Kwanini Kikwete hakusimama na Lowassa?

Kwanini Kikwete hakusimama na Lowassa?

Hivi MKJJ anaweza akaandika barua kama hajaamua?
Nadhani hiyo ni past tense so na kwa maana hiyo aliposema "Ameamua" kwa wakati ule,ina maana kwamba ni jambo ambalo alishalifanyia maamuzi na kulitekeleza,unless kuna technicallities hapo mtueleze...Nilivyoelewa mimi hilo alilizungumzia kama past tense.

hapa mnacheza na lugha. As a matter of fact ukiisoma vizuri ni kama anasema hivi:

"Nimeamua kujiunga na timu ya Mpira" - Hii ina maana ameshajiunga au ni jambo ambalo atalitelekeza mara? Kama angekuwa tayari amejiunga anasema "nimejiunga na timu ya mpira" na kama kuelezea kitu ambacho kimekwisha fanyika angesema "baada ya kutafakari bla bla bla, niliamua kumuandikia Rais Barua ya kutaka kujiuzulu, naye amekubali kujiuzulu kwangu"!

Jmushi (happy birthday); huwezi kusema "nimeamua kumwandikia" ukamaanisha wakati uliopita. Unapoweka "kumwandikia" tendo hilo haliwezi kuwa limeshatokea ila ina maana linatokea hivi punde au linatokea as we speak.

Wakati Lowassa anazungumza Bungeni juu ya huu uamuzi wake, hakuna mtu mwingine aliyekuwa anajua isipokuwa bila ya shaka mke wake mama Lowassa. Uliza mtu yeyote akuambie, siyo Kikwete, siyo Spika, bali Lowassa labda na mtu mwingine (beside rais na spika).
 
Una maana gani "kumsema sana"? Hakuna ushahidi wa mimi "kumsema sana" Lowassa.

Hahaaa, unataka kuzikana makala zako za "kisungura" ambazo zilitolewa sio tu hapa bali hata kwenye magazeti?

Kwa hiyo hukuwahi kumsema Lowassa?
 
Hata makala ya Kasungura, the issue was not Lowassa.
 
Kuitisha kiongozi kujiuzulu ni kumsema "sana"?

Hayo ni maswali mawili tofauti.

Picha ninayoipata ni kwamba Mwanakijiji anapenda kuandika tu, mradi apige soga na kucheza twist. Kwa makala kama hii anajionyesha kutokuwa makini.

Kwa sababu Lowassa alivyokuwa Waziri Mkuu alimsema kwa mengi tu, na kulikataa hili nako ni kucheza twist.

Sasa Lowassa kajiamulia kujiuzulu, ooh, Kwa nini "Kikwete hakusimama na Lowassa?". Mradi chochote kitakachotokea Mwanakijiji anataka kuandika tu apige soga, bila kanuni wala muongozo.

Ni kama wale watu ambao ukivaa vibaya wanakucheka hujui kuvaa, ukivaa vizuri wanakusema unaringa, ili mradi kila utakachofanya hawakosi cha kusema kwa sababu kusema ndiyo raha yao.

Kwamba Kikwete alikuwa hana budi kumuacha Waziri Mkuu aliyegubikwa na ukungu wa rushwa ama halioni, au halimfai katika kuchonga maneno yake. Kama halioni natia mashaka kuhusu uerevu wake, kama analifumbia macho kwa sababu halimfai katika kazi yake ya kufinyanga maneno namuona hana uadilifu kwa malengo makubwa ya kimapinduzi kama kutokomeza ufisadi na kuleta maendeleo halisi Tanzania.

Mwanakijiji anachonga sana, mpaka anakosa dira. Kinachonisikitisha sana sana ni kuwa, akiendelea namna hii hata pale anapoongea ya msingi (na sipingi, huwa anaongea ya msingi) watu watakuwa na shaka kama kweli anamaanisha anachosema au anawashwa kuandika tu.

In defense of Kikwete, Kikwete hakula kiapo kuyalinda maslahi ya Lowassa, bali ya Tanzania.Kwa hiyo kama Lowassa alishindwa kuyalinda maslahi ya Tanzania kwa kuhatarisha uchumi na kunuka rushwa, Kiwete alishurutika kumwachia aachie ngazi. Mwanakijiji kama mtu unayeongelea mengi kwa niaba ya wanyonge ukijifanya hulioni hili ili mradi upate kuandika makala zako zitakazolenga kuangalia urafiki wa kikwete kwa Lowassa kama muhimu zaidi ya wajibu wa Kikwete kwa Jamhuri mimi nitakuona traitor.

