Kwanini Klopp anapewa Kocha bora wa ligi ikiwa wao sio mabingwa?

Aibu nimeona mimi
kwanini hukuona aibu foden kupewa tuzo mbele ya mount na saka wakati anazidiwa kila kitu!!!?
de bruyne mbele ya salah na stats zinamkataa!!?
NB: Uzuri tuzo zilitoka kabla ubingwa haujaamuliwa hivyo point ya ubingwa haina mashiko
 
KDB hakuchukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi ila amekuja kubeba mchezaji bora wa msimu kwanini sio SALAH au SON?
 
Sababu zimetolewa hapo unachobisha nini went from 14 points behind mpaka 1 point tena imeamuliwa game ya mwisho, Unbeaten home whole season conceded fewer games on the league...... una chakuuliza kingine!!?
Hilo gape la point 14 alilirithi kwa kocha mwingine au alilitengeneza mwenyewe?
 
Nani kanunuliwa kwa zaid ya £ 50m hapo? Nani analipwa zaid ya 300k kwa week? Haya nenda huko kwa wazee wa kuspend Grealish walitoa ngap, Yan kila mchezaji pep anayemtaka mmiliki anatoa hela.

Klop angepata mmiliki anayetoa hela Kama mmiliki wa man city pep asingemsogelea kimafanikio hata kwa mbali
Wale kina mane , Salah, fabinho, keita Diaz, Jota, konate?

Walikuzwa Liverpool
 
Hii hapa list ya Makombe ya kandanda most expensive Duniani.

10. English Premier League trophy – $10,000
9. UEFA Champions League – $15,000
8. Bundesliga Meisterschale – $57,102
7. Serie A trophy – $66,000
6. Africa Cup of Nations trophy – $150,000
5. Ballon d’Or trophy
4. The FA Cup trophy – $1,180,000
3. UEFA Europa League trophy – $4.5 million
2. Copa Libertadores trophy – $8.5 million
1. FIFA World Cup trophy – $20,000,000

Source: 247NEWS
Dola elfu kumi? Au sijasoma vizuri?
 
Tangu aiache dotmund imebeba ubingwa?
Kaulize Allison kachukuliwa kwa bei gani ...

VVD kachukuliwa kwa bei gani ....

Harafu unasema klopp hatumii pesa ,mbona mnakuwa weupe Sana vichwani ....

Kama klopp hatumii pesa aichukue Burnley ifike hata top four, vinginevyo tulieni
 
Sababu zimetolewa hapo unachobisha nini went from 14 points behind mpaka 1 point tena imeamuliwa game ya mwisho, Unbeaten home whole season conceded fewer games on the league...... una chakuuliza kingine!!?
Hivyo navyo ni vigezo vya kuwa manager of the season ?

Kuvuna hizo point mbona manager
wengi wamefanga hivyo

Unajua Newcastle ilikuwa wapi ...

Conte unajua kaitoa wapi Spurs ..
 
Hii ni tuzo ya PL mbona mnajaribu kutafuta maeno ya kujificha
Vigezo vyako vya uchochoroni havina nafasi, kaa Kwa kutulia na endelea kukumbatia hcho kikombe chako kimoja ulichokipata Kwa bahati na sibu
 
Vigezo vyako vya uchochoroni havina nafasi, kaa Kwa kutulia na endelea kukumbatia hcho kikombe chako kimoja ulichokipata Kwa bahati na sibu
itakuchukua miaka mingine 30 kuku mzinga wewe
jackgrealish-20220524-0001.jpg
 
Kaulize Allison kachukuliwa kwa bei gani ...

VVD kachukuliwa kwa bei gani ....

Harafu unasema klopp hatumii pesa ,mbona mnakuwa weupe Sana vichwani ....

Kama klopp hatumii pesa aichukue Burnley ifike hata top four, vinginevyo tulieni
anaifikisha
 
Wale kina mane , Salah, fabinho, keita Diaz, Jota, konate?

Walikuzwa Liverpool
Jumlisha wote hao pesa waliyonunuliwa , unapata karibu nusu ya pesa aliyonunuliwa grealish pekee.

Kwenye orodha ya team zilizotumia pesa nyingi kusajiri pep anaongoza na city yake, usiwe mbishi katafute takwimu hata za mwaka juzi pep bado anaongoza kwa pesa ndefu kutumia.
 
Pep ni level nyingine kabisa ,kwa kila kitu
emoji28.png
....

Hiyo uefa unayoisema pep kashaandika historia kitambo ....

Kloop kachukua hiyo uefa akiwa Liverpool mbele ya Spurs 2019 ,kitu ambacho pep kashafanya kitambo wakati klopp Bado anahangaika na
Tukienda kwa hisia za kishabiki kama hivi naona hatuwezi kufikia conclusion, ikiwa unaona Klopp halustahili kabisa kitambulika kama kocha bora naomba uweke vigezo vinavyotumika kumpata kocha bora wa msimu ili tuone.

Kwa mujibu wa maelezo yako kocha bora atatambuliwa kwa kuchukua PL tu na sio vinginevyo, thibitisha hapa.
 
Back
Top Bottom