Kwanini Klopp anapewa Kocha bora wa ligi ikiwa wao sio mabingwa?

ina semekana ktika michuano ya UEFA, EPL, FA amepoteza michezo mitatu...

FA ameshinda zote na kombe juu

EPL hajafungwa uwanja wa nyumbani kwa misimu minne kati ya mitano ukijumlisha na wa sasa ulio isha, ina semekana. pia alikuwa mbioni kulibeba hili kombe na amepoteza mechi mbili tu msimu mzima

UEFA yupo fainal sina uhakika kama ameshinda mechi zote ila kama zipo alizo poteza haizidi moja au sifuri/zero...
Alifungwa moja tu na inter
 
Issue ni kuwa kawin PL

Kwenye football always the first is the first waliobaki wote ni loser ....hii haijalishi ni namna gani mwenzio kachukua ubingwa ....

Ndio maana katika historia ya vitabu msimu wa 2021/2022 city ndio ataongelewa kama bingwa na sio liverpool, Liverpool ni loser na habari zake zimeishia pale that is football ...!

Ni kama uefa ,hata kama umefika final kama hujachukua Hilo kombe wewe ni loser tu ,haijalishi ulimiliki mchezo ,umekosa penalty ,umegonga mwamba mara kumi ,issue ni kuwa kama hujachukua kombe habari yako imeishia hapo na habari ya mjini itakuwa kwa yule aliyeshinda ....

Ukija H2H ya pep na klop msimu huu ni

Liverpool Vs man city (2-2)

Man city Vs Liverpool (2-2)

Yaani kifootball hiyo tuzo ni ya pep ,ila wameamua kumpoza klopp tu .....
Kwenye FA pep katwangwa
 
ivi inakuwaje Jürgen Klopp anapewa tuzo ya Kocha bora wa ligi kuu EPL na hajatwaa ubingwa wa EPL?

Sababu hasa ni nini?
Maana kama ni kuwa pili ina kocha bingwa amezidiwa ubora pamoja kubeba kombe? au Makombe ya FA na Carabao yanahusiana nini na michuano ya ligi ya EPL?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nadhan wana sababu zao ambazo kwa maono yetu tunaweza kuziona si za kutoshea kumnyima Pep, lakin wakati tunashangaa hilo pia Kdb & Foden wamepata tuzo kabla ya Salah ambaye ukitazama kwa namba zinambeba zaid Salah
 
Pongezi kwa waliompa Klop kwa sababu ni kocha bora kuliko Pep.

Yule kipara hamna kocha mle. Akipewa timu yenye budget ndogo anaishusha daraja.
 
Pongezi kwa waliompa Klop kwa sababu ni kocha bora kuliko Pep.

Yule kipara hamna kocha mle. Akipewa timu yenye budget ndogo anaishusha daraja.
Mwambie klopp aende Burnley kama yeye hahitaji pesa kutengeneza kikosi
 
Hii ni tuzo ya PL mbona mnajaribu kutafuta maeno ya kujificha
Sababu zimetolewa hapo unachobisha nini went from 14 points behind mpaka 1 point tena imeamuliwa game ya mwisho, Unbeaten home whole season conceded fewer games on the league...... una chakuuliza kingine!!?
 
Unashinda makombe mawili kwa penati
Huna kombe la EPL
Unakuwaje kocha wa ligi kuu?
.
Basi La liga wampe Xavi kocha bora maana kaifikisha timu nafasi ya pili huku timu ikitumia vijana wengi tena wakiwa na hali mbaya ya kiuchumi na kutafuta vigezo ambavyo sio kubeba ubingwa katika michuano husika IMO

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Hiv ulivyoanzisha mada ulikuwa unataka kuelewa au ulikuwa umeanzisha kwa ajili ya kubishana
 
Mkuu hii tuzo wanaangalia epl tu ...


Narudia Tena wanaangalia performance kwa epl pekee yake ...


Uefa watatoka tuzo yao kama klopp akichukua uefa ....


Usilete mambo ya uefa kwenye PL ...


Pep kafeli uefa na hawezi pata tuzo yeyote lakin epl kampiga chin klopp na hio tuzo aliyochukua klopp ni ya pep kabisa ....

Note; hio tuzo hawaangalii fa ,carabao Wala uefa ....wanaangalia PL pekee ....

Sioni sehemu ambayo unasema pep kampiga klopp kwenye hii tuzo
 
🐒

images - 2022-05-26T222216.619.jpeg
 
Back
Top Bottom