Kama JF kuna slow day, au kama una "writers block" anaweza kujumuika na BRAZAMENI karudi kule, au kuandika mashair/ hadithi zake, lakini siyo kutoa makala iliyojaa inconsistencies na some of his expressed positions.

That is unless he thinks consistency is for us mere mortals, and he is above it.
 
Last edited:

Inawezekana picha unayoipata iko distorted brother Kiranga....
 
Ningefurahi kama ungenifahamisha ilivyokuwa distorted, inawezekana weye waona distorted kumbe ni kwa sababu natumia infrared-goggles.
 
...Mwanakijiji anachonga sana, mpaka anakosa dira. Kinachonisikitisha sana sana ni kuwa, akiendelea namna hii hata pale anapoongea ya msingi (na sipingi, huwa anaongea ya msingi) watu watakuwa na shaka kama kweli anamaanisha anachosema au anawashwa kuandika tu...

...That is unless he thinks consistency is for us mere mortals, and he is above it.

Sema wewe baba.

Hiyo ilikuwa ni kwanzaaa twist mchongo... na kishaaaaa......Kikwete ajiuzulu ndicho kingefuatia!
 
Hayo ni maswali mawili tofauti.

Picha ninayoipata ni kwamba Mwanakijiji anapenda kuandika tu, mradi apige soga na kucheza twist. Kwa makala kama hii anajionyesha kutokuwa makini.

Kwa sababu Lowassa alivyokuwa Waziri Mkuu alimsema kwa mengi tu, na kulikataa hili nako ni kucheza twist.

Sasa Lowassa kajiamulia kujiuzulu, ooh, Kwa nini "Kikwete hakusimama na Lowassa?". Mradi chochote kitakachotokea Mwanakijiji anataka kuandika tu apige soga, bila kanuni wala muongozo.

Ni kama wale watu ambao ukivaa vibaya wanakucheka hujui kuvaa, ukivaa vizuri wanakusema unaringa, ili mradi kila utakachofanya hawakosi cha kusema kwa sababu kusema ndiyo raha yao.

Kwamba Kikwete alikuwa hana budi kumuacha Waziri Mkuu aliyegubikwa na ukungu wa rushwa ama halioni, au halimfai katika kuchonga maneno yake. Kama halioni natia mashaka kuhusu uerevu wake, kama analifumbia macho kwa sababu halimfai katika kazi yake ya kufinyanga maneno namuona hana uadilifu kwa malengo makubwa ya kimapinduzi kama kutokomeza ufisadi na kuleta maendeleo halisi Tanzania.

Mwanakijiji anachonga sana, mpaka anakosa dira. Kinachonisikitisha sana sana ni kuwa, akiendelea namna hii hata pale anapoongea ya msingi (na sipingi, huwa anaongea ya msingi) watu watakuwa na shaka kama kweli anamaanisha anachosema au anawashwa kuandika tu.

In defense of Kikwete, Kikwete hakula kiapo kuyalinda maslahi ya Lowassa, bali ya Tanzania.Kwa hiyo kama Lowassa alishindwa kuyalinda maslahi ya Tanzania kwa kuhatarisha uchumi na kunuka rushwa, Kiwete alishurutika kumwachia aachie ngazi. Mwanakijiji kama mtu unayeongelea mengi kwa niaba ya wanyonge ukijifanya hulioni hili ili mradi upate kuandika makala zako zitakazolenga kuangalia urafiki wa kikwete kwa Lowassa kama muhimu zaidi ya wajibu wa Kikwete kwa Jamhuri mimi nitakuona traitor.

Kama JF kuna slow day, au kama una "writers block" anaweza kujumuika na BRAZAMENI karudi kule, au kuandika mashair/ hadithi zake, lakini siyo kutoa makala iliyojaa inconsistencies na some of his expressed positions.

That is unless he thinks consistency is for us mere mortals, and he is above it.

Argumentum Ad hominem maximum!

Kiranga, you know well I choose my words carefully. Nimerudi kusoma nilichoandika kwenye post hii na sielewi hayo mawazo yote uliyoyapata yanatokana na nini. Swali langu lilikuwa ni jepesi na umetoa jibu lako kuwa "Kikwete hakula kiapo cha kulinda maslahi ya Lowassa"!

Hayo mengine niliyoyaangazia yanaonesha tu ni jinsi gani natakiwa kuwa kwenye chupa fulani ambapo sitakiwi kutoka au kijisanduku fulani ambacho nimefungiwa humo na dalilii yoyote ya kutoka ni kwenda nje ya kile kinachodhaniwa. Well.. I can't fit in that bottle.
 
Umeaswa angalau mara moja moja uwe unajiachia kule kwa Brazameni na kuacha kuchonga maneno....
 
