Kwanini inauma?

I know its hard but make yourself strong and forget about him and move on with life,think about your future.
 
umeacha kuniletea yale makope kama brush za chooni na makucha kama msukule! unaona sasa naitwa mzee!
sikupendi!

mkwe mi nakupenda tu. Hivyo ulivyo nakupenda tuuuu. Halafu mkwe mbona hukunimalizia uhondo? Lol.
 
Do you know how it hurt t tell those words to someone you love! pole kwa kukuita mzee
 
Thanks hun, am trying, na kwa kiasikikubwa nimeweza ila nikimuona its like there is something still bound us together, sijui nini lakini.... siwezi kueleza hasa na kumbe hata yeye akiniona anajaribu kunikwepa lkn hataki watu waliokuwa wanajua relationship yetu wajue kama hatuko pamoja akiulizwa kuh mimi anajibu asif tupo pamoja!
Well, sio adui yako. Hata rafiki wa kawaida tu ukimuona lazima utajiskia kufurahi, so why not him? Hata yeye akisema bado mko wote we sema tu kua vimeisha and get over it. Atakua anasema hivo sababu hataki kuonekana ameshindwa ila failure ni part ya maisha. Nimefurahi unamarafiki wapya, kama utaweza kua na activities mpya pia, ambazo hukua nafanya nae (biking, reading, cinema, different clubs and bars) ili ukiwa unakula happy msije mkakutana. Kwa vile naona itakua ngumu zaidi pale atakapo kua na mpenzi mpya hivo itakua bora kama utaanza kua na playground and playmates mya mapema...
 
Nilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae kabisaaaa! lakini I feel so sad, its like I cant let him go! any help to overcome this please.

njoo nikusahalishe.
 
...yes, don't delay the grief...ukijiskia kulia, jifungie ulie hayo machozi yapoze roho yako...

don't hit the bottle, ulevi ukikwisha utayaona double double, kama sio under influence ukaja anza mtafuta
na kumfuatilia alipo!...epuka na kumbukumbu zote za nyuma mfano...mazowea ya kumpigia simu, kumuandikia sms au emails,....

...epuka kukutana nae, au maeneo mliyokuwa mnakwenda pamoja....
jipangie targets, angalia yaliyo muhimu maishani mwako...bila kufikiria iwapo
nanihii angekuwapo...

...don't dare rush into a new relationship!, kwani huchelewi kuanza ku compare...
kila mtu ana mazuri na mabaya yake...jiwekee realistic targets mpya za
mwanamume utayemtaka hapo baadae..

...la mwisho jikubalishe umeachana nae, sio mara unaanza kumchunguza anatoka na nani...
ongea na wivu wako, wivu ni kilema!

best wishes!
 
Muhanga be yourself acha mambo ya ukiuona unamfeel. Dont deal with the past!
 
Nilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae kabisaaaa! lakini I feel so sad, its like I cant let him go! any help to overcome this please.
Hiyo ni hali itokanayo na mapenzi hasa kama mlikuwa mnapendana na mmojawenu kuchukua maamuzi bila kufikiria sana najua hata akitokea mbele yako moyo unakulipuka ila unajikaza!!Mimi nakushauri potezea ila itakusumbua miezi 2 yakwanza then utazoea ila usikurupuke kutafuta wakukava naye utaona hafai kuziba pengo!!
 
Nilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae kabisaaaa! lakini I feel so sad, its like I cant let him go! any help to overcome this please.
iyo yamaanisha unampenda mnoooooooooooo
 
Nilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae kabisaaaa! lakini I feel so sad, its like I cant let him go! any help to overcome this please.

Mapenzi kizungumkuti. Wapendanao na ambao wanapenda sana ikitokea bahati mbaya wakakosana wote huumia sana na huwa na majonzi makubwa sana. Sijui mmekosana nini mpaka kuamua kuachana, lakini bado mna nafasi ya kukaa chini na kuangalia wapi mmekosea na kama aliyekosea anaweza kuwa tayari kuomba samahani na mwenzie kuwa tayari kusamehe ili muendelee na mapenzi yenu.
 
Well, sio adui yako. Hata rafiki wa kawaida tu ukimuona lazima utajiskia kufurahi, so why not him? Hata yeye akisema bado mko wote we sema tu kua vimeisha and get over it. Atakua anasema hivo sababu hataki kuonekana ameshindwa ila failure ni part ya maisha. Nimefurahi unamarafiki wapya, kama utaweza kua na activities mpya pia, ambazo hukua nafanya nae (biking, reading, cinema, different clubs and bars) ili ukiwa unakula happy msije mkakutana. Kwa vile naona itakua ngumu zaidi pale atakapo kua na mpenzi mpya hivo itakua bora kama utaanza kua na playground and playmates mya mapema...
ni kweli inabidi kujichanga huku na kule na hilo halina tatizo kwangu na infact tulikubaliana tu kwa kuwa tumekuwa pamoja muda mrefu tuendelee kuwa marafiki, na tusikimbie ukweli kuwa tumeshindwa kuwa pamoja kama wapenzi bas at least tubaki kuwa good friends, we are working on that! thanks for your advice and concern
 
...yes, don't delay the grief...ukijiskia kulia, jifungie ulie hayo machozi yapoze roho yako...

don't hit the bottle, ulevi ukikwisha utayaona double double, kama sio under influence ukaja anza mtafuta
na kumfuatilia alipo!...epuka na kumbukumbu zote za nyuma mfano...mazowea ya kumpigia simu, kumuandikia sms au emails,....

...epuka kukutana nae, au maeneo mliyokuwa mnakwenda pamoja....
jipangie targets, angalia yaliyo muhimu maishani mwako...bila kufikiria iwapo
nanihii angekuwapo...

...don't dare rush into a new relationship!, kwani huchelewi kuanza ku compare...
kila mtu ana mazuri na mabaya yake...jiwekee realistic targets mpya za
mwanamume utayemtaka hapo baadae..

...la mwisho jikubalishe umeachana nae, sio mara unaanza kumchunguza anatoka na nani...
ongea na wivu wako, wivu ni kilema!

best wishes!

wow... thanks mosq.. kweli wee mzoefu umeonja damu nyingi wajua chungu na tamu... ushauri mzuri sana, hizo bold zote nimezibold hadi rohoni mwangu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Labda ungetutajia hayo magumu akiyokupitisha nayo ili tukusaidie mawazo ...
he put me through a lot of difficulties, hata kusimulia nashindwa ni mlolongo mrefu, lakini what I want is to get him out of my head and move on, am done with him.... i know its hard but hope I wil manage..
 
It's ok to feel bad... Si mmekaa sana? Kuachana ni failure, hata kama mmekubaliana. Ila ni a new start pia. Usiangalie nyuma, angalia mbele. what do you want to do now? kuendelea kujiskia vibaya even after the break or kuanza kufurahia your newly recovered individuality? Kuna vitu ulikua unafanya/haufanyi kwa sababu yake, it is time to find out kama unataka/hutaki kuvifanya. Just become yourself again... and meet new people, new friends!

I also need to meet new people, new friends! Hebu tushauriane hapa nafanyaje?????
 
Back
Top Bottom