Kwanini Israel inapewa msaada wa kijeshi/ silaha na Marekani?

Kwanini Israel inapewa msaada wa kijeshi/ silaha na Marekani?

Ila hawaikaribishi turkey EU..ni eastern buffer zone
Uturuki haijakidhi vigezo vya kujiunga EU,
Ni vyema ukafahamu EU na NATO ni vitu viwili tofauti, Austria na Ireland wako EU ila hawako NATO.
 
Uturuki haijakidhi vigezo vya kujiunga EU,
Ni vyema ukafahamu EU na NATO ni vitu viwili tofauti, Austria na Ireland wako EU ila hawako NATO.
Austria na Ireland hawajataka tu kuwa EU ila turkey kaomba na anazungushwa tu, NATO wakamuunga chapu
 
Tanzania hii ambayo watu wake bado wanakimbiza mwenge na ambao wanaamini kwamba pesa za maendeleo yao hazitokani na kodi zao bali hutolewa kwa hisani ya rais kutokana na mshahara wake.

Ebu tuwekee hiyo link ya google.
Wewe kwa kuwa wazazi wako masikini na wewe mwenyewe akili huna basi kwa akili yako ya kijinga unajua watanzania wote wapo kama wewe.
 
Yes take note that, The Cosmonaut Alexei Leonov hakuwa mwarabu, muajemi wala muislam na kama angekuwa moja kati ya hao basi ni wazi hiyo akili asingekuwa nayo.
Haya basi alikuwa muyahudi. Umefurahi sasa?
 
Kwa nini wasiendeleze kwao ili wawe namba moja dunia
Hata Dar wanaishi hapo na waliowekeza hapo sio wazaramu na haimaanishi kwamba hawana makwao walikotoka.

So please be informed accordingly.
 
Austria na Ireland hawajataka tu kuwa EU ila turkey kaomba na anazungushwa tu, NATO wakamuunga chapu
Ngoja nikueleweshe: ili uwe mwanachama wa Jumuia ya Ulaya (EU) ni sharti nchi husika iwe na mizizi ya ukristo. Period.
 
Back
Top Bottom