Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Mkuu kazi ipo achana na huyo mbumbumbu

Wewe ni kiongozi kipofu wa vipofu wenzako ambao either ni ids zako nyingine jF au vipofu wenzako. Wewe na wenzako hamuwezi kuongozana zaidi ya kutumbukia kwenye shimo la kuzimu.

Wewe si mbumbumbu tu bali ni mbumbumbu mzungu wa railways tena hii ya mh JPM yaani SGR.


Na washawasha!
 
tatizo la watu wengi ni mareligious na sio spritual so kuna vitu hawataweza kuvijua maishani ! kuna biblia 6000 huku duniani .achana na hii moja ya mzungu aliyoiframe kwa manufaa yake hapa africa
Kweli kabisa, ' tatizo la watu wengi ni ma-religious na sio spiritual ' sentensi imebeba maantiki kubwa sana kwani kuna tofauti kubwa sana kati ya religiosity na spirituality na wanathioolojia wengi hasa wa kikristo wanaoliongoza kanisa Leo ni religious leaders instead of being spiritual fathers na hii inapofusha nguvu ya uweza wa maono ya ufunuo wa rohoni na kubaki na wakristo waliojengwa ktk misingi ya imani ya kuona ktk uhalisia.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu na kweli, hawa wanaoleta hizi stories hapa wana hidden agendas na mipango mikakati maalumu ya kuzitekeleza.

Kama mtu ana weza kuandika haya kuhusu kitabu cha Henoko lakini eti kashindwa kuona wakati ule Bwana Yesu anasulubiwa msalabani mmoja wa wale wawili waliosulibiwa naye alingia mbinguni kwa kumuomba Bwana Yesu palepale wakiwa wametundikwa, haikuhitaji nukuu ya Henoko wala Yashua ili ahakikishiwe huo wokovu wake.

Na Mungu kawapiga upofu na utahira wa kudhania kuwa kukosoa Biblia kutasaidia kuwarudisha nyuma wale ambao walishakata shauri kumpokea Yesu. Alishindwa Paulo wakati ule akitwa Sauli wataweza hawa wa kizazi cha makinikia?


Na washawasha!

Watu hawaelewi tu mkuu, shetani anawapa watu ubize kutafuta vitabu vilivyopungua na vilivyoongezeka, ilhali hivyo pungufu hawajavimaliza. Yesu atarudi akute watu wanatafuta vitabu vilivyopunguzwa hahaaa! we baki unatafuta kitabu cha Enoko, unaachwa hivihivi.
 
Ili kuweza kujibu swali lako lazma ujue ni Nani aliandika biblia hapa itakusaidia kujua Kama kulikua na self interest ama la, kwanini aliandika? Ni lini aliandika? Hii pia inasaidia kujua kitu flan mfano utawala ulopita kafulila alikua tumbili ila sasa anasifiwa mambo hubadilika na wakati,alimwandikia Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia hajiaandikwa...biblia ni mkusanyiko wa vitabu na nyaraka mbalimbali
 
Salam

Katika soma soma zangu na kutafuta ukweli na kumtafuta Mungu wa kweli nikagundua kuna vitabu viliondolewa kwenye biblia i.e non canonical books mfano ni book of Enoch na rest of Ester

Sababu zinazotolewa ni kwamba eti kina verses ambazo wao wanaamini hazikuongozwa na roho mtakatifu.

Nilichojifunza katika kitabu cha Enoch ni juu ya origin ya mtu mweupe (kina eleza Mungu aliumba mtu mweusi ila mtu mweupe alitokana na malaika wenye tamaa i.e fallen angels waliokuwa wakiwaingilia kimwili binadamu). Vile vile kinaeleza juu ya mpinga kristo na siku za mwisho.

Swali langu:
Nini kinachowafanya wajue kama ni hekima za binadamu ukilinganisha na vitabu vingine?

Ni kwanini kilitolewa ikiwa kama hekima za Enoch i.e great grandfather of Noah zilitambuliwa na kutajwa waziwazi na waandishi wa agano jipya mfano Jude?
naam bila shaka bado unaendelea kusoma soma, kwa ishu iyo ilete tena ikiwa evidence based mkuu! Huenda ikawa opinion au propaganda wengne wavivu kusoma soma pia!!!!!
 
Watu hawaelewi tu mkuu, shetani anawapa watu ubize kutafuta vitabu vilivyopungua na vilivyoongezeka, ilhali hivyo pungufu hawajavimaliza. Yesu atarudi akute watu wanatafuta vitabu vilivyopunguzwa hahaaa! we baki unatafuta kitabu cha Enoko, unaachwa hivihivi.
Mi nililetewa hadi sebuleni kitabu cha, Injili ya Barnaba.
Na nikasisitiziwa kuwa "hii ndiyo injili ya ukweli"
Nilichokikuta humo ndani sintokaa nisahau.

Ni utumbo mtupu.
 
kuhusu origin ya mtu mweupe na mweusi nadhani inabidi turudi kwenye origin ya ancestors wetu yaani adam na eva/hawa, na ninavyojua kwa jinsi nilivyo pita pita huku na kule ni kwamba huyu hawa au eva alikuwa ni mweusi na inasemekana alikuwa na Mdna(mitochondrial DNA) ambayo ikifanya mutation inatoa race aina zote duniani.

swali la kujiuliza wewe ni hili,
vipi kama Enoch pia alidanganya kutokana na self interest zake?.

na kama Enoch yupo sahihi kwanini walitoa hicho kitabu?