Argumentum Ad hominem maximum!

Kiranga, you know well I choose my words carefully. Nimerudi kusoma nilichoandika kwenye post hii na sielewi hayo mawazo yote uliyoyapata yanatokana na nini. Swali langu lilikuwa ni jepesi na umetoa jibu lako kuwa "Kikwete hakula kiapo cha kulinda maslahi ya Lowassa"!

Hayo mengine niliyoyaangazia yanaonesha tu ni jinsi gani natakiwa kuwa kwenye chupa fulani ambapo sitakiwi kutoka au kijisanduku fulani ambacho nimefungiwa humo na dalilii yoyote ya kutoka ni kwenda nje ya kile kinachodhaniwa. Well.. I can't fit in that bottle.

That bottle is called CONSISTENCY.And the cap on it goes by the name of PRINCIPLE

Like I feared before, you obviously do not believe in neither consistency nor principle, tough you may demand the two from mere mortals.

Pray tell the alternative.
 
got you!
 
Hayo ni maswali mawili tofauti.

Picha ninayoipata ni kwamba Mwanakijiji anapenda kuandika tu, mradi apige soga na kucheza twist. Kwa makala kama hii anajionyesha kutokuwa makini.

Kwa sababu Lowassa alivyokuwa Waziri Mkuu alimsema kwa mengi tu, na kulikataa hili nako ni kucheza twist.

Sasa Lowassa kajiamulia kujiuzulu, ooh, Kwa nini "Kikwete hakusimama na Lowassa?". Mradi chochote kitakachotokea Mwanakijiji anataka kuandika tu apige soga, bila kanuni wala muongozo.

Ni kama wale watu ambao ukivaa vibaya wanakucheka hujui kuvaa, ukivaa vizuri wanakusema unaringa, ili mradi kila utakachofanya hawakosi cha kusema kwa sababu kusema ndiyo raha yao.

Kwamba Kikwete alikuwa hana budi kumuacha Waziri Mkuu aliyegubikwa na ukungu wa rushwa ama halioni, au halimfai katika kuchonga maneno yake. Kama halioni natia mashaka kuhusu uerevu wake, kama analifumbia macho kwa sababu halimfai katika kazi yake ya kufinyanga maneno namuona hana uadilifu kwa malengo makubwa ya kimapinduzi kama kutokomeza ufisadi na kuleta maendeleo halisi Tanzania.

Mwanakijiji anachonga sana, mpaka anakosa dira. Kinachonisikitisha sana sana ni kuwa, akiendelea namna hii hata pale anapoongea ya msingi (na sipingi, huwa anaongea ya msingi) watu watakuwa na shaka kama kweli anamaanisha anachosema au anawashwa kuandika tu.

In defense of Kikwete, Kikwete hakula kiapo kuyalinda maslahi ya Lowassa, bali ya Tanzania.Kwa hiyo kama Lowassa alishindwa kuyalinda maslahi ya Tanzania kwa kuhatarisha uchumi na kunuka rushwa, Kiwete alishurutika kumwachia aachie ngazi. Mwanakijiji kama mtu unayeongelea mengi kwa niaba ya wanyonge ukijifanya hulioni hili ili mradi upate kuandika makala zako zitakazolenga kuangalia urafiki wa kikwete kwa Lowassa kama muhimu zaidi ya wajibu wa Kikwete kwa Jamhuri mimi nitakuona traitor.

Kama JF kuna slow day, au kama una "writers block" anaweza kujumuika na BRAZAMENI karudi kule, au kuandika mashair/ hadithi zake, lakini siyo kutoa makala iliyojaa inconsistencies na some of his expressed positions.

That is unless he thinks consistency is for us mere mortals, and he is above it.

Nadhani pointi si kwamba alimuacha ajiuzulu,bali hakufanya anything zaidi ya kusema kuwa ni ajali ya kisiasa...Yuo see,wewe unamtetea JK dhidi ya Lowasa kuwa alimwacha ajiuzulu kwasababu Lowasa ni mchafu na fisadi,je is that equevalent to "Ajali ya kisiasa?" Kuna vijiswali ambavyo havikuulizwa kutokana na issue yenyewe kuwa kubwa na unique especially kujiuzulu kwa Waziri Mkuu,lakini pointi ya MKJJ pia ipo,alichotakiwa kufanya rais ni nini? Either alitakiwa ku mback waziri mkuu kwasababu ni ajali tu ya kisiasa na si ufisadi,ama alitakiwa kumfukuza kazi na si kuwa neutral cause ina compromise utafsiri wa sheria,taratibu na kanuni zetu za kiutawala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom