Kwanini Klopp anapewa Kocha bora wa ligi ikiwa wao sio mabingwa?

Kwanza kombe la FA ndio kombe la pili kwa thamani duniani baada ya world cup.

Pili klopp anatumia hela kidogo kuliko pep.
Hans Flick alibeba makombe 6 msimu mmoja ila FIFA the Best ikaenda kwa Klopp for just winning the EPL.
.
Leo winning the EPL haitoshi kuwa factor ya kuwa kocha bora wa Michuano hio bali kocha bora ni aliyeshika nafasi ya pili?.... Serious?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ina semekana ktika michuano ya UEFA, EPL, FA amepoteza michezo mitatu...

FA ameshinda zote na kombe juu

EPL hajafungwa uwanja wa nyumbani kwa misimu minne kati ya mitano ukijumlisha na wa sasa ulio isha, ina semekana. pia alikuwa mbioni kulibeba hili kombe na amepoteza mechi mbili tu msimu mzima

UEFA yupo fainal sina uhakika kama ameshinda mechi zote ila kama zipo alizo poteza haizidi moja au sifuri/zero...
 
Leta hapa takwimu za man city na liverpool walipokutana msimu mzima katika mashindano yote ili tupate jibu la uhakika.
Wamempa kama sentiment tu na sababu he is charismatic
.
Ila Pep deserved more
.
Na hii sio mara ya kwanza
.
Hizi tuzo ni business projects sometimes tumeona hata some Ballon D'ors zikiamuliwa hivi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Leta hapa takwimu za man city na liverpool walipokutana msimu mzima katika mashindano yote ili tupate jibu la uhakika.
Mkuu Unatumiaje vigezo vya mashindano yote kutoa tuzo shindano moja Mjomba?
Na ikifika kutoa tuzo za hayo mashindano mengine utatumia kigezo gani?
.
Yani mtu best EPL coach kwa kubeba Carabao Cup na FA na kufika UEFA finals na hana kombe la EPL?
.
Eboh
.
Hapa tumepigwa wajomba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ivi inakuwaje Jürgen Klopp anapewa tuzo ya Kocha bora wa ligi kuu EPL na hajatwaa ubingwa wa EPL?

Sababu hasa ni nini?
Maana kama ni kuwa pili ina kocha bingwa amezidiwa ubora pamoja kubeba kombe? au Makombe ya FA na Carabao yanahusiana nini na michuano ya ligi ya EPL?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwanza jiulize huyo kocha bora anapatikanaje,

Kwa kuteuliwa ? Au ni kupigiwa kura?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ina semekana ktika michuano ya UEFA, EPL, FA amepoteza michezo mitatu...

FA ameshinda zote na kombe juu

EPL hajafungwa uwanja wa nyumbani kwa misimu minne kati ya mitano ukijumlisha na wa sasa ulio isha, ina semekana. pia alikuwa mbioni kulibeba hili kombe na amepoteza mechi mbili tu msimu mzima

UEFA yupo fainal sina uhakika kama ameshinda mechi zote ila kama zipo alizo poteza haizidi moja au sifuri/zero...
Nafikiri hili ni jibu tosha kwa mleta mada, ukijaribu kulinganisha kazi ya kllop na pep kwa msimu Pep kaachwa mbali licha ya kwamba klopp hajabeba ligi(ambayo hata lenyewe kalikosa kwa tofauti ya piont), Head to head kati ya kllop na Pep inambeba kllop, kucheza FA bila kupoteza mchezo mpaka anachukua kombe, kufika fainal UEFA.

JAMANI yote hayo juu bado unaona kama klopp kapendelewa?? Yani PEP kuchukua EPL tena kwa tofauti ya point ndo kumfanye awe bora?? Kwanza namna tu ambavyo PEP aliihandle ile nusu fainali yake na Madrid ukikuwa ni kufeli kwa hali ya juu, maana walitoka kwa uzembe wa kocha na sio team.
 
Taarifa Kutoka EPL.
Screenshot_20220525-223704.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kocha bora wa dunia ni klop

Kocha bora wa dunia wa wakati wote ni pep akiwa nakikosi Bora bila ya striker
 
ivi inakuwaje Jürgen Klopp anapewa tuzo ya Kocha bora wa ligi kuu EPL na hajatwaa ubingwa wa EPL?

Sababu hasa ni nini?
Maana kama ni kuwa pili ina kocha bingwa amezidiwa ubora pamoja kubeba kombe? au Makombe ya FA na Carabao yanahusiana nini na michuano ya ligi ya EPL?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nani aliyekukalilisha hadi uchukue epl ndo uwe kocha bora
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom