Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Alafu nnachoshangaa mi kitabu cha tobiti akiubiliwi kabisa na wachungaji maaskofu mapadre kwanini???
Wewe tu huubiwa sana labda makanisani (Catholic)/endelea kuhhdhuria Ibada za kila siku asubuh saa 12:30 na jumatano saa 10:30 jioni pamoja jumapili utavisikia...
 
Wapendwa, msidanganyike. Enoki alikuwa na vitabu viwili. Cha kwanza, ni mile kilichohusika na majina ya malaika wote , ukiwa ni pomaja na wale majemadari 72 waliofukuzwa mbinguni. Kitabu hiki, ndicho kinachotumiwa na waganga, na hata wahubiri wa makanisa ya sasa katika kazi ya utoaji wa mapepo. Waganga Hawa, pia hutumia vitabu viwili vya mfalme sulemani alivyoviandika na kuvitumia katika mambo ya uuguzi. Kwa hivyo,kitabu cha Enock cha majina ya malaika, hakina faida yoyote kwa Mtu asiyekuwa na mambo ya uganga.wanaokitumia kitabu hiki, ni wale wanaotaka kutumia watu vipande, na kutibu kwa njia ya uganga. Sasa kama mkristo, unakatazwa kutafuta msaada kutoka kwa watu, viumbe vilivyoko mbinguni,(malaika), ya nini kuhangaika na kitabu chenye majina ya malaika?. Kitabu cha pili cha Enock ni kitabu kinachohabari zote za maisha na kazi aliyoifanya Bw. Yesu. Yaani vitabu vya Injili (Mathayo, Marko, Luka , na Yohana. Maelezo ni Yale yale , tofauti ni kuwa badala ya jina la Yesu imeandikwa "kiongozi wa watu".) Hivyo hakukuwa na sababu yoyote ya kuhangaika na kitabu cha Enock . Anayetaka kusoma kitabu cha pili cha Enock, asome Injili za mathato, Marko, Luka, na Yohana,.Achana na vitabu vya Enock vitakutenga na jina tamu, la Yesu maana wa Mungu Aishiye milele.
Kama wewe ulivisoma na havikukutenga,kwa nini unakuwa sehemu ya watu wanaokandamiza haki za wengine kuvisoma vitabu hivyo?Huoni hii ni tabia ya kiburi na majigambo dhidi ya watu wengine unaowaona hawawezi kufikiri vizuri?Nachukia sana ujinga huu ambao umerudisha nyuma sana maendeleo ya mwafrika.

Waafrika tubadilike,kama unaamini nguvu ya roho mtakatifu,na kwamba kila mtu ana haki ya kumpokea,kwa nini uwe na mashaka kwa watu wengine kusoma vitabu hivyo?
 
Kwani biblia imeandikwa na nani mkuu
Kimeandikwa na watu watano tofauti na HENOKO hakukiandika cha kushangaza anasema I ENOCH kila anapokuwa quoted as if yye ndio alioandika......

Nachotaka muelewe ni kwamba kimeandikwa miaka 300 kabla ya Yesu sasa Henoko alishakuwa amekufa hivyo msihusishe hicho kitabu na Henoko mnashangaza sana

Tafiti zote zineonyesha zile script hazikuwepo kabla ya huo mwaka 300 BC ssa mnakazania ni Henoko alieandika ili iweje??

Kina ukweli kiasi ila 70% iliyobaki ilichezewa na waandishi wa mashariki ya kati hivyo hakina credibility kabisa ya kuwekwa kwenye biblia

Kwa ufupi Henoko hamtambui Yesu kma Mungu wala hatambui kma kuna kukombolewa kutoka dhambini sasa mnaoking'ang'ania sijui mna ajenda gani
 
Kama wewe ulivisoma na havikukutenga,kwa nini unakuwa sehemu ya watu wanaokandamiza haki za wengine kuvisoma vitabu hivyo?Huoni hii ni tabia ya kiburi na majigambo dhidi ya watu wengine unaowaona hawawezi kufikiri vizuri?Nachukia sana ujinga huu ambao umerudisha nyuma sana maendeleo ya mwafrika.Waafrika tubadilike,kama unaamini nguvu ya roho mtakatifu,na kwamba kila mtu ana haki ya kumpokea,kwa nini uwe na mashaka kwa watu wengine kusoma vitabu hivyo?
Kinajichanganya na biblia sasa ukisoma huoni unaweza kuwa kwenye njiapanda kwamba uamini mwandishi wa mwanzo au umuamini mwandishi wa Henoko ???

