Kwanini January Makamba akipewa wizara anafanya mabadiliko ya staff wengi?

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,398
9,680
Kwa mliofuatilia teuzi za January. Akiteuliwa tu hubadili watendaji wa wizara karibia wote hadi kuvunja board za wakurugenzi?

Hii ni tofauti kabisa na wengine? Shida Huwa ni Nini? Wataalam wa huko mawizarani huwa kuna Nini?

Na haohao aliowaweka siku akiondoka wanashangilia Tena.
 
Working with people he will feel comfortable with.
Kwani ofisi yake..yaani we unakaribishwa kwenye nyumba kusha unafukuza uliowakuta..kwanini usikae nao uangalie gaps.

Naona hata mama yenu alipoingia tu kesho yake kapangua na kuwatoa. Sasa nchi nzima hali tete.. sio umeme, sio tamisemi, sio maji, sio afya, sio elimu.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mliofuatilia teuzi za January. Akiteuliwa tu hubadili watendaji wa wizara karibia wote hadi kuvunja board za wakurugenzi?

Hii ni tofauti kabisa na wengine? Shida Huwa ni Nini? Wataalam wa huko mawizarani huwa kuna Nini?

Na haohao aliowaweka siku akiondoka wanashangilia Tena.
Wagalatia mna chuki na huyo kijana,alivunja masanamu yenu mnayoyasujudia au?? Kaondoka sasa wizara ya umeme tuone umeme usikatike kkenge nyie
 
Kwani ofisi yake..yaani we unakaribishwa kwenye nyumba kusha unafukuza uliowakuta..kwanini usikae nao uangalie gaps.

Naona hata mama yenu alipoingia tu kesho yake kapangua na kuwatoa. Sasa nchi nzima hali tete.. sio umeme, sio tamisemi, sio maji, sio afya, sio elimu.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
mama yangu yupi? Yeye kaiga kama mteule wake afanyavyo
 
Kwa mgao wa umeme aliotuachia lazima akose raha
Umeme wa Tanzania ni mdogo sana hautoshelezi. Hilo bwawa likikamilika ndo litatatua tatizo. Hata tukimpa malaika hiyo wizara bado hataimudu kutokana na kiasi cha umeme kutokidhi mahitaji. Lakini pia tayari tangu awamu ya pili kuna mikataba mibaya ya kifisadi ilishasainiwa inayoitafuna TANESCO. Shirika la umeme lina mambo kama ya ile mikopo ya kausha damu
 
Kwa mliofuatilia teuzi za January. Akiteuliwa tu hubadili watendaji wa wizara karibia wote hadi kuvunja board za wakurugenzi?

Hii ni tofauti kabisa na wengine? Shida Huwa ni Nini? Wataalam wa huko mawizarani huwa kuna Nini?

Na haohao aliowaweka siku akiondoka wanashangilia Tena.
Makamba ni mla rushwa anawajua wala rushwa wenzake
 
Mawaziri ambao hawataki kabisa kugusa watu na kupanga Kwa jinsi wanavyo ona...mradi wapate sifa ya "kuishi na watu "vizuri...hawafai.
..Bora waziri anaepanga watu wake ...ili asisingizie watu lawama zake
 
Back
Top Bottom