Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,267
- 105,437
Nadhani pointi si kwamba alimuacha ajiuzulu,bali hakufanya anything zaidi ya kusema kuwa ni ajali ya kisiasa...Yuo see,wewe unamtetea JK dhidi ya Lowasa kuwa alimwacha ajiuzulu kwasababu Lowasa ni mchafu na fisadi,je is that equevalent to "Ajali ya kisiasa?" Kuna vijiswali ambavyo havikuulizwa kutokana na issue yenyewe kuwa kubwa na unique especially kujiuzulu kwa Waziri Mkuu,lakini pointi ya MKJJ pia ipo,alichotakiwa kufanya rais ni nini? Either alitakiwa ku mback waziri mkuu kwasababu ni ajali tu ya kisiasa na si ufisadi,ama alitakiwa kumfukuza kazi na si kuwa neutral cause ina compromise utafsiri wa sheria,taratibu na kanuni zetu za kiutawala.
we can split hairs if you want.
Lakini bottom line ni jibu la swali "Kwa nini Kikwete hakusimama na Lowassa".Sote tunajua siasa zetu zilivyo na longolongo nyingi, Kikwete alimtosa Lowassa lakini hakutaka kuonekana brutal, akataka kuonekana graceful, ndiyo hayo mambo ya kujishaua kwa kusema "ajali ya kisiasa" siku hizi hata kwenye ajali watu wanatafuta sababu ya ajali, yeye alitaka kutuambia ajali ni kitu hakiepukiki? Amuulize Ralph Nader na kampeni yake ya seat belts. Kwa hiyo hiyo kauli ya "ajali ya kisiasa" nayo ilikuwa reckless, ni vile Tanzania tu hamna press ya kufuatilia kauli za viongozi.
Mimi ninachosema ni kuwa kumsakama JK kwa sababu hajamtetea Lowassa si sawa, kwa sababu kumtetea Lowassa katika hali ile kungekuwa ni utovu wa uadilifu kwa kiapo cha Kikwete kulinda maslahi ya Jamhuri, Mwanakiji ameelewa vizuri hilo (I doubt kwamba alikuwa haelewi to begin with, hence my outrage)