ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,870
- 52,387
Dini gani inaendesha serikaliDini inaendesha serikali
Some post no 43
Dini gani inaendesha serikaliDini inaendesha serikali
Maisha yote ya mwanadamu na Mambo yote anayo fanya ni KAMARI ..Ikiwa ni kilimo au ufugaji au biashara au madini nk ..mfano ukiwekeza kwenye kilimo unaweza kupata hasara ya ukame au mafuriko nk bodaboda anaweza kuvunjika mguu au kukatwa mguu ...Tanzania biashara ya kamari ni kubwa sana mpaka wacheza kamari wamekuwa kama Taaluma kabisa watu wanaojipatia kipato chao cha kudumu kupitia kamari wakijiita "wakamaria"
Ninavyofahamu kamari ni jambo haramu kwa dini zote mbili za Uislamu na Ukristo, kwa nini imeruhusiwa na haijapigwa marufuku kama ushoga ukizingatia kamari ni mbaya kuliko hata ushoga?
Hakuna sehemu yoyote niliyosema kuwa Kamali ni haramu. Naomba uache kunisingizia na kupotosha maneno yangu. Jibu hoja yangu kwa kile nilichoandika, si kwa maneno ambayo sijayasema.Kwahiyo wewe kwakuwa huchezi kamari unataka uwapangie watu wengine pia wasicheze kamari?
Kama kamari kwa upande wako ni haram kulingana na matakwa ya dini au dhehebu lako basi wapo watu wengine pia ambao hawaamini katika dini,Hivyo acha wafanye wanachotaka ilimradi sheria zimeruhusu
Halafu pia mtu anayecheza kamari anakunyima nini wewe ambaye huchezi?
Haina mashiko catholic na Islamic ni dini zinazoendesha hii serikaliDini gani inaendesha serikali
Some post no 43
Haina mashiko kwa sababu wewe ni mfia dini ✅️Haina mashiko
Inawezekana na ndio maana nchi ina mbwela mbwela kama kuku aliekatwa kicwa angalia nchi zisizo na misingi ya dini ujionee tofauticatholic na Islamic ni dini zinazoendesha hii serikali
Kwa akili zako Bora wewe uwe shoga kuliko kubeti 🤔 nimeamini kumbe kauli ya Linda mgongo wako ni serious .Tanzania biashara ya kamari ni kubwa sana mpaka wacheza kamari wamekuwa kama Taaluma kabisa watu wanaojipatia kipato chao cha kudumu kupitia kamari wakijiita "wakamaria"
Ninavyofahamu kamari ni jambo haramu kwa dini zote mbili za Uislamu na Ukristo, kwa nini imeruhusiwa na haijapigwa marufuku kama ushoga ukizingatia kamari ni mbaya kuliko hata ushoga?
May be yes may be not ulikuwa na dini gani ukaiachaHaina mashiko kwa sababu wewe ni mfia dini ✅️
Inawezekana na ndio maana nchi ina mbwela mbwela kama kuku aliekatwa kicwa angalia nchi zisizo na misingi ya dini ujionee tofauti
Dini ni chanzo cha upumbavu
Kuna wasioamini ukristo wala uislamuTanzania biashara ya kamari ni kubwa sana mpaka wacheza kamari wamekuwa kama Taaluma kabisa watu wanaojipatia kipato chao cha kudumu kupitia kamari wakijiita "wakamaria"
Ninavyofahamu kamari ni jambo haramu kwa dini zote mbili za Uislamu na Ukristo, kwa nini imeruhusiwa na haijapigwa marufuku kama ushoga ukizingatia kamari ni mbaya kuliko hata ushoga?
sio labda ni hivyo hasaMay be yes may be not
Zote mbili hizo maarufuulikuwa na dini gani ukaiacha
Umeuliza ''kamari'' lakini kuna wengine wanajibu ''kamali'' tena wengi tu. Kweli nchi yetu elimu ni janga. Watu wa namna hiyo ukiwapa kazi zinazohitaji umakini wa hali ya juu ni hatari sana. Nakumbuka hasara niliyopata ofisi moja, mwanangu nimemwandikisha kwa jina Maria, wao wakabadilisha na kuandika ''Malia'' wakati walikuwa wana-copy kutoka kwenye cheti cha kuzaliwa kilichoandikwa Maria. Kuhusu dini 2 kutumika kama mwongozo kwa Tanzania, uko sahihi, na ni kosa lililojengwa na unafiki. Wakristo na waislam wamefanya dini zao ziwe kama ndiyo dini za taifa, kiasi ambacho karibu nyanja zote za siasa zinaangliwa kwenye angle ya dini hizo mbili.Dini zote mbili huwa zinatumika kama muongozo kwenye mambo yanayoshabihiana mfano ushoga, kupiga marufuku biashara ya umalaya, abortion n.k
Suala la wa watu Kamari kusema Kamali, Rais-Lais, Rahisi-Lahisi, Kongoro-Kongolo, Barabara-Balabala n.k umeshakuwa ujinga sugu sasa mpaka kwenye vyombo vya habari na viongozi ni lugha ya kawaida tu, sidhani kama hii hali inaweza kurekebishika tena tulipofikia.Umeuliza ''kamari'' lakini kuna wengine wanajibu ''kamali'' tena wengi tu. Kweli nchi yetu elimu ni janga. Watu wa namna hiyo ukiwapa kazi zinazohitaji umakini wa hali ya juu ni hatari sana. Nakumbuka hasara niliyopata ofisi moja, mwanangu nimemwandikisha kwa jina Maria, wao wakabadilisha na kuandika ''Malia'' wakati walikuwa wana-copy kutoka kwenye cheti cha kuzaliwa kilichoandikwa Maria. Kuhusu dini 2 kutumika kama mwongozo kwa Tanzania, uko sahihi, na ni kosa lililojengwa na unafiki. Wakristo na waislam wamefanya dini zao ziwe kama ndiyo dini za taifa, kiasi ambacho karibu nyanja zote za siasa zinaangliwa kwenye angle ya dini hizo mbili.
Mashoga mnatafuta kila engo kuhalalisha kufirwa.Tanzania biashara ya kamari ni kubwa sana mpaka wacheza kamari wamekuwa kama Taaluma kabisa watu wanaojipatia kipato chao cha kudumu kupitia kamari wakijiita "wakamaria"
Ninavyofahamu kamari ni jambo haramu kwa dini zote mbili za Uislamu na Ukristo, kwa nini imeruhusiwa na haijapigwa marufuku kama ushoga ukizingatia kamari ni mbaya kuliko hata ushoga?
Kwaiyo we msomi wewe ni mpaganisio labda ni hivyo hasa
Zote mbili hizo maarufu
Kuna makabila hapa Tanzania hatana R kwenye matamshi yao mfano wasukuma na baadhi ya makabila.Suala la wa watu Kamari kusema Kamali, Rais-Lais, Rahisi-Lahisi, Kongoro-Kongolo, Barabara-Balabala n.k umeshakuwa ujinga sugu sasa mpaka kwenye vyombo vya habari na viongozi ni lugha ya kawaida tu, sidhani kama hii hali inaweza kurekebishika tena tulipofikia.
Kama mtu asie na dini ni mpaganiKwaiyo we msomi wewe ni mpagani
Hufanyi ibada?Kama mtu asie na dini ni mpagani
Basi ndio ni kweli mimi mpagani
SifanyiHufanyi ibada?
Are you living or existing?Sifanyi
Serikali haina dini kwa mujibu wa Katiba, lakini wananchi wake wana dini, na serikali inatambua uwepo na nafasi ya taasisi za kidini katika jamii.Dini inaendesha serikali