Sasa biblia haijasema kma malaika walizaa na binadam ila henoko anasema hivo

Henoko anasema Safina ya nuhu ilijengwa na malaika watupu ila biblia inasema alijenga Nuhu sasa huoni itachanganya wakristo
 
Ukisoma kitabu cha Henoko 8:1 - 8 utaona Henoko anavyoelezea jinsi ambavyo wale malaika walioshuka pale kilele cha Ardis mlima Armon ambao waliwaingilia wana wa binadam (Henoko 7:1-8), utaona anasema jinsi walivyowafundisha binadamu maarifa ya kutengeneza silaha, uganga (sorcery), elimu ya nyota, n.k.

Nauliza, ikiwa haya mambo ni kweli yalitokea na ni kweli ukiona hata leo kwa kiasi kikubwa waganga na watabiri wa nyota ni kama wana ushirika na majini au pepo wabaya ambao kwa uelewa wangu ndio hao malaika walioanguka, je, kuandika habari hizi kunakifanya kitabu kikose sifa ya “utakatifu” kama vitabu vingine tunavyosoma leo katika Biblia?
 
Asiee umeamua kurusha ngumi!!! Pole sana Kumbe kufia dini ni upuuzi kwa mtu mwenye mawazo ya kipumbafu na upotevu kama wewe. Ndio sioni maneno mengine mazuri zaidi ya haya "mpumbavu na mpotevu" unaquote upuuzi???!!! Maana hata maandiko yalijua hili pale ilopo andikwa, lakini neno la msalaba kwao waliopotea ni upuuzi. Hakuna jipya kwa wewe kuniita mimi mpuuzi maana so far umeshapotea, labada uchukue maamuzi ya kimakusudi sasa, othewise umekwisha.


Na washawasha!
We jamaa unaboa sana!Kama ni ubishi ni ubishi wa kishamba sana!Unaulizwa swali kwa hoja,unajibu kwa hisia zako!Hakuna swali ulilojibu kwa hoja,isipokuwa kwa jinsi ya kujibu tamaa zako na kukwepa hofu unayoiona mbele yako.

Ila kumbuka, Mungu ana nguvu kuliko ujanja ujanja wa kibinadamu na katika vizazi vyote watakuwepo tu wanaomcha yeye.
 
tatizo la watu wengi ni mareligious na sio spritual so kuna vitu hawataweza kuvijua maishani ! kuna biblia 6000 huku duniani .achana na hii moja ya mzungu aliyoiframe kwa manufaa yake hapa africa
Acha uongo wewe hebu taja hizo biblia zako
 
baby wangu kumbe unamjua Mungu eeh ngoja nitafute kitabu cha tomaso halafu kitakuwa cha kweli maana huyu tomaso alikuwa mwanafunzi wa yesu so ina maana aliyoandika ni ya kweli maana aliyaona unlike kina mathayo .luka marko wale walisimuliwa tu
There was a time a lot of people were writing books and naming them after the disciples of jesus
So sio kila ukiona jina kwamba it was genuinely written by that character sio kweli
 
Hawa Wazungu Ni Devils. Tulifichwa,Tumefichwa,Tunafichwa Na Tutafichwa Vitu Vingi Sana Hasa Katika Dini Ya Ukristo Na Biblia. Sasa Mtu Anaanzaje Kuedit Biblia For Example?
That Simply Means Vile Ambavyo Ni Incosistent Au Against Their Interests Na Beliefs Basi Vitang'olewa Kwa Makusudi.
The problem is we Africans and probably Arabs
Siku zote tubakuwa tunatafuta sababu za kujipa moyo about our sacred nature and so on ......all those are conspiracy theories watu wore ni sawa hakuna mashetani wala nini we are all genuine humans
 
King james bible ndio version sahihi ya bible
I hate tabia ya Ku draw conclusions without research ....how do you know that the bible we use is corrupt?

Who are u by the way ?
Au u participated in that corruption!!!!

You guys should understand those are just translations !!!! Kama unataka original learn Hebrew ,Aramaic and Latin ukasome the natural language
 
