Kwanini kifo kisiwe kama zawadi ya thamani ya kumpa mtu?

Yaani mtu akifanya vema tunampongeza kwa kumuua,
Imagine ukifa unapumzika kwa amani.

Mihangaiko ya duniani unaiacha, unasahau shida zote za kila siku hutafuti hela , husikii njaa, huna mawazo, kiufupi ni peace tu.

Naona kifo ndio ingekuwa zawadi nzuri na ya thamani ya kumpatia mtu aliyefanya vizuri.
Au mnaonaje wadau.
Kifo hakina huruma.

Heaven or Hell
 
Yaani mtu akifanya vema tunampongeza kwa kumuua,
Imagine ukifa unapumzika kwa amani.

Mihangaiko ya duniani unaiacha, unasahau shida zote za kila siku hutafuti hela , husikii njaa, huna mawazo, kiufupi ni peace tu.

Naona kifo ndio ingekuwa zawadi nzuri na ya thamani ya kumpatia mtu aliyefanya vizuri.
Au mnaonaje wadau.
Hongera mkuu.

Njoo tukuzawadie basi🤣
 
There's no such thing as hell it's just resting in peace

Mkuu Mimi sijafanya Jambo lolote la maana hata nipongezwe
Kuzimu ipo. Kuna sauti zilirekodiwa na wanasayansi kwenye utafiti mmoja hivi walivyodumbukiza kifaa fulani kule baharini, kulikuwa na mpasuko Fulani hivi, ambao ndani yake kulikuwa na magma, ikasikika sauti za vilio vya wanadamu.
 
Haya maswala ya Imani hatupaswi kubishana sana, ila nadhani hiyo tafiti ingerudiwa , na kukawa na mashahidi zaidi ili tupate ukweli.
 
Back
Top Bottom