Na kitu kingine kwanini wewe unaamini kuwa Enoch yupo sasa unaendelea kusoma kitabu ambacho kipo modified kwa benefits za watu wachache?
 
Salam

Katika soma soma zangu na kutafuta ukweli na kumtafuta Mungu wa kweli nikagundua kuna vitabu viliondolewa kwenye biblia i.e non canonical books mfano ni book of Enoch na rest of Ester

Sababu zinazotolewa ni kwamba eti kina verses ambazo wao wanaamini hazikuongozwa na roho mtakatifu.

Nilichojifunza katika kitabu cha Enoch ni juu ya origin ya mtu mweupe (kina eleza Mungu aliumba mtu mweusi ila mtu mweupe alitokana na malaika wenye tamaa i.e fallen angels waliokuwa wakiwaingilia kimwili binadamu). Vile vile kinaeleza juu ya mpinga kristo na siku za mwisho.

Swali langu:
Nini kinachowafanya wajue kama ni hekima za binadamu ukilinganisha na vitabu vingine?

Ni kwanini kilitolewa ikiwa kama hekima za Enoch i.e great grandfather of Noah zilitambuliwa na kutajwa waziwazi na waandishi wa agano jipya mfano Jude?

Regarding your specific question on the book of Enoch, Dr. Gerhard Pfandl, from the Biblical Research Institute, lists the following reasons for why this pseudepigraphal book isn’t included in the biblical canon:

1. The last book of the Old Testament, Malachi, was written about 450 B.C. Enoch was written in the first century B.C. Jews believed that inspiration ceased with Malachi. They did not consider the book of Enoch inspired.

2. Christians, both Roman Catholics and Protestants, agree that the Old and New Testaments — all 66 books — are inspired by God. Additionally, the apostles recognized these books as inspired by the Holy Spirit (2 Peter 1:21 2 Timothy 3:16). All others, including the book of Enoch, were rejected as not having been inspired by the Holy Spirit.

3. The book of Enoch is not in harmony with the rest of Scripture. Here are some examples:

a. The story of angels having sex with women contradicts Jesus’ saying in Matthew 22:30: “For in the resurrection they neither marry nor are given in marriage, but are like angels of God in heaven” (Mat 22:30 NKJV). This means angels are not sexual beings.

b. Eighteen of these angels are listed by name in Enoch 6:3, 8; their leader is Semyaz. Not one of these names appears in the Bible. The giants they produce were 450 feet tall (Enoch 7:2). “These [giants] consumed the produce of all the people until the people detested feeding them. So the giants turned against [the people] in order to eat them” (7:3, 4). This is rather fanciful and against Scripture.

c. In Enoch 10:4, 5, “The Lord said to Raphael [a good angel] ‘Bind Azaz’el [an evil angel] hand and foot [and] throw him into the darkness!’ And he made a hole in the desert which was in Duda’el and cast him there; he threw on top of him rugged and sharp rocks.” According to Enoch, you can bind angels by throwing them into a hole in the desert.

d. In chapter 13, Enoch intercedes for Azaz’el.

e. In Enoch 15:9 evil spirits came out of the bodies of the giants.

“Many more fanciful and weird stories are contained in the book,” says Dr. Pfandl. “Jews and Christians, therefore, never considered the book as inspired by the Holy Spirit.”
SOURCE : Why is the book of Enoch not in the Bible?
 
Hii topic itamfaa sana KijanaHuru.. Hebu njoo usome uongeze maarifa kijana
Daaa Asante sana kaka kwa kunikumbuka

Sema niseme machache tu, watu wanauchukia ukweli na hawapendi kuujua ukweli, la msingi niseme hivi miongoni mwa watu walioishi masha ya kumjua na kutembea katika njia za Mungu Enoch ni mmoja wapo na katika biblia watu ambao wameenda Mbinguni pasipo kuonja mauti Enock ni mmoja wapo Genesis 5:24
Naongeza pia uzito huu Enoch is described as a man who "walked with God for 300 years" (Genesis 5:23)

Sasa inakuwa ni ajabu leo mtu aliyeishi maisha ya Kumtegemea Mungu siku zote na kisha Kazi zake zikapingwa.
Wahubiri ni kama wanawapa limbwata waumini ili wasielewe,
Ila kupitia hapo tuu jiulize
Mfano leo kazi za petro zifutwe zote inakuja kweli?

Sasa wanachukuliwa wepesi wepesi tu labda kwasababu hawajajua relation ya kitabu husika na biblia nadhani sababu wanakisikia kwa masimulizi pasipo kukisoma.

Ndio Maana Mungu anasema tunaangamia kwa kukosa maarifa,
Hasemi tunaangamia kwa kukosa ulinzi wake la hasha kwa kukosa maarifa.
 
Kuna bonge la kitabu lilitolewa pia lilikuwa linaitwa gospel of Thomas!....... Nafikiri hiki ndo kilikuwa kitabu bora kabisa katika bibilia!.....Sisi wanadamu hasa wa dini ya kikatoliki ni wabaya sana!
Hakuna kitu hicho kitabu hata hakitambui kama Yesu alikuwa mwana wa Mungu wala alizaliwa lini wala alikufa lini wala alifufuka lini yaani its pure pagan
 
Back
Top Bottom