Ni hv kwa kifupi tu huko nyuma kuna tukio kubwa sana lilitokea na hadi leo athari zake zinatawala maisha yetu.tukio hilo ni interaction kati ya binadamu na viumbe fulani wengine wa Mwenyezi Mungu(huwa tunawaita tu malaika hii inatupa upofu sana)walikuwa 200 wakiongozwa na mkuu wao Azazel waliposhuka ktk kilele cha mlima Hermon na kuigiza maumbile ya kibinadamu.kilichowaleta ni kutamani binadamu.walitaka kukaa nao,wawatawale,wazae nao,waanzishe empire yao tofauti na utaratibu waliopangiwa na Mungu.wakafanya hivyo.ikazaliwa offspring ya ajabu,majitu makubwa yenye nguvu za kutisha na akili za ajabu na roho za ajabu maana nusu binadamu nusu malaika.waliitwa nephilims,leo tunawaita titans(usifikiri hadithi ya kigiriki hii)!kutokana na hiyo offspring kuwa imbalance,ilileta vurugu kubwa duniani,na kama Mungu asingeingilia kati mbegu ya binadamu pure ingetoweka.hao malaika pamoja na hayo matoto yao ndio walifundisha binadamu mambo meengi ambayo leo yana sehemu kubwa ktk sayansi,elimu na tamaduni zetu hasa mashariki ya mbali,India na america.base yao kuu ilikuwa bara la Atlantis lililokuwepo katikati ya america na ulaya.kitendo hiki kilimchukiza Mungu mno akaamua kutuma gharika ya maji na kuteketeza dunia nzima pamoja na bara la Atlantis isipokuwa binadamu mmoja anaitwa Nuhu na watoto wake na baadhi ya wanyama ambao hawakuchafuliwa(nephilims walizaana hata na mijusi,kilichotoka hapo ni balaa).LAKINI kuna laana alitamka Mungu,kwamba roho za viumbe hao hataziangamiza,ataziacha na zitakuwa chanzo cha kila uovu duniani kwa umri wote wa dunia hadi mwisho ili viumbe wake wote wapate darasa how serious was this mistake!roho hizo ndizo zilimuongoza Nimrod kuijenga Babylon na kuanzisha idol worshiping na tamaduni za Atlantis zikaanza kurudi taratibu huku spidi yake ikivurugwa na elimu ya dini ya mitume na manabii wa Mungu.ilibidi utaratibu wa kuinteract na binadamu ili kutimiza lengo lao waufanye kwa siri,taratibu,miaka na miaka,wakiibadili dunia taratibu hadi mazingira yakiruhusu,roho hizi zikiwa ndani ya miili ya kibinadamu,zitaigeuza dunia nzima kuwa kama Atlantis!ndipo hapa vyama vya siri na dini zisizoeleweka vinaposhamiri underground.
Tanzanians kuna reason kubwa behind theological rejection ya hicho kitabu !!!
That book ukisoma utagundua hakiko consistent with other biblical books kimalize chote utaona matango pori yaliomo humo


By the way wanakitumia Ethiopian Orthodox church tyu
 
Simply scrolls za hicho kitabu ziligunduliwa Ethiopia.
Na zinamuelezea binadamu wa kwanza kua ni mtu mweusi.
Ila kuna mtoto alizaliwa mwenye rangi kama ya Malaika (Albino).
Kitabu cha Enoch kina mpa superiority Mtu mweusi ndio maana kilitolewa.
Deceit
 
Injili ya barnaba pia ilifutwa..
Sijui kama maelezo ya yesu kuoa ni ya kweli
Injili ya Barnabas kiliandikwa baadae sana na mhispania mmoja ambaye alikuwa no roman catholic alipobadili dini na kuwa muislam ndo akaandika kitabu hicho

Hakihusiani na Barnabas mwanafunzi was Paulo hata kidogo
Intact ukifanya simple examination ya hicho kitabu utagundua it was written 10A.D sasa miaka kama 1000 baada ya yesu na mitume wote kufariki in kitabu cha kipuuzi tyuu
 
The Book of Enoch is any of several pseudepigraphal (falsely attributed works, texts whose claimed authorship is unfounded) works that attribute themselves to Enoch, the great-grandfather of Noah; that is, Enoch son of Jared (Genesis 5:18). Enoch is also one of the two people in the Bible taken up to heaven without dying (the other being Elijah), as the Bible says "And Enoch walked with God, and he was not; for God took him." (Genesis 5:24; see also Hebrews 11:5). Most commonly, the phrase "Book of Enoch" refers to 1 Enoch, which is wholly extant only in the Ethiopic language.

The biblical book of Jude quotes from the Book of Enoch in verses 14-15, “Enoch, the seventh from Adam, prophesied about these men: ‘See, the Lord is coming with thousands upon thousands of his holy ones to judge everyone, and to convict all the ungodly of all the ungodly acts they have done in the ungodly way, and of all the harsh words ungodly sinners have spoken against him.’” But this does not mean the Book of Enoch is inspired by God and should be in the Bible.

Jude’s quote is not the only quote in the Bible from a non-biblical source. The Apostle Paul quotes Epimenides in Titus 1:12 but that does not mean we should give any additional authority to Epimenides’ writings. The same is true with Jude, verses 14-15. Jude quoting from the book of Enoch does not indicate the entire Book of Enoch is inspired, or even true. All it means is that particular verse is true. It is interesting to note that no scholars believe the Book of Enoch to have truly been written by the Enoch in the Bible. Enoch was seven generations from Adam, prior to the Flood (Genesis 5:1-24). Evidently, though, this was genuinely something that Enoch prophesied – or the Bible would not attribute it to him, “Enoch, the seventh from Adam, prophesied about these men…” (Jude 14). This saying of Enoch was evidently handed down by tradition, and eventually recorded in the Book of Enoch.

