Kwanini Kamari inaruhusiwa Tanzania?

Kwanini Kamari inaruhusiwa Tanzania?

Kila kitu kamari.
Hata mzazi wa yule Binti wa connection hakutegemea awe vile
 
Tanzania biashara ya kamari ni kubwa sana mpaka wacheza kamari wamekuwa kama Taaluma kabisa watu wanaojipatia kipato chao cha kudumu kupitia kamari wakijiita "wakamaria"

Ninavyofahamu kamari ni jambo haramu kwa dini zote mbili za Uislamu na Ukristo, kwa nini imeruhusiwa na haijapigwa marufuku kama ushoga ukizingatia kamari ni mbaya kuliko hata ushoga?
1. Kifungu kinachokataza kamari kweye ukristo ni kipi?
2. Tanzania si nchi ya kidini so nchi haina dini.
3. Kamari si haramu kwa sheria za nchi.

Bet at your own risk...
 
Tanzania biashara ya kamari ni kubwa sana mpaka wacheza kamari wamekuwa kama Taaluma kabisa watu wanaojipatia kipato chao cha kudumu kupitia kamari wakijiita "wakamaria"

Ninavyofahamu kamari ni jambo haramu kwa dini zote mbili za Uislamu na Ukristo, kwa nini imeruhusiwa na haijapigwa marufuku kama ushoga ukizingatia kamari ni mbaya kuliko hata ushoga?
Kwani ushoga umepigwa marufuku??
 
Nadhani hii ni biashara ya Wakubwa-Jinga. Kuna hela nyingi na za uhakika kwenye kamari. Wakubwa-Jinga lazima waichangamkie hata kama ni hatari kwa taifa.
 
Tanzania biashara ya kamari ni kubwa sana mpaka wacheza kamari wamekuwa kama Taaluma kabisa watu wanaojipatia kipato chao cha kudumu kupitia kamari wakijiita "wakamaria"

Ninavyofahamu kamari ni jambo haramu kwa dini zote mbili za Uislamu na Ukristo, kwa nini imeruhusiwa na haijapigwa marufuku kama ushoga ukizingatia kamari ni mbaya kuliko hata ushoga?
Wewe mtu, hapa sijakuelewa! Inaonekana pamoja na kuleta mijadala mingi hapa JF una tatizo
 
Back
Top Bottom