Nimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale wa Obama.Najiuliza kwanini ulinzi huu,kuna tatizo la usalama nchini kwa sasa?Mbona Kardinali Pengo hana?Mbona sheikh mkuu hana?Kwanini huyu?Gari lake ni la gharama kubwa.
MOD MSINIPIGE BAN WALA SINA HILA NAE BALI KUJUA TU MAMBO HAYA
Hahaha is that for real. ..weka makalio yako chini??? Injili imeingiliwa na wasanii aisee. .this is shit...kweli siku ya hukumu kuna watu tutawashangaa hawaingii kwenye ufalme
Nani kakwambia Pengo Hana walinzi. Kwa taarifa yako, pengo safari zake zote yupo na masister . Wale masister ni balaa, ukiwakagua mifukoni utakimbia. Wanavifaa vyote. Huwa wanatembea na silaha. Fanya uchunguzi umuone Pengo, Masister wapo nae sambamba. Tena masister wawili, inavyosemekana hao masister wamepitia jeshi na usalama wa taifa.
Nasikia nyie mna walinzi wasioonekana a.k.a M.A.J.I.N.I
Mungu anawalinda dhidi ya maadui wakiroho mabodigadi dhidi ya maadui wa kimwili
Unajua kazi za kufukuza mapepo (majini)sio ndogo!majini na wafugaji wake hawapendi,wamejaa chuki na visasi.Wana mabomu,risasi,tindikali za kuwajeruhi.
Huyu jamaa ana redio yake, kutwa kusifiwa yeye miujiza yake..........ati. nabii !
Mke wa Mzungu !???...........mmmh ?!
Nimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale wa Obama.Najiuliza kwanini ulinzi huu,kuna tatizo la usalama nchini kwa sasa?Mbona Kardinali Pengo hana?Mbona sheikh mkuu hana?Kwanini huyu?Gari lake ni la gharama kubwa.
MOD MSINIPIGE BAN WALA SINA HILA NAE BALI KUJUA TU MAMBO HAYA
Sasa hapo unashangaa nini? We ulidhani Mwamedi tu ndo mwenye uwezo wa kufanya ngono?
Weka data kamili,redio yake inaitwaje?
Hata Mapadre na Maaskofu wana uwezo wa kufanya ngono, Mapadre wanawalawiti watoto wabeba mishumaa Kanisani na Maaskofu wanaolewa !
Wananuka mavii ! IKWETE
Huyo ni trilionea. Anamiliki kanisa lenye aelfu ya waumini, kituo cha TV na benki. Hao kina Pengo wao ni watumishi wasio na mshara mali zote ni za waumini katika makanisa wanayoyaongoza. Watu kama akina Mzee wa upako, Gwajima, Kakobe, na manabii, wachungaji na mitume wengi walioanzisha makanisa yao ni kama wakurugenzi wa makanisa hayo kwa hiyo kimsingi wao ndio wamiliki. Niliwahi kumsikia mzee wa upako akisema eti watu wanahoji kwanini michango anayoitisha ipitie kwenye akaunti yake binafsi badala ya kanisa. Akasema yeye ndiye mwanzilishi na kuwa akifa yeye na huduma inaishia hapo. Kuna waumini walimfungulia Kakobe kesi eti anatumia ovyo mali za kanisa. Mahakama ilisema Kakobe hana kosa kwani kanisa ni lake na yeye ndiye mwanzilishi hivyo ni mali yake wao walijiunga wakati limeashaanzishwa na kuwa kama hawaridhiki waende na wao wakaanzishe la kwaoNimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale wa Obama.Najiuliza kwanini ulinzi huu,kuna tatizo la usalama nchini kwa sasa?Mbona Kardinali Pengo hana?Mbona sheikh mkuu hana?Kwanini huyu?Gari lake ni la gharama kubwa.
MOD MSINIPIGE BAN WALA SINA HILA NAE BALI KUJUA TU MAMBO HAYA