We should treat the Book of Enoch (and the other books like it) in the same manner we do the other Apocryphal writings. Some of what the Apocrypha says is true and correct, but at the same time, much of it is false and historically inaccurate. If you read these books, you have to treat them as interesting but fallible historical documents, not as the inspired, authoritative Word of God.
There u talked brother
 
Kama wewe ulivisoma na havikukutenga,kwa nini unakuwa sehemu ya watu wanaokandamiza haki za wengine kuvisoma vitabu hivyo?Huoni hii ni tabia ya kiburi na majigambo dhidi ya watu wengine unaowaona hawawezi kufikiri vizuri?Nachukia sana ujinga huu ambao umerudisha nyuma sana maendeleo ya mwafrika.Waafrika tubadilike,kama unaamini nguvu ya roho mtakatifu,na kwamba kila mtu ana haki ya kumpokea,kwa nini uwe na mashaka kwa watu wengine kusoma vitabu hivyo?
Mimi lmani yangu Iko stable, najua uongo ni UPI na ukweli UPI , hivyo hata nisome kitabu kipi hakiwezi niteteresha kiimani maana ukweli naujua. Mkristo mwenye imani changa akisoma katabu cha Enoch ataweza kuterereka katika imani..kitabu cha Enoch hakijulikani mwandishi ni nani. Ukitazama kwa undani zaidi, utakuta mafundisho ya Gnostic yanabeba sehemu Fulani katika kitabu cha Enoch.

Vile vile kitabu cha Enoch kina alama au symbols zinazotumiwa na waabudu mashetani. Kwa mfano nyota ya pentagram, (nyota ya pembe tano iliyosimamia ncha moja). Nyota ya Mfalme Daudi,(pembe tatu mbili zinazoingiliana).Vile vile kitabu cha Enoch kina maelezo zaidi kuhusu malaika kuliko kumhusu Mungu.

Kwa hivyo kitabu cha Enoch hakimsaidii Mtu mchanga kiimani, isipokuwa kumuelekeza katika kuabudu malaika ambao ndio walioelezewa zaidi ndani ya kitabu hicho.
 
Salute.
Unafaham malaika waliopo kwenye kundi la Matatron Arch angels..?
Kimeandikwa na watu watano tofauti na HENOKO hakukiandika cha kushangaza anasema I ENOCH kila anapokuwa quoted as if yye ndio alioandika......

Nachotaka muelewe ni kwamba kimeandikwa miaka 300 kabla ya Yesu sasa Henoko alishakuwa amekufa hivyo msihusishe hicho kitabu na Henoko mnashangaza sana

Tafiti zote zineonyesha zile script hazikuwepo kabla ya huo mwaka 300 BC ssa mnakazania ni Henoko alieandika ili iweje??

Kina ukweli kiasi ila 70% iliyobaki ilichezewa na waandishi wa mashariki ya kati hivyo hakina credibility kabisa ya kuwekwa kwenye biblia

Kwa ufupi Henoko hamtambui Yesu kma Mungu wala hatambui kma kuna kukombolewa kutoka dhambini sasa mnaoking'ang'ania sijui mna ajenda gani
 
Mkuu ni kweli, kitabu cha ench Hakina msaada wowote kwa wokovu wa mwanadamu..!
Mimi lmani yangu Iko stable, najua uongo ni UPI na ukweli UPI , hivyo hata nisome kitabu kipi hakiwezi niteteresha kiimani maana ukweli naujua. Mkristo mwenye imani changa akisoma katabu cha Enoch ataweza kuterereka katika imani..kitabu cha Enoch hakijulikani mwandishi ni nani. Ukitazama kwa undani zaidi, utakuta mafundisho ya Gnostic yanabeba sehemu Fulani katika kitabu cha Enoch. Vile vile kitabu cha Enoch kina alama au symbols zinazotumiwa na waabudu mashetani. Kwa mfano nyota ya pentagram, (nyota ya pembe tano iliyosimamia ncha moja). Nyota ya Mfalme Daudi,(pembe tatu mbili zinazoingiliana).Vile vile kitabu cha Enoch kina maelezo zaidi kuhusu malaika kuliko kumhusu Mungu. Kwa hivyo kitabu cha Enoch hakimsaidii Mtu mchanga kiimani, isipokuwa kumuelekeza katika kuabudu malaika ambao ndio walioelezewa zaidi ndani ya kitabu hicho.
 
Back
Top Bottom