachukua ubingwa ....

Ndio maana katika historia ya vitabu msimu wa 2021/2022 city ndio ataongelewa kama bingwa na sio liverpool, Liverpool ni loser na habari zake zimeishia pale that is football ...!

Ni kama uefa ,hata kama umefika final kama hujachukua Hilo kombe wewe ni loser tu ,haijalishi ulimiliki mchezo ,umekosa penalty ,umegonga mwamba mara kumi ,issue ni kuwa kama hujachukua kombe habari yako imeishia hapo na habari ya mjini itakuwa kwa yule aliyeshinda ....

Ukija H2H ya pep na klop msimu huu ni

Liverpool Vs man city (2-2)

Man city Vs Liverpool (2-2)

Yaani kifootball hiyo tuzo ni ya pep ,ila wameamua kumpoza klopp tu .....
Swali dogo,

1.Kwanini kdb kapewa tuzo mbele ya salah?

Ukisema kwasababu kdb kachukuwa kombe, Basi ujibu swali la pili

2.msimu wa 2019/2020 Liverpool alichukuwa epl lakini tuzo ya mchezaji bora akapewa kdb ambae alikuwa hana epl. Kwanini?
 
Acheni wenge Klopp kashinda tuzo ya Manager of the year in England sio kocha bora wa EPL tu. Sasa mafanikio ya Klopp na PEP kwa msimu huu nani yupo juu. Angalieni maana ya hiyo tuzo hapo
JamiiForums-1606411859.jpg
Screenshot_2022-05-27-19-10-48.jpg
 
Unaposema hamuangalii ubora wa kocha kwa kuangalia mzunguko wa pili unamaanisha wewe na Nani? Basi mpeni Pep Kama itawapendeza
Hatuangalii ubora wa kocha kwa kuangalia sijui mzunguko wa pili ...sijui alikuwa kamuacha point 14 kamfikia ...wakati anaachwa point 14 mbona hujampa credit zake ,unampa credit aliyemfikia...unajua hio tuzo ni ya pep klopp katafutiwa kama huruma tu Baada ya kushindwa Battle .....

Mbona vitu vinaonekana wazi
 
Liverkuku bhana yale madela yenu mloshonesha kwa ajiri ya kusherekea ubingwa wa epl sijui mmeyatupia wapi!

Mna maneno mengi kama chiriku.

Mara quadruple mara imagine being liverkuku.

Bado kesho madrid lazima akusukumie kitu kunako.
 
Mkuu Soma maandishi yangu vzuri ...

Pep ni loser uefa mwaka Jana ndio maana habari za man city ziliishia pale na Chelsea alikuwa talk of the town ,....

Kloop ni loser kwenye PL na talk of the town ni man city ,hii Haina ubishi ..kwenye league always the first is the first wengine wote ni loser tu ...

Kloop ni loser kwenye uefa 2019 ndio maana baada ya ile game madrid ndio ikawa habari ya mjini ....

Usianze kuleta huruma kwenye football kama ukishindwa unakaa pembeni na winner ndio anaongelewa that is football ....hakuna mtu atakayepoteza muda kufuatilia et ulikuwa unakaribia kuchukua kombe ,sijui kwa point 1 au GD kiufupi wewe ishakuwa loser kaa pembeni

Harafu ukiaanza kuleta debate ya pep Vs klopp basi unajidhalilisha mkuu....

Pep ni level nyingine kabisa ,kwa kila kitu ....

Hiyo uefa unayoisema pep kashaandika historia kitambo ....

Kloop kachukua hiyo uefa akiwa Liverpool mbele ya Spurs 2019 ,kitu ambacho pep kashafanya kitambo wakati klopp Bado anahangaika na Mainz huko Germany ....
Hujui mpira, kaa kimya unajidhalilisha. Mbona tuzo bora za kocha wa mwez huwa hapewi tu yule anayeongoza ligi? Kuchukua kombe kunapimwa kt angle nying, wachezaji, coach, gharama ya kikos, miuondombinu ya timu, financial stability ya timu n.k. ikitokea fulham anakuwa nafas ya 3 kt msimamo kocha wake anakuw considered zaid kuwa kocha bora kuliko kocha wa man u ambaye amechukua ubingwa, upo kazuramimba unawabishia wazungu waliosoma mpira kuanzia chekechea, wew huna hata kozi ya wiki moja ya mpira unapiga piga kelele hapa.
 
Naona hapa kuna tofauti kimtizamo na pia kuna mapenzi ya team

Pia ningependa kuwakumbusha kuna Tuzo ambazo hutolewa kwa kuangalia only single factor kama
1.Ufungaji bora once you score more goals than others automatically unakua unapewa tuzo ya mfungaji bora
2.Goalkeeper bora once una clean sheet nyingi unakua kipa bora haina mjadala

Ila kwenye Tuzo za kocha bora na mchezaji bora ni ngumu sana kumpata kwa kutumia kigezo kimoja
Mfano msimu huu individual salah was far best compared to debrune
1.Salah was top scorer shared golden boot with Son
2.Salah was top assist and received best play maker in Epl but Debruyne was Epl best player of the season

Ukiangalia kwa undani reasons behind ya kumpa klopp ni the way alivyo close gap from 14 up to 1 was fantastic and on top of that klopp and Guardiola are the best managers and it was 50 / 50 decisions
 
ivi inakuwaje Jürgen Klopp anapewa tuzo ya Kocha bora wa ligi kuu EPL na hajatwaa ubingwa wa EPL?

Sababu hasa ni nini?
Maana kama ni kuwa pili ina kocha bingwa amezidiwa ubora pamoja kubeba kombe? au Makombe ya FA na Carabao yanahusiana nini na michuano ya ligi ya EPL?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kati ya KDB na Salah nani yupo juu kitakwimu? Nani amechukua uchezaji bora? Shida mnakuja na chuki kwa klopp mnadhan ulaya wanaangalia hivyo
 
Mkuu Soma maandishi yangu vzuri ...

Pep ni loser uefa mwaka Jana ndio maana habari za man city ziliishia pale na Chelsea alikuwa talk of the town ,....

Kloop ni loser kwenye PL na talk of the town ni man city ,hii Haina ubishi ..kwenye league always the first is the first wengine wote ni loser tu ...

Kloop ni loser kwenye uefa 2019 ndio maana baada ya ile game madrid ndio ikawa habari ya mjini ....

Usianze kuleta huruma kwenye football kama ukishindwa unakaa pembeni na winner ndio anaongelewa that is football ....hakuna mtu atakayepoteza muda kufuatilia et ulikuwa unakaribia kuchukua kombe ,sijui kwa point 1 au GD kiufupi wewe ishakuwa loser kaa pembeni

Harafu ukiaanza kuleta debate ya pep Vs klopp basi unajidhalilisha mkuu....

Pep ni level nyingine kabisa ,kwa kila kitu ....

Hiyo uefa unayoisema pep kashaandika historia kitambo ....

Kloop kachukua hiyo uefa akiwa Liverpool mbele ya Spurs 2019 ,kitu ambacho pep kashafanya kitambo wakati klopp Bado anahangaika na Mainz huko Germany ....
Ingekuwa tuzo inagawiwa hivyo basi tuzo zote kuanzia kipa bora na kila kitu wangekuwa wanapewa wachezaji wa timu iliyochukua kombe, kuchukua kombe pekee yake sio kigezo cha kuwa bora, Chelsea amewahi kuchukua UEFA huku akiwa nafas ya 6 EPL, form vs class
 
Liverkuku bhana yale madela yenu mloshonesha kwa ajiri ya kusherekea ubingwa wa epl sijui mmeyatupia wapi!

Mna maneno mengi kama chiriku.

Mara quadruple mara imagine being liverkuku.

Bado kesho madrid lazima akusukumie kitu kunako.
Liverpool ndo club yenye mafanikio zaid kt msimu huu kuliko club yoyote Duniani
 
ivi inakuwaje Jürgen Klopp anapewa tuzo ya Kocha bora wa ligi kuu EPL na hajatwaa ubingwa wa EPL?

Sababu hasa ni nini?
Maana kama ni kuwa pili ina kocha bingwa amezidiwa ubora pamoja kubeba kombe? au Makombe ya FA na Carabao yanahusiana nini na michuano ya ligi ya EPL?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Guardiola anaonewa wivu sana uingereza anafanya Magic he has revolutionized football game.
 
Back
Top Bottom